Makonda awapa Ofisi CHADEMA. Awataka walipie pango la ofisi ya Makao Makuu kwani mwenye nyumba analalamika

Siku ccm wakiondolewa kwenye hizo ofisi za serikali wanazotumia kwa sasa ndio itakuwa mwisho wao hawatakuwa hata na uwezo wa kupanga.

For further information they should ask Kanu and Unip what it entails to be a former ruling party.

Wangekuwa na akili walau kidogo wangeanza kujenga ofisi zao kipindi hiki wapo madarakani make huu muda hawataupata tena asilani.
 
Hahuhitaji kuwa na degree kutambua watu wenye taranta ya kuwa viongozi

Makonda ni mfano wa kiongozi anaegusa maisha ya watu mojakwamoja.

Aibu hii ilitosha kumfanya Mbowe ajiuzuru..
Pandikizi lenu limepata kura 50..mnaongelea vitu visivyowahusu..
 
Kwa upande mwingine ni tusi kwa CHADEMA mpaka sasa wamepewa si chini ya bilion 13 za ruzuku. Achilia mbali michango ya milioni mbili kila mwezi kwa wabunge wao wote, achilia mbali michango ya wanachama na wahisani kutoka nje. Ifike wakati kwenye A tuweke A tisibadili kuweka B... Chama kinashindwaje kujenga ofisi ya hadhi hata ya milioni 150? Chama kimepanga ofisi kama kibanda cha wahuni? Wameshindwa hata na TLP pale magomeni... TLP wakipanga rangi kajengo kao kanapendeza... Mwenyekiti mbowe badilika...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda ana huruma sana

Amewajengea Bakwata ghorofa la makao makuu

Amewapa Yanga uwanja kigamboni

Amewalipia watoto zaidi ya 600 bima ya afya

Amewajengea CCM kinondoni ofisi za ghorofa

Amejenga ofisi za walimu Dsm yote

Amewapa Chadema ofisi zilizokuwa za CCM waweze kujisitiri

Hakika hakuna kiongozi wa CCM mwenye upendi kumzidi RC Makonda!
Wanasema pendo la Agape hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini hizo Office musiwape cuf kwa kazi nzuri alio fanya mulio watuma kina wanafiki lipumba
 
Hahuhitaji kuwa na degree kutambua watu wenye taranta ya kuwa viongozi

Makonda ni mfano wa kiongozi anaegusa maisha ya watu mojakwamoja.

Aibu hii ilitosha kumfanya Mbowe ajiuzuru..
Yaani wewe mtu kutembeza bakuri pointi A na kugawa kile alichokipata point A kwa Point B ndo taranta ya uongozi? no wonder mnazaliwa na kufa masikini kizazi after kizazi
 
Habari wakuu,
View attachment 1297300
Ofisi ambayo CHADEMA Makao Makuu wamezawaidiwa

Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amewagawia nyumba ambayo ni Ofisi ya CCM Wilaya ya Kinondoni. Amesema ameamua kuwagawia CHADEMA kwa sababu Makao Makuu ya CHADEMA Wamepanga na hawalipi Kodi hivyo, Mwenye nyumba kila siku anashinda Ofisini kwake kuomba amsaidie kudai deni la Nyumba. Alimwambia nikiwadai wataingiza mambo ya Siasa.
View attachment 1297301
Hivyo nimeamua kuwajengea Ofisi mpya CCM Knondoni yenye gorofa moja ili ile ya zamani wawaachie chaadema Makao makuu. amesema atatumia Sh2.5 bilioni kujenga ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika wilaya tano za Dar Kama asante yangu kwa Wanaccm.

Watu Watahoji natoa wapi hela wengine eti naingia bajeti, Nataka wajiulize
View attachment 1297302
Nmejenga Chumba cha mama na mtoto Amana. Nmejenga Chumba cha Upasuaji Mwananyamala nikiwa Mkuu wa Wilaya na siku ya Uzindunzi ndo nikaambiwa nimepata Ukuu wa Mkoa “wanaohoji kwamba fedha za Serikali zinatumika kujenga ofisi ya chama, wahoji kuhusu ofisi 73 za walimu zilizojengwa katika shule hapa Dar es Salaam, wahoji kuhusu watoto wanaopewa matibabu ya moyo na hospitali ya Chanika wahoji fedha zake zinatoka wapi.”

"Wapo wenye fikra potofu ambao wakiona ofisi hizi watadhani ubunge, nafasi hizi zipo kwa ratiba ya Mungu. Mkoa huu una majimbo mangapi?” Kaongeza nafasi nliyonayo ni zaidi ya Ubunge. Wabunge wote wa Dar wapo chini yangu na wakitaka kuzungumza lazima waniombe ruhusa.
View attachment 1297304
Mwisho wa siku kaweka jiwe la msingi na akasema ujenzi ukiisha Ofisi ya Zamani wapewe CHADEMA Makao makuu wahamie hapo.Unajua hawa CHADEMA, Mimi nlimuombea kura Mbowe ili ashinde uchaguzi huu sababu Uwezo wake naujua, hana madhara kwa chama chetu.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni amesema baadhi waliposikia Makonda ameahidi na ameamua kujenga ofisi hizo alihusianisha na uchaguzi wa mwaka 2020.

Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Zakaria Mwaisasu amewataka wanachama walioamua kukifanyia kazi chama chao wasiogope kelele ili mradi hawavunji kanuni na katiba ya chama hicho.
View attachment 1297449
Jamani hivi mshahara wa mkuu wa mkoa ni shilingi ngapi? mpaka mkuu wa mkoa wa Dar anapata 2.5 B za kutoa shukran kwa ccm it means account yake inasoma T na zaidi, nilikuwa nauchukulia poa ukuu wa mkoa kumbe bwana 4 good years wewe ni trionia,nice
 
Kwenye nchi hii ukiwa madarakani unaweza kupata chochote ukitakacho, hata ukienda kwa matajiri unaweza kuwatishia upendevyo na kupata utakacho. Au Makonda aonyeshe alijenga majengo mangapi kabla ya kupata madaraka aliyonayo. Unaweza hata kuuza unga au kushirikiana na wauza unga ili kupata pesa za kusaka sifa za kisiasa.
Nchi haiwezi kuendeshwa kwa mtu mmoja mmoja kujitokeza na ''kusaidia'' kujenga au kufanya kazi zilizopaswa kufanywa na vyombo husika. Hii inaonyesha kasoro kubwa sana kwenye utawala. Siyo kama nakataa watu au viongozi kusaidia hapa na pale wanapoweza lakini isiwe kama ndiyo namna ya kuendesha nchi. Makonda ana mambo mengi sana yenye kumhusu lakini anayafumbia macho na kukimbilia kufanya vitu visivyomhusu kabisa. Matokeo yake mambo mengi kwenye mkoa yanazidi kuvuruguka na atakapoondoka atauacha mkoa kwenye hali mbovu.
 
No mimi sina chama ila pia ni realist, CCM ndio mpango mzima!.
Mwakani nastaafu uandishi, na najiandaa kuingia kwenye siasa, hivyo nimeishaanza maandalizi
P
Hongera zako kuachana na unafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande mwingine ni tusi kwa CHADEMA mpaka sasa wamepewa si chini ya bilion 13 za ruzuku. Achilia mbali michango ya milioni mbili kila mwezi kwa wabunge wao wote, achilia mbali michango ya wanachama na wahisani kutoka nje. Ifike wakati kwenye A tuweke A tisibadili kuweka B... Chama kinashindwaje kujenga ofisi ya hadhi hata ya milioni 150? Chama kimepanga ofisi kama kibanda cha wahuni? Wameshindwa hata na TLP pale magomeni... TLP wakipanga rangi kajengo kao kanapendeza... Mwenyekiti mbowe badilika...

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo jengo la TLP siyo la Mrema ni jengo la Ngawaiya kawapangisha TLP, kumbuka chadema kwa saa 24 kila siku inatumia gharama kubwa sana kujihami dhidi ya hujuma za CCM wanaotaka kurejesha mfumo wa chama kimoja, CCM wamenunua wabunge madiwani na wenyeviti wa chadema kisha wakawalazimisha kuingia kwenye chaguzi zilizo nje ya bajeti ya chadema, CCM wanawabambikia kesi wanaingia gharama ya kuajiri mawakili na gharama zingine za kupambana na hizo kesi, wanawapiga risasi wanawadhoofisha kwa kila hali ni gharama kubwa kuilinda kuidumisha chadema mpaka leo, kumbuka chadema imeajiri watumishi mbalimbali mikoani wilayani na wote wanalipwa mishahara zipo gharama kubwa za kuiendesha chadema chini ya pressure za hujuma za CCM, lakini pamoja na chadema kuwa na ofisi ndogo inao wanachama na wanaipenda chadema ilivyo lakini CCM yenye kila kitu inalazimisha watu waipende kwa nguvu, watanzania siyo wajinga hata magufuli alikiri hilo mapema wanajua hakuna Ulingo sawa wa Siasa hakuna Tume huru ya uchaguzi hakuna haki sawa na CCM imepora majengo ya vyama vyote vya upinzani kwa njia haramu.
 
Nchi haiwezi kuendeshwa kwa mtu mmoja mmoja kujitokeza na ''kusaidia'' kujenga au kufanya kazi zilizopaswa kufanywa na vyombo husika. Hii inaonyesha kasoro kubwa sana kwenye utawala. Siyo kama nakataa watu au viongozi kusaidia hapa na pale wanapoweza lakini isiwe kama ndiyo namna ya kuendesha nchi. Makonda ana mambo mengi sana yenye kumhusu lakini anayafumbia macho na kukimbilia kufanya vitu visivyomhusu kabisa. Matokeo yake mambo mengi kwenye mkoa yanazidi kuvuruguka na atakapoondoka atauacha mkoa kwenye hali mbovu.
CCM warejeshe majengo ofisi viwanja vyote vigawanywe kwa vyama vyote vya upinzani kwa usawa
 
Jamani hivi mshahara wa mkuu wa mkoa ni shilingi ngapi? mpaka mkuu wa mkoa wa Dar anapata 2.5 B za kutoa shukran kwa ccm it means account yake inasoma T na zaidi, nilikuwa nauchukulia poa ukuu wa mkoa kumbe bwana 4 good years wewe ni trionia,nice
Kipindi alitengeneza ile sinema blackmail ya kutaja List ya wauza unga si unajua wengi waliwabambikia kesi ikabidi wachangishane wampe mzigo aache kuwataja makusidi na baadhi walikamata Unga wao akapewa Le mutuz kwenda kuuza china na South Africa ni ndicho kipindi alitajirika sana akajenga majengo mwanza Dsm na kununua nyumba Dubai na South Africa, mkitaka siri zote za Bashite msihangaike chukua Mrembo mzuri mpenyeze kwa Le mutuz ambaye ni mpambe number one wa Bashite huko utapewa taarifa zote kwani Le mutuz huwa mdhaifu sana kwa wanawake hasa visichana vidogo.
 
Habari wakuu,
View attachment 1297300
Ofisi ambayo CHADEMA Makao Makuu wamezawaidiwa

Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amewagawia nyumba ambayo ni Ofisi ya CCM Wilaya ya Kinondoni. Amesema ameamua kuwagawia CHADEMA kwa sababu Makao Makuu ya CHADEMA Wamepanga na hawalipi Kodi hivyo, Mwenye nyumba kila siku anashinda Ofisini kwake kuomba amsaidie kudai deni la Nyumba. Alimwambia nikiwadai wataingiza mambo ya Siasa.
View attachment 1297301
Hivyo nimeamua kuwajengea Ofisi mpya CCM Knondoni yenye gorofa moja ili ile ya zamani wawaachie chaadema Makao makuu. amesema atatumia Sh2.5 bilioni kujenga ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika wilaya tano za Dar Kama asante yangu kwa Wanaccm.

Watu Watahoji natoa wapi hela wengine eti naingia bajeti, Nataka wajiulize
View attachment 1297302
Nmejenga Chumba cha mama na mtoto Amana. Nmejenga Chumba cha Upasuaji Mwananyamala nikiwa Mkuu wa Wilaya na siku ya Uzindunzi ndo nikaambiwa nimepata Ukuu wa Mkoa “wanaohoji kwamba fedha za Serikali zinatumika kujenga ofisi ya chama, wahoji kuhusu ofisi 73 za walimu zilizojengwa katika shule hapa Dar es Salaam, wahoji kuhusu watoto wanaopewa matibabu ya moyo na hospitali ya Chanika wahoji fedha zake zinatoka wapi.”

"Wapo wenye fikra potofu ambao wakiona ofisi hizi watadhani ubunge, nafasi hizi zipo kwa ratiba ya Mungu. Mkoa huu una majimbo mangapi?” Kaongeza nafasi nliyonayo ni zaidi ya Ubunge. Wabunge wote wa Dar wapo chini yangu na wakitaka kuzungumza lazima waniombe ruhusa.
View attachment 1297304
Mwisho wa siku kaweka jiwe la msingi na akasema ujenzi ukiisha Ofisi ya Zamani wapewe CHADEMA Makao makuu wahamie hapo.Unajua hawa CHADEMA, Mimi nlimuombea kura Mbowe ili ashinde uchaguzi huu sababu Uwezo wake naujua, hana madhara kwa chama chetu.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni amesema baadhi waliposikia Makonda ameahidi na ameamua kujenga ofisi hizo alihusianisha na uchaguzi wa mwaka 2020.

Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Zakaria Mwaisasu amewataka wanachama walioamua kukifanyia kazi chama chao wasiogope kelele ili mradi hawavunji kanuni na katiba ya chama hicho.
View attachment 1297449
Akajenge kolomije!
 
CCM warejeshe nyumba majengo viwanja ofisi zote vije kugawanywa upya kwa vyama vyote vya upinzani
 
Yaani wewe mtu kutembeza bakuri pointi A na kugawa kile alichokipata point A kwa Point B ndo taranta ya uongozi? no wonder mnazaliwa na kufa masikini kizazi after kizazi
No wonder hujijui mpaka Leo..hopeless
 
Back
Top Bottom