hakika utakufa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,786
- 823
Kwann kubishana na mpumbavu?huyo ni wa shetani ni kawaida kwa binadam anapokuwa ktk madaraka
Nani kakwambia bado miaka nane, nani kakwambia ataondokaBado miaka nane tu....JPM ataondoka....mkuu wa mkoa nae ajiandae kuondoka nae...JPM mwenzake atakua anastaafu..sijui yeye atakua anaenda kufanya nn?
Huyu bwana mdogo ameenda mbali kwa kusema hii dunia sio ya mwenyezi Mungu. Je nani muumba wa dunia hii na viumbe vilivyomo. Ni kosa kutafuta kiki za kisiasa kwa kumhusisha Mwenyezi Mungu.
Mpelekeeni taatifa Mkuu wa mkoa wa dar es salaam mwambieni kwa niaba ya watumishi wote duniani nampinga kwa maandiko zaidi ya saba yanayokanusha uongo aliouongea hadharani:-
1.kwanza hapo mwanzo MUNGU aliziumba mbingu na dunia.
2.Baba anaitwa Muumba wa mbingu na nchi (dunia)
3.Isaya 45:18
Maana BWANA, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine.
4.Isaya 66:1
BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu......
5.Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
6.Paulo anasema katika Waefeso 3:14-15
Kwa hiyo nampigia Baba magoti,ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa,
7.makonda asichanganye maandiko ,MUNGU anasema anatawala mbinguni na duniani ,maana yake utawala wake upo hapa tayari,dola ipo hapa,usalama wa taifa la duniani tuko hapa tukishirikiana na usalama wa mbinguni......mwambieni aendelee
tu na siasa ,mambo ya MUNGU atuachie tunaotetea maslahi ya MUNGU wa mbingu na dunia!
Nukuu toka kwa Kuhani Philemon Mwansepe
(Zab 24:1)Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.
The earth is the LORD' s, and the fulness thereof; the world, and they that dwell therein.
MITHALI 16:18 Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.
Wewe naye! Uliishapuuzwa siku nyingi.............mkuu makonda atakupa ugonjwa wa moyo
hata ww haupaswi kumjadili wala kumfuatilia....
Kwa mujibu wa biblia Makonda yuko sahihi maana ni biblia hiyohiyo imemtaja Shetani kuwa baba wa ulimwengu huu. Maana ya baba wa ulimwengu ni mwenye mamlaka ya juu hapa Duniani. Tusome biblia zetu vizuri jamani. Ni kweli kuwa Mungu aliumba mbingu na nchi/Dunia lkn baada ya uasi shetani alijitwalia sehemu kubwa ya uongozi wa Dunia hii na ndomana hata katika biblia hiyohiyo baada ya Yesu kutoka mlimani kwenye mfungo wa siku 40 alijaribiwa na shetanji kwa namna tofautitofauti ikiwa ni pamoja na kuahidiwa Mali zote za Dunia hii endapo angekubali kumuabudu shetani! Ni nani aweza kuahidi kutoa mali asiyokuwa na mamlaka nayo!!? Mpaka hapo tunagundua kuwa shetani alikuwa na ana mamlaka ya juu hapa Duniani, maana kama ameweza kumjaribu na kumshawishi Yesu kristo ambaye kwetu Wakristo ni Mwana wa Mungu, Bwana na mwokozi wa maisha yetu basi shetani yu'na mamlaka ya juu sana hapa Duniani. <br />Tusome biblia zetu jamani.
Basi kama unaamini hayupo tuliza mshonoHapa nilipo hayupo.
Anza kuutuliza wa kwako!Basi kama unaamini hayupo tuliza mshono
Njoo nikukune huo mshono wenye ufaAnza kuutuliza wa kwako!
Au unakuwasha washa?
Jikune mwenyewe.Njoo nikukune huo mshono wenye ufa
Wewe naye! Uliishapuuzwa siku nyingi.............
Nalo linakuhusu we kilaza?halafu unaingiza sh. ngapi?
Hahaaaaa,,,,relaxJikune mwenyewe.
Hahaaaaa,,,,relax