Makombora yatua nyumbani kwa Pinda - Askari Wafuta Picha

What is a medical doctor doing in the ministry of defense anyways? Halafu tunasema hatuna madaktari, afukuzwe aende hospitali ya mnazi mmoja unguja, tunahitaji waganga huku ati?
 
Wanajifanya wanajua siri lakini vifo vinawaumbua. Tunajua kuwa walitunza mabomu yao kwa siri lakini mbona yamelipuka sasa? Kuna wakati watu walituibia fedha zetu kule BOT wakasema kuwa eti zimeenda kwenye shughuli nyeti za usalama wa Taifa ambayo ni siri lakini mwisho wa siku kumbe ulikuwa ni wizi mtupu.
 
Sijawahi kuona mkosaji anajichunguza mwenyewe eti kama kakosea, naona hiki ni kiini macho zaidi ya kufichiana siri hakuna jipya.
 
Utawasaidia wao, si tumeona mbagala waliunda tume wakapata matokeo ya tume kwa matumizi yao na iliwasaidia kwani janga hili hakuna mwanajeshi aliyepoteza maisha, kuna wameumia wakisalimisha nafsi zao. Hivyo tume itatoa majibu yatakayo wasaidia nini kifanyike ili wakati mwingine asipatikane hata majeruhi.
 
btw ningemuelewa Dr mwinyi kama angejitolea kutibu wahanga wa milipiko ya mabomu iliyotokana na uzembe wa taasisi inayo chini ya wizara yake !
 
Sidhani kama kwenye maneno tunayotumia sasa kuna neno kuwajibika. Naona neno la muhimu ni pesa na biashara kwa kwenda mbele...labda Dowans linaweza kuwa neno jipya lenye mvuto mkubwa siku za baadae
 
I personally think ccm should go away from Tanzania for good of the people. What we are witnessing is crime and unforgivable events in our country. CCM has no credibility in Tanzania and what left is dictatorial showcase.
 
Na hizi habari za vimondo tuna zi disregard ama?Je uchunguzi unahitajika?Kama uchunguzi unahitajika basi ni lazima waachie ngazi ili wapicshe uchunguzi.
 
Hivi tujiulize hata huu udaktari wa mwinyi upo kamili. Kwa kuwa nilipitia muhimbili nilipata kuskia kuwa jamaa shule ilimshinda akaenda kumalizia udaktari misri. I doubt kama anaijua dozi ya malaria kweli.
 
Back
Top Bottom