Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

[quote uid=241303 name="gwa myetu" post=19135215]Mange kasema jamaa hana uwezo wa kumpa msichana mimba[/QUOTE]<br />Ulichoandika hapa ni ustaarabu kweli, kuweza/kushindwa ni mambo yasiohusika na ukuu wake wa mkoa. Wewe jadili uhalali wa tamko lake hili juu ya mashoga, basi

Umechangia lakini hujaelewa maudhui yake, Nyani anawezaje kulinda shamba la mahindi! Eti ngedere wanakera!?
 
Mi nadhani aanzie kwenye source.familia ,mashule ya boarding,jela ndio watu wanapoanza kukumbwa na haya majanga.mtu kashazoea kupigwa dudu ukimkamata ukamtia ndani ndo utakuwa umewapelekea wajela jela madem.labda aseme ana dozi ya sindano yenye kuongeza hormones za kiume kwa wale ambao naturally wamezaliwa hivyo yaani arnde kiundani
 
Hivi Zilla ze G naye ni shoga? Mbona post zako zote zinatetea mashoga? Pamoja na kwamba Makonda simkubali kutokana na kukurupuka kwenye maamuzi mengi lakini kwenye hili la ushoga namuunga mkono
 
Makonda upo api ingia pale insta watoto machoko kibao wanaweka picha hadharani na ndio followers wakubwa wa rc au haoni yy
 
Akaanze na Kaoge na yule wa Instagram..Kaoge yuko tu pale koma koma haishi kukonyeza konyeza.. Huwezi kumuangalia mara mbili lazima akutabasaie sasa shida saana pale...Mpaka tumebadilisha njia tunapita ng'ambo ya barabara
 
haache kukaa ofisini apite kwenye mahotel kusaka mashoga , sema na yeye anapita kutafuta anayemfaa ili amkae juu, hamna lolote hapo.
 
Piga Kaz baba wataelewa tu maana naona mashoga hmu ndan wanaanza kullamika
 
Makonda upo api ingia pale insta watoto machoko kibao wanaweka picha hadharani na ndio followers wakubwa wa rc au haoni yy
Yeye mwenyewe huyo bashite ni choko
 
Back
Top Bottom