Ikiwa uchumi unajengwa kwa mitindo hii tuendelee kutarajia maskini wajinga wabobezi.Ili kumuenzi Baba wa taifa na kwa kua kesho ni siku ya mwisho ya kujiandikisha kwenye daftari la kuraView attachment 1231901
Hatari si kidogoDah hii ni hatari
Siku tatu zimeongezwa na Jafo...Nchi imekua ya ajabu sana hii, kwa hiyo waziri Jafo aliongeza muda kwenye vyombo vya habari kabla hajawasiliana na wakuu wa mikoa na wilaya? Ndio maana kuna mmoja alisema kule ikulu kwamba wenyewe wanakanyagana, aibu sana hii...