Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 1,874
- 3,388
Hellow Great Thinker....
The LORD is good...
Wakuu et nini tofauti ya maombi, dua na sala....
Prophet Daniel alikuwa anafanya
Dua pia katika biblia... Na YESU alikuja akatufundisha jinsi ya kuomba wanaita sala ya BWANA... NA je zinatumika kwenye mambo gani? may be unapoamka unaanza na nini hapo!