Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

..mashoga ni wakala wa shetani duniani,shetani ana mbinu nyingi kumkwepa mtu kama huna upako..namshauri makonda awaombee huyo pepo wa ufiraji awatoke watakuwa watu wa kawaida tu kama sisi.
 
Bongo bana nchi ya kinafiki sana. Ufisadi, wizi na iongo uongo tungeuchukia namna hii nchi ingeendelea sanaaaaa.
 
Huyu nae, mbona misifa....jiji lina matatizo chungu nzima
Bado miundo mninu mibovu
Maji maguriko yakitokea matatizo
Wamachinga bado hawana solution
Foleni bado matatizo
Madala dala bado hawatii sheria na trafic wapo kukamata matajiri
Bado kuna ukosefu wa walimu , madawati ....
Haya ya mashoga wako wangapi kwani hapa dar ?
Aisee inamaana watu bado wanatetea Mashoga?
Kuna vitu kwenye uongozi vinamiapaka na time frame ya kuvishughulikia,huwezi kusema ukalie Jambo mojaa mpaka liishe ndio uingie jingine.
Sio kwamba yeye ndio anaenda kuwakamata,kuna mamlaka inaundwa ya kushughulikia suala hilo.
 
La msingi sheria kali juu ya ushoga, kuwa pata siyo Tabu maana wanafahamika mitaani kwao
 
Mkuu wa mkoa wa dsm kasema kuwa atapambana na mashoga popote walipo ataenda hadi mahotelini.. Source Magazetini:
My take: kuwafuata mashoga mahotelini ni hatari. Ila nampa support yangu. Hii hulka ya ushoga ni mbaya sana

Mimi sijui tutaendeleaje namna hii! It's time to shift our priorities.
 
Yule shoga aliyepewa airtime na Clouds TV kujitangaza nasikia alisema kwamba kuna kitengo flani pale Muhimbili kinachowasaidia mashoga ushauri na dawa za kusafisha midomo yao (ili isiathirike kwa kunyonya kuni). Makonda aanzie pale kwanza.

Hivi mtu anaanza-anzaje kuwa Shoga?? Museveni alisema mashoga ni wagonjwa kwenye bongo zao na wanahitaji kupelekwa hospitalini. Mugabe yeye anasema hata Shetwani hawapendi mashoga, ndio maana alimtokea Eva kule bustanini Eden na kuachana na Adam.
 
Hawa ukiwaambia unawapeleka magereza mwaka mmoja so wataomba uwaongezee iwe miwili sbb huko nako huduma zao wanapata
 
Unaweza kuhalalisha jambi na ukakitambua kitu bila kujifaham. Utekelezaji wa kimya kimya ni bora sana wakati mwingine. Ni wazo tu
 
bila kuwa anafanya kitendo utamprove vip sasa?....au kwa mavazi?


na mahakaman kesi itakuaje?
kwa mnaojua sheria kidgo msaada
 
Makonda anachezea sharubu za MMAREKANI


Lkn mm nampa support mana hli janga lshakua kubwa

Naamin atashindaaa
Mana makonda hashindwi kamwe
 
Huyu jamaa anakurupuka sana badala ya kudeal na shida halisi za wananchi anaanza majungu mashoga wako siku zote yaani leo ndo anashtuka???
 
Back
Top Bottom