Bujibuji bhnNehemia 4:14
Nikatazama, nikaondoka, nikawaambia wakuu, na mashehe, na watu wengine waliobaki, Msiwaogope; mkumbukeni Bwana, aliye mkuu mwenye kuogofya, mkawapiganie ndugu zenu, na wana wenu, na binti zenu, na wake zenu, na nyumba zenu.
Linaweza kuwa ni neno lenye tafsiri kulingana na mahali au wakati. Mfano kwenye biblia Kuna neno SINAGOGI lenye maana ya msikiti. Sasa ukilazimisha SINAGOGI kuwa ni msikiti wa kiislamu utafeli vibaya mno kwani wakati wa Yesu uislamu hakuwepo popote duniani mpaka miaka miasita mbele baada ya Yesu.
Tafsiri halisi kulingana na biblia ni msikiti wa kiyahudi. Sasa kuja baadhi ya ndugu zetu wanaishia hapo kwenye msikiti.lkn nielewavyzo sigogi inawahusu wayahudi, ni nzmba ya kusalia ya wayahudi na siyo msikiti na wala haina uhusiano na islamu, kama sijakosea ...