realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,983
Mbona kama unamsomea albadir?Ndivyo alivyo mungu wa bahari kinyume na Mungu wa Ibrahimu Isaka na Yakobo. Huyo mwingine hugeukageuka. Lakini kwa hakika hawezi kufua dafu kwa Mungu wa Elia. Ninampa pole sana kijana huyu kuwa na roho ngumu kama ya Farao. Mzee geuka kama musa na uvue viatu ili yaishe

