Hata atumie vitabu vyote vitakatifu wakiwemo masheikh na mapadri bado hawawez kugeuza cheti fake kiwe halisi
Hapo ndo kapotea kabisa ... anachanganya madawa ... mara aombewe kanisani .. sasa anaombewa na mashehe!!!
Wachezea GSM wewe.Kaanza kuota kitambi siku hizi mnh
Bashite ana hofu ya kufutwa kazi, amepenyezewa habari kuwa kuna watu kutoka ikulu wanafukunyua mafile yake wanamchunguza.Ana hofu gani huyu si alisema yuko tayari kufa.
Unakosea jina lake mkuu huyu ni BashiteSasa Makonda anatia huruma. Ebu mwacheni sasa afanyekazi.
Kumbe cheti fafa hakiongopiKaanza kuota kitambi siku hizi mnh
Yeye ndiyo atataga yai kama lile la form fourHuyu Makonda atawafanya mtage yai la MBUNI Mwaka huu kudadadeki
Darubini .. awazo mjinga ndo litakalomtokea ...Huyu Makonda atawafanya mtage yai la MBUNI Mwaka huu kudadadeki
Du nadhani safari hii vyeti vitapatikana. Kwa maombi haya!!
Naona ana randaranda.
Hawa wanapendaga ubwabwa tu na nyamammmmmh ukimuona mtu anatumia sana dini kujisafisha ujue ni mnafiki wa kutupwa... na hao mashekhe akili ikokwenye camera..wanamzuga na dua zauongo na kweli.. shekhe wanaojitambua hawawezi kukubali kutumika kijinga jinga hv.. kisa kujengewa ofisi sijui.. !!!