Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

Hahahahaha Makonda bhana hajui alisemalo kabisaaaa, kimaadili yuko sahihi lakini ukweli ni kwamba tumeshachelewa, tulikubali kupokea pesa za "Shetani " kwahio hio ndio faida yake. Kwa upesi upesi kuna zaidi ya bilioni 300 kwenye miradi ambayo ina support Ushoga Tanzania hii hii. Ngoja nikae kimya mie
 
Ukimkamata unamshtaki kwa sheria ipi? uzururaji? hotelini? Mi nilidhani ataishauri serikali itunge sheria kali kukomesha hiyo tabia. Siasa
be3f6c94e2bbec6caeb7ea6446cb646c.jpg
 
Ndio kipaombele chake au?

Akishawapata atawapeleka wapi ili waache huo ufuska?

Ule mchezo ni ngumu kuachika labda kama atakua anawaua akiwakamata.
kimya kimya unawamaliza. ukiachia kama sasa mitanzania mingi mijinga inaiga iga tu
 
Ndio kipaombele chake au?

Akishawapata atawapeleka wapi ili waache huo ufuska?

Ule mchezo ni ngumu kuachika labda kama atakua anawaua akiwakamata.
awaue??

teh teh aisee binadamu tunahangaika kweli!!

kwahiyo kuua ni bora kuliko ushoga, na mnashangilia!!!!!$

kazi ipo.
 
Akakamate wakwepa Kodi sasa mtu Shoga anatusaidia nin kashakuwa hivo no way
ni wendawazimu.

na hata kama kuna sheria inawatia hatiani mashoga, haina mantiki.

ni chuki zilizojengwa juu ya ujinga na kukosa ufahamu.

hivi watu wawili wenye akili na utashi wanapokubaliana kwa hiari yao kufanya ushoga inaleta athari gani??
au inakera nini?

logically ni wendawazimu ku-deal na ushoga.
 
unafikiri mashoga wote wanavaa vitopu na kwenda kwenye kitchen parties?

usikute hata mdogo wako hapo nyumbani shoga wewe umeng'ang'ana huku jamiiforums.
hiyo ni sehemu mojawapo nimesaidia kupoint. sijasema kuwa the only place.
Ushoga ni tabia na kama kwenu malezi ovyo basi uwezekano wa mmohawenu kuwa shoga upo. kuwa na pesa hakuzuii uduni wa malez
 
Maofisini wengi sana hawa...kazi itakua kubwa kuwakamata.
Mashoga wa Bongo rahisi kuwakamata muonekano wao tu unawajua. Nahisi wengi ni Choko- down. Ila ukiwaona hao wa kizungu siyo rahisi kuwatambua kwa nje ni mabaunsa waliojenga misuli mfano Maiko Skofili wa Prison break.
 
Hivi Makonda huu nao ni wajibu wake kukamata mashoga au anataka tu ku make headlines
 
chini ya sheria ipi ,, inayokataza au kunyima..

nadhani kama hajalifajnya hilo emotional , aanze na utengenezaji wa sheria... hii ni nchi na sio familia .
 
Mashoga wa Bongo rahisi kuwakamata muonekano wao tu unawajua. Nahisi wengi ni Choko- down. Ila ukiwaona hao wa kizungu siyo rahisi kuwatambua kwa nje ni mabaunsa waliojenga misuli mfano Maiko Skofili wa Prison break.
wewe umezoea kuwaona wafanyabiashara ya ushoga sio mashoga.

MSM.
 
Back
Top Bottom