Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

Kama ulivyokuwa upepo mkali wa mabadiliko ulioanzia Tunisia na kusambaa Asia na Ulaya,sasa upo upepo mkali wa kujitenga. Upepo wa mabadiliko uliotokomezwa Syria,uling'oa viongozi waliokuwa madarakani kwa muda mrefu kama Zine El Abidine Ben Ali wa Tunisia na Muhammar Gaddafi wa Libya. Upepo ukavuma Yemen kwa Ali Abdullah Saleh na Syria kwa Bashir Al Assad kutaja nchi chache.

Sasa ni dhahiri kuna upepo wa kujitenga na kujitangazia uhuru. Upepo upo Asia,Ulaya na Afrika.Huko Iraq ambapo ni Asia,Wakurdi wameendesha kura ya maoni ya kutaka kujitenga iliyopingwa na kupondwa na watawala wa Iraq na sasa kunafukuta.

Ndani ya Ulaya nchini Hispania,Jimbo la Catalunya limepiga kura tata ya maoni ya kutaka kujitenga kutoka Hispania. Kama ilivyo Iraq,Serikali kuu ya Hispania imepinga na kuita kura ya maoni kuwa ni ubatili mtupu. Hapa Afrika,sehemu inayozungumza kiingereza huko Cameroon inataka kujitenga. Inadhibitiwa lakini panafukuta. Nchini Cameroon,kuna sehemu zinazozungumza kifaransa na zile za kiingereza.

Tunapaswa kujivunia misingi imara tuliyonayo ya umoja,amani,utulivu na mshikamano wetu. Tunapaswa kusonga mbele kama Taifa na kuepuka 'pepo chafu' zinazovuma sasa ulimwenguni. Tanzania ni nchi ya kujivunia na kupigiwa mfano.
Hakuna mfano wowote wa kuiga Tanganyika na unguja ni muungano wenye ukakasi na dalili za ukakasi zimeanzia caf kuifuta uanachama wa Moira wamiguu kama sehemu ya muungano wa Tanganyika mpaka Leo unguja hawapendi kukosa kiti AU na UNO kwa sababu rais wanaye bendera wanayo bunge wanalo hata wimbo wa taifa wanao kwa mini wàbebwe kwa hiyo nikuomba ccm iendelee kuongoza Siku ccm ikishindwa zenj muungano haupo

Vipi wale wasioamini uwepo wa Mungu?

Wasioamini uwepo wa MUNGU wanaamini uwepo wa mungu
 
😀😀😀 hapo linakuja swala la uelewa, kwa uuelewake ye anaona yupo sahihi
 
Kutafuta hekma za kimadaraka na kutafuta ubora ktk mambo usiyokuwa na utaalam nayo, acha nisimlaumu yeye ndivyo alivyopikwa na mkuu wake pamoja na mchungaji wake.
 
Kama sio ya Mungu hapa alikuwa anamlilia nani?
bc2636f37b58677e7ee1fea3a61e7605.jpg
 
Adhabu za Mwenyezimungu ni kali saana.
Tunakuomba MOLA wetu mtukufu utusamehe makosa yetu na utubainshie DHULUMA ili tuweze kuiacha na utubainishie HAKI ili tuweze kuifuata....Aaamin
 
Tulia bila wivu wako juu yake usikilize tena hadi mwisho..

Ona mgazeti wote umeenda kusoma Bible na ku C&P kuja kuandika majanga huku hauna subira wala hauelewi unayosikiliza.. eeeh

Acha wivu
Mwambie boss akuongezee mshahara unastahili kwa kazi kubwa unayo fanya.
 
Back
Top Bottom