ager de don
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 621
- 320
Zero brain from paper to real life
Kumbe zanzibar ipo milembe??Makonda nyie mnamjua kichwani amuna kitu ata vyeti kafoji Sasa why mkazane na kilaza anaestahili kuingia milembe tena ya kule Zanzibar.
nashangaaa kapigiwa na makofiKutafuta hekma za kimadaraka na kutafuta ubora ktk mambo usiyokuwa na utaalam nayo, acha nisimlaumu yeye ndivyo alivyopikwa na mkuu wake pamoja na mchungaji wake.
Jibu hoja kilaza wewe au na wewe ndiyo mnaishi kwa nguvu za bashite. Dunia si Mali ya Mungu ni Mali ya JPM?Mnahangaika bure na makonda, yeye anachapa kazi aliyotumwa nanyi fanya za kwenu
Mungu yupo ulipo pumbavu zakoWapi?
Ni kweli! Dunia ni mali ya mwenyekiti wa ccm anaewapa akina bashite uhai na jeuri!
Kwani hawa majamaa ni wapagani???Ngoja nimuite Nyani Ngabu na al watan
Mpelekeeni taatifa Mkuu wa mkoa wa dar es salaam mwambieni kwa niaba ya watumishi wote duniani nampinga kwa maandiko zaidi ya saba yanayokanusha uongo aliouongea hadharani:-
1.kwanza hapo mwanzo MUNGU aliziumba mbingu na dunia.
2.Baba anaitwa Muumba wa mbingu na nchi (dunia)
3.Isaya 45:18
Maana BWANA, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine.
4.Isaya 66:1
BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu......
5.Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
6.Paulo anasema katika Waefeso 3:14-15
Kwa hiyo nampigia Baba magoti,ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa,
7.makonda asichanganye maandiko ,MUNGU anasema anatawala mbinguni na duniani ,maana yake utawala wake upo hapa tayari,dola ipo hapa,usalama wa taifa la duniani tuko hapa tukishirikiana na usalama wa mbinguni......mwambieni aendelee
tu na siasa ,mambo ya MUNGU atuachie tunaotetea maslahi ya MUNGU wa mbingu na dunia!
Nukuu toka kwa Kuhani Philemon Mwansepe
(Zab 24:1)Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.
The earth is the LORD' s, and the fulness thereof; the world, and they that dwell therein.
MITHALI 16:18 Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.
Utakuwa na matatizo kichwani? Umeona kuna mtu amehangaika na huyo Makonda wako, au watu wanahangaika na hoja zake? Hivi kwanini JF inaruhusu mpaka wajinga wajinga wanajisajili hapa? Hapo hata ukiulizwa utaje mambo mawili tu ambayo huyo Makonda wako ameyafanikisha kwa ufanisi utabaki kujiumauma na blah bla kibao!
Mpelekeeni taatifa Mkuu wa mkoa wa dar es salaam mwambieni kwa niaba ya watumishi wote duniani nampinga kwa maandiko zaidi ya saba yanayokanusha uongo aliouongea hadharani:-
1.kwanza hapo mwanzo MUNGU aliziumba mbingu na dunia.
2.Baba anaitwa Muumba wa mbingu na nchi (dunia)
3.Isaya 45:18
Maana BWANA, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine.
4.Isaya 66:1
BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu......
5.Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
6.Paulo anasema katika Waefeso 3:14-15
Kwa hiyo nampigia Baba magoti,ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa,
7.makonda asichanganye maandiko ,MUNGU anasema anatawala mbinguni na duniani ,maana yake utawala wake upo hapa tayari,dola ipo hapa,usalama wa taifa la duniani tuko hapa tukishirikiana na usalama wa mbinguni......mwambieni aendelee
tu na siasa ,mambo ya MUNGU atuachie tunaotetea maslahi ya MUNGU wa mbingu na dunia!
Nukuu toka kwa Kuhani Philemon Mwansepe
(Zab 24:1)Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.
The earth is the LORD' s, and the fulness thereof; the world, and they that dwell therein.
MITHALI 16:18 Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.
Ukuu wa mkoa tu amelewa namna hiyo hadi kumdharau Mungu anababaika na salute za kina sirroHuyu bwana mdogo ameenda mbali kwa kusema hii dunia sio ya mwenyezi Mungu. Je nani muumba wa dunia hii na viumbe vilivyomo. Ni kosa kutafuta kiki za kisiasa kwa kumhusisha Mwenyezi Mungu.
Ahaaa nimekumbuka Mungu was daresalaamHuyu si amewahi kusema pia kwamba yeye ni mungu? Hajatosheka kuwa mungu?
KUNA MWENYE SOFT COPY YA HIKI KITABU AKIWEKE HUMU?Rejea kutoka katika kitabu cha Kuli! Japo mwisho haukuwa mzuri sana.
Hawaamini kuwa Mungu yupo.Kwani hawa majamaa ni wapagani???
Hapa nilipo hayupo.Mungu yupo ulipo pumbavu zako