Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
Bashite aombewe mayai yakomae aweze kuzalisha ila swala la vyeti hata wamuombee miaka 20 mfululizo zero itabaki kuwa ziro na forgery itabaki kuwa forgery.
Somo wako bwana Daudi aliambiwa dawa ya kubadilisha Zero ni ku rudia mitihani na si kuombewa dua asizozijua maana yake, lakini kazidi kung'ang'ania.Bashite aombewe mayai yakomae aweze kuzalisha ila swala la vyeti hata wamuombee miaka 20 mfululizo zero itabaki kuwa ziro na forgery itabaki kuwa forgery.
Wantamvisha hadi madera. Huyu ze bashitezNaona ana randaranda.
Sasa Makonda anatia huruma. Ebu mwacheni sasa afanyekazi.