realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,985
Mbona kama unamsomea albadir?Ndivyo alivyo mungu wa bahari kinyume na Mungu wa Ibrahimu Isaka na Yakobo. Huyo mwingine hugeukageuka. Lakini kwa hakika hawezi kufua dafu kwa Mungu wa Elia. Ninampa pole sana kijana huyu kuwa na roho ngumu kama ya Farao. Mzee geuka kama musa na uvue viatu ili yaishe
Wewe mkaruka kwa kuwa inaonyesha uko karibu naye sana mwambie a some Mithali 28:13 inayosema hivi " Afichaye dhambi zake hatafanikiwa;Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema" Je anaitaka hiyo rehema? KamuulizeHuyu Makonda atawafanya mtage yai la MBUNI Mwaka huu kudadadeki
Ana kipaji hichoYeye ndiyo atataga yai kama lile la form four
MHH KUWA MAKINI MKUU.Kazi yake ni kutumia shortcut kwenye Shule na muda si mrefu utasikia ana masters wakati kesha Disco hivi karibuni Mzumbe University alipojaribu kusoma MSc. HRM
Dont take death that easy!!Ana hofu gani huyu si alisema yuko tayari kufa.
Unajua mtu anaweza kukupa kitu kiasi kwamba ukawa husikii wala hushauriwi kitu juu yake.Bashite ana hofu ya kufutwa kazi, amepenyezewa habari kuwa kuna watu kutoka ikulu wanafukunyua mafile yake wanamchunguza.
Hapo ndo viongozi wangu wa dini wanaponitoka imani, kwanini wameshindwa kumwambia avue viatu.Don't trust these guys lying is within their lips even to own names!!
Nitamwambia ndugu mtakatifu usiye na dhambi unayemwombea Mabaya 24/7 binadamu mwenzioWewe mkaruka kwa kuwa inaonyesha uko karibu naye sana mwambie a some Mithali 28:13 inayosema hivi " Afichaye dhambi zake hatafanikiwa;Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema" Je anaitaka hiyo rehema? Kamuulize
Leo kavaa MAKOBAZI.Dua na viatu
Ina maana masheikh hawaoni maovu ya Bashite.! Ndio maana naswali chumbani kwangu inatosha!leo tena au?
hata sielewi ila we swali tu mkuuIna maana masheikh hawaoni maovu ya Bashite.! Ndio maana naswali chumbani kwangu inatosha!
Lakini msikitini yanavuliwa na kuachwa nje? Iweje hao masheikh hawakumuelewesha?Leo kavaa MAKOBAZI.