Makonda: Maduka yote Dar yafunguliwe saa tano kesho

Makonda: Maduka yote Dar yafunguliwe saa tano kesho

Hatujiandikishi tu
Jidanganye. Kupiga kura Ni rahisi tu. Tukitoka kupiga mtaa huu, tunakwenda kupiga mtaa mwingine. Utashangaa tunajaza kituo kimoja, baada ya muda tunajaza kituo kingine huku TBC ikirusha live kuonyesha kufanikiwa kwa zoezi na demokrasia iliyotukuka.
 
Kwa ajili ya kumkomoa Mbowe na Lema au kuletea wananchi maendeleo? Mwafrika mwenye ngozi nyeusi alafu awe mwanaCCM hua akili zao ni chini ya akili ya mtoto mchanga anaekula kinyesi chake. Nimekuelewa lakini mkuu
 
Yani Dunia inahangaika kuongeza masaa yakufanya kazi.

Imefika mahala inajadiliwa kua siku yakuabudu kwa dini zote iwe moja ili yapatikane masaa yaziada ya kazi.

Huku masonyeni kuna wapuuzi wamefanya jumamosi ofisi zifunguliwe saa nne, nakama hiyo haitoshi "Genius" mmoja anayetuzidi akili watz wote anaamuru mkoa mkubwa kibiashara tz ofisi za watu zifunguliwe saa tano.

Ama kweli ukitaka kumjua mjinga we mvalishe kiremba tuu... kiremba cha huyu kinaendelea kufunua upumbavu.

Mpaka tunachoka kucomment.
 
Back
Top Bottom