Mh miss chaga, no, not at all. Nina miaka tele bila kufika huko kwenye nyumba hizo kwa upuuzi kama huu.hata sielewi ila we swali tu mkuu
Mh miss chaga, no, not at all. Nina miaka tele bila kufika huko kwenye nyumba hizo kwa upuuzi kama huu.hata sielewi ila we swali tu mkuu
Hivi hiyo show inayeigharamia ni nani?Maana ninavyoona ni kama hao wameshapewa chao!
Masheikh wana njaa sana hapo utakuta 90% hawakumaliza primary
Anasoma tena Mzumbe sasa hivi naona atapata anakuwepo chuoni mara chache sana atakuja kuonana na wanaomsomeaKazi yake ni kutumia shortcut kwenye Shule na muda si mrefu utasikia ana masters wakati kesha Disco hivi karibuni Mzumbe University alipojaribu kusoma MSc. HRM
Ataenda UchiBaada ya kumwambia alitakiwa kuvua viatu kaamua kurudi tena. Ana wasiwasi zile sala hazikufika ndiyo maana akaendelea kusakamwa. Na wasiwasi na mungu wake anayemwamini.haiwezekani kuzunguka kwa maaskofu,wachungaji,masheikh kwa ajili ya dua tu. Kujifananisha na Mungu ni kosa kubwa sana sasa tuone huyo mungu anayemtafuta tena wakati yeye alisema ni mungu. Huu ni mwezi wa kwaresma hajafunga? Hapo makonda yuko kwenye imani gani? Ya waislamu au wakristu? Masheikh wanamuomba Mungu wanayemwamini wao na makonda mungu anayemwamini je atafanikiwa? Halafu kulikuwa na ulazima gani hadi taarifa zitoke kwenye habari? Hiyo ni dhihaka mbele ya masheikh na mungu. Wiki iliyopita uende na viatu leo uende na kanzu ukikosolewa tena utaenda na nini?
Kwani unafikiri jina la Daudi la uongo huyo ni Muslim pure ndio maana kafanya mpango wa ujenzi wa jengo la bakwata.Kwa mwendo huu, si muda mrefu tutamsikia Al haj Abdallah Makonda.
Kuna watu 12 wanataka kumtupia majiniAna hofu gani huyu si alisema yuko tayari kufa.