Makonda is almost so damn right!

Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
Tofauti yao ni kwamba vazi Makonda limeonwa na wengi....wakati Gwajima walikuwa wawili tu...
Kaona nani wewe, hizo kamera zote zilizomrekodi na kumrusha kwenye TV zioikuwa zinaedit, hizo picha na video ni za kughushi
 
Kujikita na MAKONDA tuu wakati mwingine ni kujivua nguo wenyewe,maana masaa 72 asilimia 90 ya threads humu ni MAKONDA tumewachoka Njooni na maada zinazoonesha JF ni greater thinkers group na si wajinga wengi wenye kutumia smart phone zao kuleta uharo humu It never occurs to discuss personality issues for a long time like this!!!you guys stop childhood behaviours to reflect JF as the greater thinkers forum.
 
Wakuu, Kwa ujumla mimi huwa ni Mshabiki wa Makonda kindakindaki ila kufuatia Msiba wa Mengi! Makonda alikosea katika maeneo yafuatayo!

1. Hakupaswa kuhusisha Msiba wa Mengi na tabia za Wachaga!

2. Hakupaswa kutangaza Deni la Kubenea hadharani maana Mkopo ni Siri ya Mkopaji na Mkopeshaji, na kwa kuwa Mkopeshaji hayupo basi angemkumbusha mkopaji kwa njia ya kistaarabu.

3. Hakupaswa kuvaa Mavazi yale aliyovaa Msibani Maana yanaashilia Uhuni, Usanii, au tunawea kuuita Utoto.

4. Hakupaswa kujitetea Baada ya SG Bashiru kumuombea msamaha pale Kanisani.

5. Hakupaswa kusita kuitika wito Baada ya kuitwa na Askofu pale Kanisani.

Huo ni mtazamo wangu tu! Japo na sisi walalamikaji tungeweza kunyamanza kimya pasingekuwepo na Mjandala wowote na wala tusinge athirika kwa Sababu hakuna ubishi kwamba katika Makabila ya Tanzania Wachanga wanachukua nafasi ya 1 kwa Utafutaji wa Pesa
Mwana hovyo mlezi hivyo unategemea nini si wanae waendelee kuvuta bangi na kumfedhehesha babayake msiingiwe na hofu baba akiendelea kumkumbatia mwanae mpumbavu ataendelea kumbuka sisi tuendelee kuchapa kazi no heshima kazi ni uhai watatuelewa mbele ya safari
 
Hakukosea hata kidogo!!!! aliweka kautani kwa wachagga ambao wengi ni marafiki zake au hukutana katika shughuli za kisiasa...na kwa kuwa ni msiba mzito mara nyingi kuna baadhi ya watu huchomeka maneno ya utani angalau kuwahamisha wafiwa kutoka hisia kali za kumfikiria marehemu ambayo inaweza kuwasababishia matatizo ya kiafya. Kumbuka msiba ni sherehe ya mtu ya mwisho hivyo kuna staili mbali mbali za kumuaga marehemu wengine ni kumsifia mwanzo mwisho sawa!!! wengine kuwatania waliobaki sawa!!!! kwa nini watu wanashupalia neno ambalo limetolewa kama obiter dictum?
Tazama punda ingine hiii
 
Pascal Mayalla
sikukatalii ila mfundisheni basi hata kwa kisukuma Heshima ni nini?
alimchokozo dogo mmoja (Liquid) kwa ulevi angalia walevi walivyo,paisha hadi Bungeni siku hizi Liquid anaingia hadi Nairobi kwa kick ya Makonda.
Makonda angejichunguza style anayotumia kutawala sio kabisa, ukiona leo wamekukutaa kaa chini waulize waliokuzidi km P. Mayalla hapa pana nini
lkn cloud, mara Gwajima tena Kijiji kimoja,
sijui naashauri atafute mshauri
 
Pale church alisema bwn Yesu asifiwe watu kimya hakuna aliyejibu wala nini,kule nje ya kanisa nadhani watu walitema mate chini.
 
mara Gwajima tena Kijiji kimoja,
sijui naashauri atafute mshauri
Huyu kijana ni Mshari atakuja kuangamiza Nchi Atoswe baharini kama yule Yona kwenye Bibilia amezwe na samaki akatokee huko kwenye tabia zinazo fanana
 
Hakukosea hata kidogo!!!! aliweka kautani kwa wachagga ambao wengi ni marafiki zake au hukutana katika shughuli za kisiasa...na kwa kuwa ni msiba mzito mara nyingi kuna baadhi ya watu huchomeka maneno ya utani angalau kuwahamisha wafiwa kutoka hisia kali za kumfikiria marehemu ambayo inaweza kuwasababishia matatizo ya kiafya. Kumbuka msiba ni sherehe ya mtu ya mwisho hivyo kuna staili mbali mbali za kumuaga marehemu wengine ni kumsifia mwanzo mwisho sawa!!! wengine kuwatania waliobaki sawa!!!! kwa nini watu wanashupalia neno ambalo limetolewa kama obiter dictum?
Jerry Nenda kalale
 
Wachanga wanachukua nafasi ya 1 kwa Utafutaji wa Pesa
Kwenye jamii/familia yapo mambo mengi yanafanyika lkn ukiyasema adharani wewe uliyeyasema ndio unaonekana una matatizo, wanasema hivi; sio kila ukweli unapaswa kusemwa adharani, ukweli mwingine uweza kuatalisha amani ukisemwa adharani.Hichi ndicho kimetokea kwa makonda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom