Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

Hahahahha.... Sasa ukimkamata mtu utakuwa na ushahidi gani kuwa yeye ni shoga...??
mh "natafuta kiki".....kama raymond wa wasafi....sheria inakataza kuwa na mapenzi ya jinsia moja..sasa ukiwakamata mashoga lazima wakaoneshe hawa jamaa walikuwa "wanafanyana" sexual intercourse..maana mashoga wengine ni biological issues na si lazima apigwe
 
Wengine hawajulikani na wana vyeo vikubwa Tu wapo wenye makampuni but ni gays
kuna mashoga wastaarabu
pia kuna wengine sio mashoga ila wadhalikishaji ndo unakuta kina james delicious hao akina kaoge wanatia kichef chef sana
ila kuna hao wastaarbu unakuta mtu gentlemen smart kabisa humdhanii kumbe shoga. na hao huwezi kuwa na uthibitisho nao
 
Huyu mkuu inamana siku zote yupo dar alikua hawaoni hawa machoko hadi asubiri cloudz waliibue
 
safi sana, wanataka kuipotosha jamii yetu
mfano eti kaoge anavaa gauni na viatu vya kike anatembea mtaani bila hata shida yoyote
wewe ulitaka wapate shida ili ufurahi?
 
Kwani omba omba aliwatimua kwa kosa lipi
Hivi ombaomba unao wasema amewatimua ni wa wapi?kama ni dsm mbona wapo tele?na kwa sasa wapo kibao wanaomba ela ya maandalizi ya idi
 
Mkuu wa mkoa wa dsm kasema kuwa atapambana na mashoga popote walipo ataenda hadi mahotelini.. Source Magazetini:
My take: kuwafuata mashoga mahotelini ni hatari. Ila nampa support yangu. Hii hulka ya ushoga ni mbaya sana
Atawatambua kwa vigezo gani?
 
Wameshindwa sukari wataweza mashoga waache kufanya kazi na media tushachoka sasa,mtu timamu kabisa hawezi kusikiliza upuuzii huu eti uwasake hotelini wakati anakaa nao mtaani.
 
Akishawakamata atawapeleka wapi? Watashitakiwa kwa sheria ipi? Wakifungwa watapelekwa jela ipi? Ya wanawake au wanaume? Hili suala linahitaji nguvu na pia busara. Kama jamii tuangalie tumejikwaa wapi? Clouds wamechukuliwa hatua gani mpaka leo kwa kunadi ushoga? Hawa akina Joti, ambao kutwa wanaigiza wanawake huwa wanaleta mafunzo gani kwa watoto wetu?
 
Atawatambua kwa vigezo gani?
aiseee ...

hizo nguvu za kupambana na mashoga ni vyema wangezielekeza kwenye utafutaji wa sukari.

ushoga is very minor, it cant be such a great threat!!!
 
Wameshindwa sukari wataweza mashoga waache kufanya kazi na media tushachoka sasa,mtu timamu kabisa hawezi kusikiliza upuuzii huu eti uwasake hotelini wakati anakaa nao mtaani.
mkuu, possibly hao mashoga wako nae mpaka ofisini kwake.
 
kuna mashoga wastaarabu
pia kuna wengine sio mashoga ila wadhalikishaji ndo unakuta kina james delicious hao akina kaoge wanatia kichef chef sana
ila kuna hao wastaarbu unakuta mtu gentlemen smart kabisa humdhanii kumbe shoga. na hao huwezi kuwa na uthibitisho nao
ok
 
Back
Top Bottom