Makonda is almost so damn right!

Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
Wakuu, Kwa ujumla mimi huwa ni Mshabiki wa Makonda kindakindaki ila kufuatia Msiba wa Mengi! Makonda alikosea katika maeneo yafuatayo!

1. Hakupaswa kuhusisha Msiba wa Mengi na tabia za Wachaga!

2. Hakupaswa kutangaza Deni la Kubenea hadharani maana Mkopo ni Siri ya Mkopaji na Mkopeshaji, na kwa kuwa Mkopeshaji hayupo basi angemkumbusha mkopaji kwa njia ya kistaarabu.

3. Hakupaswa kuvaa Mavazi yale aliyovaa Msibani Maana yanaashilia Uhuni, Usanii, au tunawea kuuita Utoto.

4. Hakupaswa kujitetea Baada ya SG Bashiru kumuombea msamaha pale Kanisani.

5. Hakupaswa kusita kuitika wito Baada ya kuitwa na Askofu pale Kanisani.

Huo ni mtazamo wangu tu! Japo na sisi walalamikaji tungeweza kunyamanza kimya pasingekuwepo na Mjandala wowote na wala tusinge athirika kwa Sababu hakuna ubishi kwamba katika Makabila ya Tanzania Wachanga wanachukua nafasi ya 1 kwa Utafutaji wa Pesa
Ubuyu Huu cjaupata mkuu Wapi alitangaza Deni la kubenea?
 
Kibaya zaidi pamoja na chuki zenu kwake, lakini mwaka kesho anakuwa mbunge
 
Miss madeko , alisema kwa wale waliosaidiwa na dr Mengi , yeye akamtaja na kubenea wana deni kubwa kwa mengi , yaani katika kumuenzi.

Aende kule walikuwa wameagana na KUBENEA kwenda kutajana?
 
Swala ni kwamba hapendwi na watu na hawataki kumuona polite sembuse utani? Akataniane na familiar yake sisi hatutaki utani na 0
 
Bwana mkubwa wa Magogoni huwa anasikiliza na kuyasoma maoni ya watu, halafu anafanya maamuzi kwa utashi wake. Ukitaka kumpelekesha ndio umeharibu kila kitu.
 
Kuna laana zinamnyemelea mtu... na laana hazijapata kumsalimisha mlaaniwa mpaka atubu kikwelikweli pasi unafiki katika nafsi.
 
Wakuu, Kwa ujumla mimi huwa ni Mshabiki wa Makonda kindakindaki ila kufuatia Msiba wa Mengi! Makonda alikosea katika maeneo yafuatayo!
1. Hakupaswa kuhusisha Msiba wa Mengi na tabia za Wachaga!
2. Hakupaswa kutangaza Deni la Kubenea hadharani maana Mkopo ni Siri ya Mkopaji na Mkopeshaji, na kwa kuwa Mkopeshaji hayupo basi angemkumbusha mkopaji kwa njia ya kistaarabu.
3. Hakupaswa kuvaa Mavazi yale aliyovaa Msibani Maana yanaashilia Uhuni, Usanii, au tunawea kuuita Utoto.
4. Hakupaswa kujitetea Baada ya SG Bashiru kumuombea msamaha pale Kanisani.
5. Hakupaswa kusita kuitika wito Baada ya kuitwa na Askofu pale Kanisani.
Huo ni mtazamo wangu tu! Japo na sisi walalamikaji tungeweza kunyamanza kimya pasingekuwepo na Mjandala wowote na wala tusinge athirika kwa Sababu hakuna ubishi kwamba katika Makabila ya Tanzania Wachanga wanachukua nafasi ya 1 kwa Utafutaji wa Pesa
Makonda na Ruge walipatanishwa jukwaani Tanga na rais Magufuli, tukio la kanisani ni la kujirudia.
 
Wakuu, Kwa ujumla mimi huwa ni Mshabiki wa Makonda kindakindaki ila kufuatia Msiba wa Mengi! Makonda alikosea katika maeneo yafuatayo!

1. Hakupaswa kuhusisha Msiba wa Mengi na tabia za Wachaga!

2. Hakupaswa kutangaza Deni la Kubenea hadharani maana Mkopo ni Siri ya Mkopaji na Mkopeshaji, na kwa kuwa Mkopeshaji hayupo basi angemkumbusha mkopaji kwa njia ya kistaarabu.

3. Hakupaswa kuvaa Mavazi yale aliyovaa Msibani Maana yanaashilia Uhuni, Usanii, au tunawea kuuita Utoto.

4. Hakupaswa kujitetea Baada ya SG Bashiru kumuombea msamaha pale Kanisani.

5. Hakupaswa kusita kuitika wito Baada ya kuitwa na Askofu pale Kanisani.

Huo ni mtazamo wangu tu! Japo na sisi walalamikaji tungeweza kunyamanza kimya pasingekuwepo na Mjandala wowote na wala tusinge athirika kwa Sababu hakuna ubishi kwamba katika Makabila ya Tanzania Wachanga wanachukua nafasi ya 1 kwa Utafutaji wa Pesa

Siku zote Sikio la Kufa huwa halisikii dawa.
 
Too much allegations,why mnachukia binadamu mwenzenu hivi?

Na Mimi nakuomba utusadie Kutuulizia kwamba Tanzania nzima hasa katika Awamu hii Viongozi walioteuliwa na Rais Dkt. JPM ni wengi sana, ila ni kwanini anadhani Yeye ndiyo ' anawakera ' karibia 85% ya ' Population ' ya Watanzania ama wale walioko ndani au nje ya Tanzania?
 
Huyo kijana hana adabu hata kidogo

Mkumbusheni tu hapo bomani wamepita manguli wa siasa kina makamba ila na uzee wao hawakuwahi kudhalilisha mtu
 
Wakuu, Kwa ujumla mimi huwa ni Mshabiki wa Makonda kindakindaki ila kufuatia Msiba wa Mengi! Makonda alikosea katika maeneo yafuatayo!

1. Hakupaswa kuhusisha Msiba wa Mengi na tabia za Wachaga!

2. Hakupaswa kutangaza Deni la Kubenea hadharani maana Mkopo ni Siri ya Mkopaji na Mkopeshaji, na kwa kuwa Mkopeshaji hayupo basi angemkumbusha mkopaji kwa njia ya kistaarabu.

3. Hakupaswa kuvaa Mavazi yale aliyovaa Msibani Maana yanaashilia Uhuni, Usanii, au tunawea kuuita Utoto.

4. Hakupaswa kujitetea Baada ya SG Bashiru kumuombea msamaha pale Kanisani.

5. Hakupaswa kusita kuitika wito Baada ya kuitwa na Askofu pale Kanisani.

Huo ni mtazamo wangu tu! Japo na sisi walalamikaji tungeweza kunyamanza kimya pasingekuwepo na Mjandala wowote na wala tusinge athirika kwa Sababu hakuna ubishi kwamba katika Makabila ya Tanzania Wachanga wanachukua nafasi ya 1 kwa Utafutaji wa Pesa
Hoja zako ziko vizuri, hasa 4 na 5, hizo zina uzito zaidi. Lakini bado kuna watu huwezi ukawaambia lolote wakakuelewa.
 
huyu hapa gavana wa nairobi mike sonko amevaa hereni sikioni, saa mbili kila mkono na saa yake na bonge la nyororo shingoni lakini haonekani ni muhuni nchini kenya kwa sababu ya mavazi yake,
Lakini makonda wachawi wake mapovu yanawatoka kwa kuvaa jinsi tu..
tapatalk_1557492706406.jpeg
 
Makonda alivimbishwa kichwa pale as a junior government official (mkuu wa wilaya) and young, alipoteuliwa kuwa rc dar, jiji kubwa la nchi. Badala ya kujifunza, aliona amehitimu kiutawala. Kumlaumu mwamuonea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom