Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

MTU aliyefeli mtihani wa kidato cha NNE atapata wapi akili ya kuchambua biblia kwa usahihi??? Ushindwe kujua dhana rahisi ya evolution, kisha uje ujue kuchambua Biblia?
Kwa CCM hakuna linaloshindikana
 
nimekugusa lazima!!! una mkate wa kunywea chai?

kama ulipunguzwa bandari, pambana na hali yako, hii haikusaidii
Sijui hata barua ya maombi ya kazi inavyoandikwa. Nyie kalieni huo ujinga ujinga kwa kuwa maisha yenu yanategemea kupiga makofi na kuitikia kila nyimbo hata kama ni za kijinga mradi mkono uende kinywani!
 
Ac
Acha uvivu. Nenda maktaba za serikali au za shule za sekondari utavikuta vingi tu na hata kile cha kivuli kinaishi na zaka la damu vipo.
Acha ujinga ww, unajua niliko hadi uelekeze ulikoelekeza?
 
Ac

Acha ujinga ww, unajua niliko hadi uelekeze ulikoelekeza?
Ujinga huwa hauachwi bali hupumzishwa! Ukiniuliza ulipo hunitendei haki kwani naweza kuwa na majibu ambayo yatakuchekesha kwa furaha au huzuni!
Haya nakujibu:-
Upo kwenye nyonga za babako na au upo kwenye tumbo la mamako! Kama upo kwenye kati ya hao watume maktaba wakakusomee! Usijaribu kujibu kwani kuna nilichokuhifadhia juu ya hapo ulipo!
 
Ujinga huwa hauachwi bali hupumzishwa! Ukiniuliza ulipo hunitendei haki kwani naweza kuwa na majibu ambayo yatakuchekesha kwa furaha au huzuni!
Haya nakujibu:-
Upo kwenye nyonga za babako na au upo kwenye tumbo la mamako! Kama upo kwenye kati ya hao watume maktaba wakakusomee! Usijaribu kujibu kwani kuna nilichokuhifadhia juu ya hapo ulipo!
Nilitumia neno zuri ujinga.
 



Mpelekeeni taatifa Mkuu wa mkoa wa dar es salaam mwambieni kwa niaba ya watumishi wote duniani nampinga kwa maandiko zaidi ya saba yanayokanusha uongo aliouongea hadharani:-

1.kwanza hapo mwanzo MUNGU aliziumba mbingu na dunia.

2.Baba anaitwa Muumba wa mbingu na nchi (dunia)

3.Isaya 45:18
Maana BWANA, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine.

4.Isaya 66:1
BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu......

5.Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

6.Paulo anasema katika Waefeso 3:14-15
Kwa hiyo nampigia Baba magoti,ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa,

7.makonda asichanganye maandiko ,MUNGU anasema anatawala mbinguni na duniani ,maana yake utawala wake upo hapa tayari,dola ipo hapa,usalama wa taifa la duniani tuko hapa tukishirikiana na usalama wa mbinguni......mwambieni aendelee
tu na siasa ,mambo ya MUNGU atuachie tunaotetea maslahi ya MUNGU wa mbingu na dunia!

Nukuu toka kwa Kuhani Philemon Mwansepe

(Zab 24:1)Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.

The earth is the LORD' s, and the fulness thereof; the world, and they that dwell therein.

MITHALI 16:18 Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.


Hizi siasa za kushambulia personality hazitaijenga kambi ya upinzani. Napenda sana Lowasa anavyokwenda. Kimya kimya, sio kwamba hana cha kusema...ila anajua athari za siasa za aina hiyo. Mkwe wake mwaka mzima huu yuko ndani. Binti yake lazima hiyo inampiga moja kwa moja moyoni. Lakini kimyaaaa

Tuache siasa hizi zitausambaratisha upinzani. Kama kuna kitu kikubwa ambacho wangekitekeleza vizuri kingeleta mabadiliko ni ile kitu waliita M4C...haya ya siku hizi ya kuamka kusubiri tukio gani litokee ili watu wafanye siasa mhhhh
 
Back
Top Bottom