Makonda is almost so damn right!

Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
Hakukosea hata kidogo!!!! aliweka kautani kwa wachagga ambao wengi ni marafiki zake au hukutana katika shughuli za kisiasa...na kwa kuwa ni msiba mzito mara nyingi kuna baadhi ya watu huchomeka maneno ya utani angalau kuwahamisha wafiwa kutoka hisia kali za kumfikiria marehemu ambayo inaweza kuwasababishia matatizo ya kiafya. Kumbuka msiba ni sherehe ya mtu ya mwisho hivyo kuna staili mbali mbali za kumuaga marehemu wengine ni kumsifia mwanzo mwisho sawa!!! wengine kuwatania waliobaki sawa!!!! kwa nini watu wanashupalia neno ambalo limetolewa kama obiter dictum?
Amekuomba umwelezee hisia zake mkuu? Tangu lini kawa mtani wa wachagga? Ulimsikia pale madhabahuni alivyojilazimisha kuomba samahani ya kejeli?Hakuumaanisha na ndio maana alisema watu wamemtafakari vibaya. Hajaliona kosa, na ndiyo maana alionyesha kiburi mbele ya Askofu, Waziri mkuu na kadamnasi yote. Kujitambua kwa huyu chalii, it will take karne. Again, sham on him.
 
Utasubiri sana, na hili ni upepo tuu nalo litapita.

Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni - JamiiForums

P.
Oleombha Kinehe Mayalla
Wèka na ile link ya Makonda ni mpakwa mafuta
 
Mnavyomkosoa mchukia kila siku ndivyo jinsi anavyozidi kuongeza bidiii..Marehemu ruge alisemaga Ukitaka kumpoteza mtu basi Usimuongeleeee wala kumpa Attention yako.

Unavyozidi muongelea mtu ni kama Unamfundisha,na kumfundisha/kumpa Elimu mtu unaemchukia ukitegemea siku moja atakua MJING huo ndio ujinga wenyewe.

Makonda (kama asemavyo pierre mzee wa liquid)
 
Hakukosea hata kidogo!!!! aliweka kautani kwa wachagga ambao wengi ni marafiki zake au hukutana katika shughuli za kisiasa...na kwa kuwa ni msiba mzito mara nyingi kuna baadhi ya watu huchomeka maneno ya utani angalau kuwahamisha wafiwa kutoka hisia kali za kumfikiria marehemu ambayo inaweza kuwasababishia matatizo ya kiafya. Kumbuka msiba ni sherehe ya mtu ya mwisho hivyo kuna staili mbali mbali za kumuaga marehemu wengine ni kumsifia mwanzo mwisho sawa!!! wengine kuwatania waliobaki sawa!!!! kwa nini watu wanashupalia neno ambalo limetolewa kama obiter dictum?
Mkolomije na Mchaga utani wapi na wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom