Makonda akiombewa dua na Mashehe

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,883
IMG-20170303-WA0017.jpg
 
Baada ya kumwambia alitakiwa kuvua viatu kaamua kurudi tena. Ana wasiwasi zile sala hazikufika ndiyo maana akaendelea kusakamwa. Na wasiwasi na mungu wake anayemwamini.haiwezekani kuzunguka kwa maaskofu,wachungaji,masheikh kwa ajili ya dua tu. Kujifananisha na Mungu ni kosa kubwa sana sasa tuone huyo mungu anayemtafuta tena wakati yeye alisema ni mungu. Huu ni mwezi wa kwaresma hajafunga? Hapo makonda yuko kwenye imani gani? Ya waislamu au wakristu? Masheikh wanamuomba Mungu wanayemwamini wao na makonda mungu anayemwamini je atafanikiwa? Halafu kulikuwa na ulazima gani hadi taarifa zitoke kwenye habari? Hiyo ni dhihaka mbele ya masheikh na mungu. Wiki iliyopita uende na viatu leo uende na kanzu ukikosolewa tena utaenda na nini?
 
Back
Top Bottom