Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

Hawa mashoga hata sio kazi kuwapata..Wanajiachia sana siku hizi..Mtu unaweza kuchat nae leo kesho ukamkamata..
Duuu!Hapo kwenye kumkamata sasa au unaendelea kwa wakati wako!!!!!!!!!!!!!!!
 
ilo ndo jambo la msingi maana watoto wetu wakikuwa na kuona ilo jambo ni lakawaida nirahisia sana kujiunga nalo na kuunga mmkono100% Mh makonda
 
Maofisini wengi sana hawa...kazi itakua kubwa kuwakamata.
Mwambieni asiache kuwakamata na mabasha mana nadhani hao ndio chanzo cha tabia hii,naona kama wataendeleza kwa vijana wengine, ni mtazamo tuu.
 
Achana nao huo mfupa umemshinda fisi ( mama mzazi/mlezi ) hautauweza wewe
Kama vipi awatafute drugs lord ambao ni maarufu uko kino na magomeni awashtaki na kuwafunga
Huko hawezi kugusa.. Shisha lenyewe litampoteza.. Wataishia kukamatwa watoto wa vyuo.. Shisha wanavuta waarabu.. Sasa yeye kama kidume aende akajarobu kuwakamata waarabu aone kama gsm watampa futari tena
 
Marekani wameruhusu ushoga hadi jeshini... Makonda hajui anachotaka kukifanya.. Kwenye hili marekani watakuwa very serious na harshy.. Msishangae misaada yote kufutwa
Who is marekani katika taifa letu la Tanzania!!
 
Mkuu wa mkoa wa dsm kasema kuwa atapambana na mashoga popote walipo ataenda hadi mahotelini.. Source Magazetini
My take: kuwafuata mashoga mahotelini ni hatari. Ila nampa support yangu. Hii hulka ya ushoga ni mbaya sana

=======

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametangaza operesheni ya kuwasaka mashoga jijini humo.

Makonda amesema vitendo hivyo vimeanza kuongezeka jijini humo na lengo lake ni kuwaokoa watoto wasiige mambo hayo yanayoonekana kukua kwa kasi.

Bosi huyo wa mkoa amesema, “hili ni tatizo linalokua kwa kasi sitaruhusu liendelee katika mkoa wangu, nitawasaka popote walipo”.

“Hata hapa bandari wanaweza kuwapo mashoga wafichueni, mkiona mtu ana tabia za ajabu ajabu mfichueni, tutashughulika nao”.


Chanzo: Mwananchi
Akimaliza hao aanze na mabasha wao Kama hatutaona viongozi wa serikali nao mtegoni
 
Ni moja ya shughuli au tatizo la kulishughulikia,kwani ni tendo la aibu kwa jamii yetu.
*Nashangaa sana wapo watu wanaonyesha kulipinga suala hili ajabu sana.
P.MAKONDA SONGA MBELE ONDOA TATIZO HILI .....
 
Aisee umemsaidia sanaa!! In short hotelini sidhani kama atawapata.. Na je atajuaje kuwa huyu ni shoga?

Duh,...shoga ni rahisi mno kumgundua...ushoga ni laana, upigwe vita kabisa...mashoga wakamatwe na kuwekwa sehemu maalum ili 'wasomeshwe'...
 
hahahahahahahahah lol huyo analake jambo.
Namtakia kila jema. Amtahadharishe na mke wake.
 
Back
Top Bottom