Makonda is almost so damn right!

Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
Utasubiri sana, na hili ni upepo tuu nalo litapita.

Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni - JamiiForums

P.
we hauna maana unang'ata huku unapulizaaa
 
Mimi yale mavazi yake aliyovaa ndo yaliniacha hoi. Mkuu wa Mkoa?. Tena Mkoa wa Dar. Haoni mavazi waliyovaa Wakuu kama Mhe.Sendeka na Mhe. Gambo.. Mavazi ya heshima kabisa.
 
Huyo bashite nyie ndiyo mnampa kichwa kwa kujadili mtu kama yeye, what would you exactly expected from that zero brain
 
Wakuu, Kwa ujumla mimi huwa ni Mshabiki wa Makonda kindakindaki ila kufuatia Msiba wa Mengi! Makonda alikosea katika maeneo yafuatayo!

1. Hakupaswa kuhusisha Msiba wa Mengi na tabia za Wachaga!

2. Hakupaswa kutangaza Deni la Kubenea hadharani maana Mkopo ni Siri ya Mkopaji na Mkopeshaji, na kwa kuwa Mkopeshaji hayupo basi angemkumbusha mkopaji kwa njia ya kistaarabu.

3. Hakupaswa kuvaa Mavazi yale aliyovaa Msibani Maana yanaashilia Uhuni, Usanii, au tunawea kuuita Utoto.

4. Hakupaswa kujitetea Baada ya SG Bashiru kumuombea msamaha pale Kanisani.

5. Hakupaswa kusita kuitika wito Baada ya kuitwa na Askofu pale Kanisani.

Huo ni mtazamo wangu tu! Japo na sisi walalamikaji tungeweza kunyamanza kimya pasingekuwepo na Mjandala wowote na wala tusinge athirika kwa Sababu hakuna ubishi kwamba katika Makabila ya Tanzania Wachanga wanachukua nafasi ya 1 kwa Utafutaji wa Pesa
Atawatesa sana. Na bado. Mtaandika mtachoka mtaanza kulia!
 
Too much allegations,why mnachukia binadamu mwenzenu hivi?
Hakuna anayemchukia bali matendo na kauli zake zisizo na chujio ndizo zinazochukiza watu wastaarabu!
Hebu akue basis eeh!
 
Atawatesa sana. Na bado. Mtaandika mtachoka mtaanza kulia!
Nawe utateseka na kuchoka kumtetea hadi utaacha kuandika habari zake humu na Italia Sana kujutia muda na nguvu zako ulizopoteza kumtetea asiyeweza kubadilika!
Hivi huoni aibu kusimama upande wa mwenye tabia mbaya?
 
Wakuu, Kwa ujumla mimi huwa ni Mshabiki wa Makonda kindakindaki ila kufuatia Msiba wa Mengi! Makonda alikosea katika maeneo yafuatayo!

1. Hakupaswa kuhusisha Msiba wa Mengi na tabia za Wachaga!

2. Hakupaswa kutangaza Deni la Kubenea hadharani maana Mkopo ni Siri ya Mkopaji na Mkopeshaji, na kwa kuwa Mkopeshaji hayupo basi angemkumbusha mkopaji kwa njia ya kistaarabu.

3. Hakupaswa kuvaa Mavazi yale aliyovaa Msibani Maana yanaashilia Uhuni, Usanii, au tunawea kuuita Utoto.

4. Hakupaswa kujitetea Baada ya SG Bashiru kumuombea msamaha pale Kanisani.

5. Hakupaswa kusita kuitika wito Baada ya kuitwa na Askofu pale Kanisani.

Huo ni mtazamo wangu tu! Japo na sisi walalamikaji tungeweza kunyamanza kimya pasingekuwepo na Mjandala wowote na wala tusinge athirika kwa Sababu hakuna ubishi kwamba katika Makabila ya Tanzania Wachanga wanachukua nafasi ya 1 kwa Utafutaji wa Pesa
Hata wewe shabiki kindaki ndaki ulitakiwa kunyamaza baada ya makonda kuombewa msamaha, lakini umepachika bandiko lako ili mjadala uendelee. Umefanya vyema maana kunyamazia jambo linalokera ni unafiki.
 
Kwa muktadha ule ule alioutumia Mch. Gwajima kusema ile video ni ya kuunga unga, na mimi nasema hiyo picha ni ya kuunga unga.

Makonda.jpeg

Kwanza hicho kifua ni cha baunsa, hawezi kua Makonda huyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom