Makonda awapa Ofisi CHADEMA. Awataka walipie pango la ofisi ya Makao Makuu kwani mwenye nyumba analalamika

Sijui ni kwa nini ukifanya Mchezo na Mtu Mjinga hakawii kukupaka kiny*si 🙄
 
Hyo ofisi itakua ya kimasimango tuu waachane nayo. Kwani chadema haiwezi kujenga jamani ofisi
 
Habari wakuu,
View attachment 1297300
Ofisi ambayo CHADEMA Makao Makuu wamezawaidiwa

Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amewagawia nyumba ambayo ni Ofisi ya CCM Wilaya ya Kinondoni. Amesema ameamua kuwagawia CHADEMA kwa sababu Makao Makuu ya CHADEMA Wamepanga na hawalipi Kodi hivyo, Mwenye nyumba kila siku anashinda Ofisini kwake kuomba amsaidie kudai deni la Nyumba. Alimwambia nikiwadai wataingiza mambo ya Siasa.
View attachment 1297301
Hivyo nimeamua kuwajengea Ofisi mpya CCM Knondoni yenye gorofa moja ili ile ya zamani wawaachie chaadema Makao makuu. amesema atatumia Sh2.5 bilioni kujenga ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika wilaya tano za Dar Kama asante yangu kwa Wanaccm.

Watu Watahoji natoa wapi hela wengine eti naingia bajeti, Nataka wajiulize
View attachment 1297302
Nmejenga Chumba cha mama na mtoto Amana. Nmejenga Chumba cha Upasuaji Mwananyamala nikiwa Mkuu wa Wilaya na siku ya Uzindunzi ndo nikaambiwa nimepata Ukuu wa Mkoa “wanaohoji kwamba fedha za Serikali zinatumika kujenga ofisi ya chama, wahoji kuhusu ofisi 73 za walimu zilizojengwa katika shule hapa Dar es Salaam, wahoji kuhusu watoto wanaopewa matibabu ya moyo na hospitali ya Chanika wahoji fedha zake zinatoka wapi.”

"Wapo wenye fikra potofu ambao wakiona ofisi hizi watadhani ubunge, nafasi hizi zipo kwa ratiba ya Mungu. Mkoa huu una majimbo mangapi?” Kaongeza nafasi nliyonayo ni zaidi ya Ubunge. Wabunge wote wa Dar wapo chini yangu na wakitaka kuzungumza lazima waniombe ruhusa.
View attachment 1297304
Mwisho wa siku kaweka jiwe la msingi na akasema ujenzi ukiisha Ofisi ya Zamani wapewe CHADEMA Makao makuu wahamie hapo.Unajua hawa CHADEMA, Mimi nlimuombea kura Mbowe ili ashinde uchaguzi huu sababu Uwezo wake naujua, hana madhara kwa chama chetu.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni amesema baadhi waliposikia Makonda ameahidi na ameamua kujenga ofisi hizo alihusianisha na uchaguzi wa mwaka 2020.

Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Zakaria Mwaisasu amewataka wanachama walioamua kukifanyia kazi chama chao wasiogope kelele ili mradi hawavunji kanuni na katiba ya chama hicho.
View attachment 1297449
Bashite kuna Mwanaume mmoja ana mfadhili

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Ingekuwa ni CCM ile ya Nyerere ya watu waadilifu hiyo ilikuwa ni sababu tosha na ushahidi tosha wa kumtia hatiani Makonda kama kiongozi pesa ya kukijengea chama kinachopata ruzuku lukuki na chenye wanachama nchi nzima pamoja na serekali, hizi fedha kama siyo mwizi anazipata wapi?.
Na je kesho ama kesho kutwa mh makonda akitaka kuomba ridhaa ya kugombea chochote ndani ya chama je akishindanishwa na wagombea wengine haki itatendeka?
 
Habari wakuu,
View attachment 1297300
Ofisi ambayo CHADEMA Makao Makuu wamezawaidiwa

Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amewagawia nyumba ambayo ni Ofisi ya CCM Wilaya ya Kinondoni. Amesema ameamua kuwagawia CHADEMA kwa sababu Makao Makuu ya CHADEMA Wamepanga na hawalipi Kodi hivyo, Mwenye nyumba kila siku anashinda Ofisini kwake kuomba amsaidie kudai deni la Nyumba. Alimwambia nikiwadai wataingiza mambo ya Siasa.
View attachment 1297301
Hivyo nimeamua kuwajengea Ofisi mpya CCM Knondoni yenye gorofa moja ili ile ya zamani wawaachie chaadema Makao makuu. amesema atatumia Sh2.5 bilioni kujenga ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika wilaya tano za Dar Kama asante yangu kwa Wanaccm.

Watu Watahoji natoa wapi hela wengine eti naingia bajeti, Nataka wajiulize
View attachment 1297302
Nmejenga Chumba cha mama na mtoto Amana. Nmejenga Chumba cha Upasuaji Mwananyamala nikiwa Mkuu wa Wilaya na siku ya Uzindunzi ndo nikaambiwa nimepata Ukuu wa Mkoa “wanaohoji kwamba fedha za Serikali zinatumika kujenga ofisi ya chama, wahoji kuhusu ofisi 73 za walimu zilizojengwa katika shule hapa Dar es Salaam, wahoji kuhusu watoto wanaopewa matibabu ya moyo na hospitali ya Chanika wahoji fedha zake zinatoka wapi.”

"Wapo wenye fikra potofu ambao wakiona ofisi hizi watadhani ubunge, nafasi hizi zipo kwa ratiba ya Mungu. Mkoa huu una majimbo mangapi?” Kaongeza nafasi nliyonayo ni zaidi ya Ubunge. Wabunge wote wa Dar wapo chini yangu na wakitaka kuzungumza lazima waniombe ruhusa.
View attachment 1297304
Mwisho wa siku kaweka jiwe la msingi na akasema ujenzi ukiisha Ofisi ya Zamani wapewe CHADEMA Makao makuu wahamie hapo.Unajua hawa CHADEMA, Mimi nlimuombea kura Mbowe ili ashinde uchaguzi huu sababu Uwezo wake naujua, hana madhara kwa chama chetu.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni amesema baadhi waliposikia Makonda ameahidi na ameamua kujenga ofisi hizo alihusianisha na uchaguzi wa mwaka 2020.

Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Zakaria Mwaisasu amewataka wanachama walioamua kukifanyia kazi chama chao wasiogope kelele ili mradi hawavunji kanuni na katiba ya chama hicho.
View attachment 1297449

Yote aliyoyafanya ni ya kupongezwa.

Akili yangu haitaki kuacha bila kujiuliza....

Pesa zote hizi anazitoa kama mkuu wa mkoa au kama makonda.?

Anapata wapi pesa zote hizi?

Kama wapo wanaomchangia, wanataka waje kulipwa fadhira gani?
 
Makonda ana huruma sana

Amewajengea Bakwata ghorofa la makao makuu

Amewapa Yanga uwanja kigamboni

Amewalipia watoto zaidi ya 600 bima ya afya

Amewajengea CCM kinondoni ofisi za ghorofa

Amejenga ofisi za walimu Dsm yote

Amewapa Chadema ofisi zilizokuwa za CCM waweze kujisitiri

Hakika hakuna kiongozi wa CCM mwenye upendi kumzidi RC Makonda!
Yupo jembe toka chato uyo ndio babalao
Makonda anajitahidi tu
 
Habari wakuu,
View attachment 1297300
Ofisi ambayo CHADEMA Makao Makuu wamezawaidiwa

Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amewagawia nyumba ambayo ni Ofisi ya CCM Wilaya ya Kinondoni. Amesema ameamua kuwagawia CHADEMA kwa sababu Makao Makuu ya CHADEMA Wamepanga na hawalipi Kodi hivyo, Mwenye nyumba kila siku anashinda Ofisini kwake kuomba amsaidie kudai deni la Nyumba. Alimwambia nikiwadai wataingiza mambo ya Siasa.
View attachment 1297301
Hivyo nimeamua kuwajengea Ofisi mpya CCM Knondoni yenye gorofa moja ili ile ya zamani wawaachie chaadema Makao makuu. amesema atatumia Sh2.5 bilioni kujenga ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika wilaya tano za Dar Kama asante yangu kwa Wanaccm.

Watu Watahoji natoa wapi hela wengine eti naingia bajeti, Nataka wajiulize
View attachment 1297302
Nmejenga Chumba cha mama na mtoto Amana. Nmejenga Chumba cha Upasuaji Mwananyamala nikiwa Mkuu wa Wilaya na siku ya Uzindunzi ndo nikaambiwa nimepata Ukuu wa Mkoa “wanaohoji kwamba fedha za Serikali zinatumika kujenga ofisi ya chama, wahoji kuhusu ofisi 73 za walimu zilizojengwa katika shule hapa Dar es Salaam, wahoji kuhusu watoto wanaopewa matibabu ya moyo na hospitali ya Chanika wahoji fedha zake zinatoka wapi.”

"Wapo wenye fikra potofu ambao wakiona ofisi hizi watadhani ubunge, nafasi hizi zipo kwa ratiba ya Mungu. Mkoa huu una majimbo mangapi?” Kaongeza nafasi nliyonayo ni zaidi ya Ubunge. Wabunge wote wa Dar wapo chini yangu na wakitaka kuzungumza lazima waniombe ruhusa.
View attachment 1297304
Mwisho wa siku kaweka jiwe la msingi na akasema ujenzi ukiisha Ofisi ya Zamani wapewe CHADEMA Makao makuu wahamie hapo.Unajua hawa CHADEMA, Mimi nlimuombea kura Mbowe ili ashinde uchaguzi huu sababu Uwezo wake naujua, hana madhara kwa chama chetu.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni amesema baadhi waliposikia Makonda ameahidi na ameamua kujenga ofisi hizo alihusianisha na uchaguzi wa mwaka 2020.

Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Zakaria Mwaisasu amewataka wanachama walioamua kukifanyia kazi chama chao wasiogope kelele ili mradi hawavunji kanuni na katiba ya chama hicho.
View attachment 1297449
Uko sawa mh mkuu wa mkoa, mi niliwaamnia utakodishaje ndege kwenda mwanza kuomba maridhiano kwenye sherehe za uhuru? Pesa hizo tungejenga ofisi, lakini pia wakakodi ukumbi wa mamilioni mlimani city kwaajiri ya kikao wakati ndani ya miaka hii mitano tungekuwa na ofisi nzuri zenye kumbi safi kwa pesa zetu za ruzuku pamoja na makato ya wabunge + wafaziri. Ahsante kwa msaada wa ofisi.
 
Makonda ana huruma sana

Amewajengea Bakwata ghorofa la makao makuu

Amewapa Yanga uwanja kigamboni

Amewalipia watoto zaidi ya 600 bima ya afya

Amewajengea CCM kinondoni ofisi za ghorofa

Amejenga ofisi za walimu Dsm yote

Amewapa Chadema ofisi zilizokuwa za CCM waweze kujisitiri

Hakika hakuna kiongozi wa CCM mwenye upendi kumzidi RC Makonda!
Hizo ofisi za walimu ni ngapi zimekamilika? Hivi nilikuambia kuwa huyo msanii kajenga maboma tu yaliyoishia kwenye lenta hutaelewa kwasababu unasukumwa na upenzi ukiokithiri! Wilaya yote ya kinondoni ni maboma na misingi isiyoendelezwa! Njoo mtongani na ununio uone kwa macho! Aache kujimwambafai!
 
Back
Top Bottom