Makonda akiombewa dua na Mashehe

Makonda akiombewa dua na Mashehe

IPO siku mtamuelewa.uko alipo ndipo mahali sahihi.kila LA kheri makonda.
 
Don't trust these guys lying is within their lips even to own names!!
28fc78ae44e20bfa03bbedb871e46095.jpg
 
Makonda asaidiwe ushsuri atakuwa na mfadhaiko wa akili
 
Tena wameweka na mic ili dua ifike kwa Mungu vizur
 
Masheikh wanaomba dua au wanapigwa picha,maana wanaangalia camera wote,bakwata mnaendekeza sana njaa
 
Katika kosa kubwa linalofanywa na mashekhe ubwabwa ni pale wanapo muombea mtu ambae imani yake haiendani na imani yao. Makonda haamini uislamu hilo dua ataamini vp,? Na ili ufaulu ni lazima uamini kwanza kw imani ya dini husika sasa mimi najiuliza mashekhe hao wamemuombea kw dua gani?
 
Baada ya kumwambia alitakiwa kuvua viatu kaamua kurudi tena. Ana wasiwasi zile sala hazikufika ndiyo maana akaendelea kusakamwa. Na wasiwasi na mungu wake anayemwamini.haiwezekani kuzunguka kwa maaskofu,wachungaji,masheikh kwa ajili ya dua tu. Kujifananisha na Mungu ni kosa kubwa sana sasa tuone huyo mungu anayemtafuta tena wakati yeye alisema ni mungu. Huu ni mwezi wa kwaresma hajafunga? Hapo makonda yuko kwenye imani gani? Ya waislamu au wakristu? Masheikh wanamuomba Mungu wanayemwamini wao na makonda mungu anayemwamini je atafanikiwa? Halafu kulikuwa na ulazima gani hadi taarifa zitoke kwenye habari? Hiyo ni dhihaka mbele ya masheikh na mungu. Wiki iliyopita uende na viatu leo uende na kanzu ukikosolewa tena utaenda na nini?
Harafu ndg yangu hawa watu wamekaa kimaslahi tu, lile dua la mashekhe halitafaulu abadan labda asilimu, vinginevo wamempiga changa
 
MAOMBI HAYAGEUZI VYETI VYA KUGUSHI KUWA ORIGINAL !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom