The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,549
Mkuu endelea kujitoa ufahamu tu na kubishana vitu vidogo......
Kudanganya watu hapa kuwa Rais huyu kabakisha miaka minane ndiyo wajiona wewe una ufahamu, siyo?
Kwa reference ya katiba ipi mkubwa?
Soma katiba ya JMT uelewe. Mhula mmoja wa Rais kukaa madarakani ni miaka mitano tu... Nothing more, nothing less!!
Kwa hesabu huyu wa kwako hajabakisha miaka nane bali ni miwili na sehemu kidogo...!!
Panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu, akipata nafasi ya kugombea uchaguzi ujao wa oktoba 2020 na kushinda atapata term nyingine ya miaka mitano tena na mara baada ya kuapishwa unaanza kutoa muda wake wa kukaa madarakani kutoka ktk miaka mitano.....
Hii mitano isiyokuwepo ambayo wewe sijui kwa base ipi unayoijumlisha na kupata nane haipo kwa sbb wala yeye si mgombea, si mshindi na wala uchaguzi haujafanyika....!!
Iliyo halali yake bila kujali ataimaliza ama vipi ni hii miwili na ushee kidogo aliyobaki nayo....
Nimeona nikupe shule kidogo ufunguke na kisha uelewe na kwamba hakuna mtu anayejitoa ufahamu unless wewe uniambie ndiye uliyeamua kung'oa ufahamu wako kwenye reli ya fikra jadifu, na siyo mimi....!!
Kwa heri na usiku mwema...