Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

Mange kasema jamaa hana uwezo wa kumpa msichana mimba
 
Wauza madawa ya kukevya ndo watu wakudiri nao wametualibia vijana nguvu kazi
 
Tu deal na tatizo la ajira kwanza, tukimaliza tuanzishe sober house za hao watu
 
Mange kasema jamaa hana uwezo wa kumpa msichana mimba
Ulichoandika hapa ni ustaarabu kweli, kuweza/kushindwa ni mambo yasiohusika na ukuu wake wa mkoa. Wewe jadili uhalali wa tamko lake hili juu ya mashoga, basi
 
tufanye research kwanini wanaingezeka sana halafu mabasha nao je?
 
Anaacha kuhangaika na mafisadi wanaotuumiza anahangaika na watu wenye maisha yao kuwa shoga, mvuta shisha, bhangi hzo ni personal life. Kila mtu atamjibu muumba wake
 
Anaacha kuhangaika na mafisadi wanaotuumiza anahangaika na watu wenye maisha yao kuwa shoga, mvuta shisha, bhangi hzo ni personal life. Kila mtu atamjibu muumba wake
well said upo sahihi kwa asilimia mia
 
Aanze na yule anaye jinadi kwenye mitandao anamtaka Jux kama ni kweli.
 
Awakamate halafu awafanyeje. Hi mi punga ikifika segerea na keko atawaweka chumba cha wanawake au cha midume ?? Nahisi segerea kutakua na karamu
 
Akawasake mashoga mahotelini wakati mashoga anashinda nao.
Au atakuwa amechanganyikiwa.
 
Hiyo issue inaisha tena faster mbona ushoga tz haufaiii
 
Mh.Makonda anza na huyu anayeitwa rayyoungr tunaye humuhumu ndani huko hotelini mbali sana
 
Back
Top Bottom