Makonda awapa Ofisi CHADEMA. Awataka walipie pango la ofisi ya Makao Makuu kwani mwenye nyumba analalamika

Cecil Mwambe alitumwa nini ? Maana CCM kutaka kutoa jengo ni hoja kama ya Kamanda Cecil Mwambe mgombea Uenyekiti Taifa Chadema.
 
Kutwa wako mitandaoni wakimchangia sijuwi Mh. Lissu, matusi, kula ruzuku, kufanya chama kama kampuni, kukiendesha chama kidikteta, kufanya uhuni na furugu mitaani, kupiga watu...Kumbe hata kodi ya mwenye nyumba hawalipi?!
Halafu ndiyo wapewe nchi?!
Wanasikitisha, narudia hawa hawako serious, wachumia tumbo tu...
 
Huyu kijana ana roho nzuri mno MF. wa hayati R.Mengi na tena ana upendo kama wa Mo Dewji na anajitahidi kusaidia kama Mh.Rais

japo nabaki najiuliza hayo mapesa anayatoa wapi.?

IPI siri ya mafanikio,huku ma RC wengine wanafeliii hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda ana huruma sana

Amewajengea Bakwata ghorofa la makao makuu

Amewapa Yanga uwanja kigamboni

Amewalipia watoto zaidi ya 600 bima ya afya

Amewajengea CCM kinondoni ofisi za ghorofa

Amejenga ofisi za walimu Dsm yote

Amewapa Chadema ofisi zilizokuwa za CCM waweze kujisitiri

Hakika hakuna kiongozi wa CCM mwenye upendi kumzidi RC Makonda!
Ana Roho ya kipeke maana Hela zote hizi anazitoa mfukoni mwake, Kweli ni mfano wa kuigwa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchekeeni tu. Kuna siku mtakuja kusema oooh ni fisadi. Siku ukisikia utakatishaji fedha Kisutu ndio mtabadilisha mapambio au kukinbia kabisa humu kijiweni kama kawaida yenu
bambie kuwa mtu akikutumia kwa faida yako kuna siku atakutumia kwa faida yake! yajayo yanahuzunisha.
 
Makonda ana huruma sana

Amewajengea Bakwata ghorofa la makao makuu

Amewapa Yanga uwanja kigamboni

Amewalipia watoto zaidi ya 600 bima ya afya

Amewajengea CCM kinondoni ofisi za ghorofa

Amejenga ofisi za walimu Dsm yote

Amewapa Chadema ofisi zilizokuwa za CCM waweze kujisitiri

Hakika hakuna kiongozi wa CCM mwenye upendi kumzidi RC Makonda!
Hela za kupora watu kwa mtutu wa bunduki wa Wasiojulikana. Nitawashangaa CHADEMA kwa hatua yo yote watayochukua kuhusu upuuzi huu.
 
Makonda ana huruma sana

Amewajengea Bakwata ghorofa la makao makuu

Amewapa Yanga uwanja kigamboni

Amewalipia watoto zaidi ya 600 bima ya afya

Amewajengea CCM kinondoni ofisi za ghorofa

Amejenga ofisi za walimu Dsm yote

Amewapa Chadema ofisi zilizokuwa za CCM waweze kujisitiri

Hakika hakuna kiongozi wa CCM mwenye upendi kumzidi RC Makonda!
Huyu mwenye upendo mkuu hivi kwa watu wa DSM siyo Mungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahuhitaji kuwa na degree kutambua watu wenye taranta ya kuwa viongozi

Makonda ni mfano wa kiongozi anaegusa maisha ya watu mojakwamoja.

Aibu hii ilitosha kumfanya Mbowe ajiuzuru..
Mkaanze upya kupenyeza ajenda za kipumbavu. Uchaguzi ndani ya chadema umekamilika nendeni mahakamani mfungue kesi ya kupinga uchaguzi kama mlivyopanga
 
Bila shaka pesa hizi zinatoka kwa wafanyabiashara... na kama ndivyo hofu yangu ni kuwa je ikitokea kuwa mtu huyo alochangia pesa akafanya kosa je mkuu wa mkoa ataweza kumuwajibisha? nakumbuka mh Rais alisema wakati wa kampeni alikataa pesa za wafanyabiashara na nadhani ilikuwa ni busara na ndio maana amekuwa na mandate ya kuwawajibisha ... anyways hayanihusu
 
Ingekuwa ni CCM ile ya Nyerere ya watu waadilifu hiyo ilikuwa ni sababu tosha na ushahidi tosha wa kumtia hatiani Makonda kama kiongozi pesa ya kukijengea chama kinachopata ruzuku lukuki na chenye wanachama nchi nzima pamoja na serekali, hizi fedha kama siyo mwizi anazipata wapi?.
 
Makonda ana huruma sana

Amewajengea Bakwata ghorofa la makao makuu

Amewapa Yanga uwanja kigamboni

Amewalipia watoto zaidi ya 600 bima ya afya

Amewajengea CCM kinondoni ofisi za ghorofa

Amejenga ofisi za walimu Dsm yote

Amewapa Chadema ofisi zilizokuwa za CCM waweze kujisitiri

Hakika hakuna kiongozi wa CCM mwenye upendi kumzidi RC Makonda!
Kwa salarii ya Ara Sii? He must be joking. Na hao ta kei kei rei wapo tu, na tii ara ii nao wapo tuu hawaulizi chanzo cha ukwasi wa Mtu wa Mungu huyu mwenye huruma hata kwa chama chengine!
 
Back
Top Bottom