Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,327
Hivi ukiwa mbahili kwa kitu chako ulichokitafuta mwenyewe kuna shida?NA UBAILI pia!
Hivi ukiwa mbahili kwa kitu chako ulichokitafuta mwenyewe kuna shida?NA UBAILI pia!
Kuna uwezekano mkubwa kwamba,Hakukosea hata kidogo!!!! aliweka kautani kwa wachagga ambao wengi ni marafiki zake au hukutana katika shughuli za kisiasa...na kwa kuwa ni msiba mzito mara nyingi kuna baadhi ya watu huchomeka maneno ya utani angalau kuwahamisha wafiwa kutoka hisia kali za kumfikiria marehemu ambayo inaweza kuwasababishia matatizo ya kiafya. Kumbuka msiba ni sherehe ya mtu ya mwisho hivyo kuna staili mbali mbali za kumuaga marehemu wengine ni kumsifia mwanzo mwisho sawa!!! wengine kuwatania waliobaki sawa!!!! kwa nini watu wanashupalia neno ambalo limetolewa kama obiter dictum?
NA UBAILI pia!
Duuh, hii kweli nyota ya duduwasha, yaani kila analofanya huyu Mh. Wananzengo wanamkosoa.
Makonda angekuwa Mpare wala huo utani usingekuwa na madhara ya kikabila kiasi kile.Binafsi pia nadhani Makonda alichomokea utani lakini bahati mbaya tafsiri ikawa tofauti.Bahati mbaya sana tena watu wa eneo hilo wameshaaminishwa kwamba Serikali haiwapendi,nk,nk,nk.Hakukosea hata kidogo!!!! aliweka kautani kwa wachagga ambao wengi ni marafiki zake au hukutana katika shughuli za kisiasa...na kwa kuwa ni msiba mzito mara nyingi kuna baadhi ya watu huchomeka maneno ya utani angalau kuwahamisha wafiwa kutoka hisia kali za kumfikiria marehemu ambayo inaweza kuwasababishia matatizo ya kiafya. Kumbuka msiba ni sherehe ya mtu ya mwisho hivyo kuna staili mbali mbali za kumuaga marehemu wengine ni kumsifia mwanzo mwisho sawa!!! wengine kuwatania waliobaki sawa!!!! kwa nini watu wanashupalia neno ambalo limetolewa kama obiter dictum?
Hakukosea hata kidogo!!!! aliweka kautani kwa wachagga ambao wengi ni marafiki zake au hukutana katika shughuli za kisiasa...na kwa kuwa ni msiba mzito mara nyingi kuna baadhi ya watu huchomeka maneno ya utani angalau kuwahamisha wafiwa kutoka hisia kali za kumfikiria marehemu ambayo inaweza kuwasababishia matatizo ya kiafya. Kumbuka msiba ni sherehe ya mtu ya mwisho hivyo kuna staili mbali mbali za kumuaga marehemu wengine ni kumsifia mwanzo mwisho sawa!!! wengine kuwatania waliobaki sawa!!!! kwa nini watu wanashupalia neno ambalo limetolewa kama obiter dictum?
Awe bunge awe rais ni kwa MiPango yake ila mambo anayoyafanya ipo siku Ataliba tuAende kule walikuwa wameagana na KUBENEA kwenda kutajana?
Wacha kuchukua picha za Zamani leo hii Sonko ni full Suti kila anapoendahuyu hapa gavana wa nairobi mike sonko amevaa hereni sikioni, saa mbili kila mkono na saa yake na bonge la nyororo shingoni lakini haonekani ni muhuni nchini kenya kwa sababu ya mavazi yake,
Lakini makonda wachawi wake mapovu yanawatoka kwa kuvaa jinsi tu.. View attachment 1093346
Kabisa wala asipoteze muda, matukio ya Bash boy huwa ninayarekodi kwenye diary tu.Utasubiri sana, na hili ni upepo tuu nalo litapita.
Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni - JamiiForums
P.![]()
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
Wanabodi, Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" boldness and sometimes unreasonably boldness...www.jamiiforums.com
Asahau ubunge was Nyamagana. Mahakama Kuu imeshatengua vifungu vya sheria vinavyowafanya Wakurugenzi was Majiji, mini kuwa wasimamizi was uchaguzi. Hivyo suala la. Mgombea huyu kushinda na akatangazwa mgomea mwingine halitakuwepo. I hope!Aende kule walikuwa wameagana na KUBENEA kwenda kutajana?
wengi fahamu zitaanza kuwarudia kwenye awamu hii!Wakuu, Kwa ujumla mimi huwa ni Mshabiki wa Makonda kindakindaki ila kufuatia Msiba wa Mengi! Makonda alikosea katika maeneo yafuatayo!
1. Hakupaswa kuhusisha Msiba wa Mengi na tabia za Wachaga!
2. Hakupaswa kutangaza Deni la Kubenea hadharani maana Mkopo ni Siri ya Mkopaji na Mkopeshaji, na kwa kuwa Mkopeshaji hayupo basi angemkumbusha mkopaji kwa njia ya kistaarabu.
3. Hakupaswa kuvaa Mavazi yale aliyovaa Msibani Maana yanaashilia Uhuni, Usanii, au tunawea kuuita Utoto.
4. Hakupaswa kujitetea Baada ya SG Bashiru kumuombea msamaha pale Kanisani.
5. Hakupaswa kusita kuitika wito Baada ya kuitwa na Askofu pale Kanisani.
Huo ni mtazamo wangu tu! Japo na sisi walalamikaji tungeweza kunyamanza kimya pasingekuwepo na Mjandala wowote na wala tusinge athirika kwa Sababu hakuna ubishi kwamba katika Makabila ya Tanzania Wachanga wanachukua nafasi ya 1 kwa Utafutaji wa Pesa
Huenda hata mengi alishasema akifa na madeni yamekufa haaaaa nawaza tu yeye lilomuuma ni nini?Hiyo #2 kuhusu madeni alimkumbusha kwani yeye mkewe?asisubiri wenye mali waongee nini kilichomuwasha kuzungumza hiyo issue!
Kujipendekeza tu!
Mambo ya Kubenea yalihusu nini pale katika msiba?Hakukosea hata kidogo!!!! aliweka kautani kwa wachagga ambao wengi ni marafiki zake au hukutana katika shughuli za kisiasa...na kwa kuwa ni msiba mzito mara nyingi kuna baadhi ya watu huchomeka maneno ya utani angalau kuwahamisha wafiwa kutoka hisia kali za kumfikiria marehemu ambayo inaweza kuwasababishia matatizo ya kiafya. Kumbuka msiba ni sherehe ya mtu ya mwisho hivyo kuna staili mbali mbali za kumuaga marehemu wengine ni kumsifia mwanzo mwisho sawa!!! wengine kuwatania waliobaki sawa!!!! kwa nini watu wanashupalia neno ambalo limetolewa kama obiter dictum?
Kwakuwa yeye ndiye kiongozi mwenye chuki zaidi na biadamu wenzie.Too much allegations,why mnachukia binadamu mwenzenu hivi?
Dah hapa yupo mahali pa ibada ?huyu hapa gavana wa nairobi mike sonko amevaa hereni sikioni, saa mbili kila mkono na saa yake na bonge la nyororo shingoni lakini haonekani ni muhuni nchini kenya kwa sababu ya mavazi yake,
Lakini makonda wachawi wake mapovu yanawatoka kwa kuvaa jinsi tu.. View attachment 1093346
kubenea ni mchagga sio?Mambo ya Kubenea yalihusu nini pale katika msiba?