Makombora yatua nyumbani kwa Pinda - Askari Wafuta Picha

What is a medical doctor doing in the ministry of defense anyways? Halafu tunasema hatuna madaktari, afukuzwe aende hospitali ya mnazi mmoja unguja, tunahitaji waganga huku ati?

I see no problem by him a Medical doctor and a minister of defense but him not beng accountable thats big big problem ..Pia kufanya kosa sio kosa bali kurudia kosa so mbagala was enough for them to get a good lesson.....
 
Mwanakijiji has started a thread Join Us on FB to demand accountability which links you to a facebook page.

To reach the audience of more than 200,000 Tanzanians on facebook, this page needs to be promoted as an ad

I highly recommend fundraising for this cause to spread the message out to many people to demand Dr. Mwinyi's resignation or get fired by the President.If we let this pass just like that, for sure we are doomed to dare!!

I suggests contribution of 5, 10,20 dollars to Paypal account (to be created) by Mwanakijiji to make this campaign a reality.

Mkuu Mwanakijiji, nimekutwisha mzigo, najua wewe MSUKUMA, beba tu ndugu yangu hili liende tukomboe Nchi ya kwetu!

Nawasilisha!
 
The culture of accountability and responsibility should be borne in minds of Tanzanians. If not, all comes and goes and nothing happens, no one demands for action. We are led like sheep on a slaughter house. Who is to bell the cat anyway?
 
Fantastic idea.
Will however go that Egypt way......it's a million times more effective.
 
Informant; thanks kwa wazo hili: Kama watu wanataka kufanya hivyo.. wanaweza kutuma michango kwa paypal ya mwanakijiji news au kupitia paypal ya jamiiforums. Hili linawezekana. Lakini, ni wazo zuri and somehow naamini tunaweza kulifanikisha wachache wetu. Maana ni rahisi kusema "fulani ajiuzulu" ni jambo jingine kulazimisha iwe hivyo kwani kuna gharama.
 
A culture of accountability makes a good organization great and a great organization unstoppable.
~Henry J. Evans
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja,hili jambo limeongelewa kwamara yapili sasa hapa jamvini,inawezekana kuna ukweli ndaniyake,ila ilitakiwa tume huru ambayo ingetoa matokeo ya uchunguzi wa tume hiyo kwaukweli na uwazi,sio changalamacho la tume iliyoundwa tutadanganyana tu.
Je unajuaje mleta mada ana ID mbili tofauti??kwani zinafanana kwa karibu!!
 
kujiuzuru ni ishara ya kuonyesha kuwa umekubali makosa na huko tayari kujirekebisha in the future given a second chance. kungangania madaraka ni ishara ya kuonyesha hukubali makosa na pia ni hali ya kukataa kujifunza.
 
Wananchi wenzangu huu utamaduni wa kutokujiuzulu mtu hata iweje ni jambo ambalo tunalo nia ya dhati na uwezo pia wa kuubadili kwa kuchukua hatua sasa hivi.

Loyal-Citizen, futa machozi haraka na tuongoze vita mbele!!

Mkuu hii nchi inafanya watu wakate tamaa na maisha, na watanzania ni watu wanyonge na wapole sana na hawa viongozi wanajua na wana take advantage hii ya weaknesses zetu. Something has to be done sooner!!we really need that togetherness ambayo ni ngumu sababu ya udini wa wajinga wachache walio na uweleo mdogo!.
 
Hivi tujiulize hata huu udaktari wa mwinyi upo kamili. Kwa kuwa nilipitia muhimbili nilipata kuskia kuwa jamaa shule ilimshinda akaenda kumalizia udaktari misri. I doubt kama anaijua dozi ya malaria kweli.

Ata mimi nina wasiwasi, maana sarungi tunaambiwa alipokuwa hapo pamoja na pombe zake alikuwa ana-attend wagonjwa
 
Unahitaji elimu ya kijeshi. Hivi umewahi ona wanajeshi wa TZ wanalipua mabomu wakiwa wamevaa mask. Je, viongozi waliokwenda kuzuru eneo la ajali walivaa mask. Je, hao wanajeshi wanaofanya kazi hapo gongolamboto kwa sasa wanavaa mask? Hawa ndio wangekuwa wa kwanza kufanya hivyo maana wanafahamu. Yaani jamii forums imejaa watu wasiotaka kufanya home work zao. Wanaandika kila wanachokisikia mtaani. Maana mtaani yanasemwa mengi. Think people, think. Familia kibao za wanajeshi zimelipukiwa na hayo mabomu. Tene wengi san wanaishi hapo goms. Heh! What kind of logic is this? You make me laugh bro!

Toa data siyo kuegemea histori iliyokufa, mbona walisubiri yalipuke mpaka yaache yenyewe ndio wajitokeze!! kama mabomu hana madhara yasingekuwepo, kama polisi wenyewe wanamwagia wanchni raia wasio na makosa maji yenye sumu sembuse bomu la vitani! weka akili yako sawasawa ndi uchangie
 
Informant; thanks kwa wazo hili: Kama watu wanataka kufanya hivyo.. wanaweza kutuma michango kwa paypal ya mwanakijiji news au kupitia paypal ya jamiiforums. Hili linawezekana. Lakini, ni wazo zuri and somehow naamini tunaweza kulifanikisha wachache wetu. Maana ni rahisi kusema "fulani ajiuzulu" ni jambo jingine kulazimisha iwe hivyo kwani kuna gharama.

Hawa Mods wananibore kweli.Sasa wame move hii thread ndani huku, watu waona?
 
Hata wakazi wa jirani wengi walikuwa wamekwisha kimbia nyumba zao mara baada ya milipuko ya mwanzo vinginevyo maafa yangekuwa makubwa kupita maelezo. Naomba Selikari wakajenge nyumba zile mapema watu warudi katika hali ya kawaida. Nilmefika pale Pugu nyumba nyingi zimebomoka kwa mabomu hayo na watu wanalala nje ya magofu hayo watengenezewe haraka na wanachi na hasa vyama vya upinzani hebu tulidai hili kwa nguvu zote hata kwa maandamano. Hatujachelewa hata ya mbagala tuulize na kufatilia wahanga wamepata huduma wote au pesa imepita mifukoni mwa mafisadi?
 
Jamanii kuna habari za kiintelijensia zinasema jeshi lilishakuwa tayari kwa milipuko dalili zilishaanza kuonekana tangu saa 5 asubuhi....waliwapigia simu wastaafu wa vyeo juu...woote wanaokaa ukonga na gmboto kuwa waondoke.....kuna mstaafu mmj ambae ame pooza anaishi ukonga aliondoka saa 9,,.....,wanajeshi walishajiandaaa wakawa on high alert hajafa hata mmj....walijua...fanyeni utafiti

Nami nimesikia habari kama hizo. Inasemekana utaratibu wa kuyaharibu mabomu hayo ulikuwepo lakini ukakwamishwa na urasimu wa baadhi ya viongozi serikalini kwa kunyimwa hela. Kwa hiyo wanajeshi walifanya kususa litokee la kutokea. Kwa serikali inayojali watu wake ilitakiwa kuwahamisha raia wa karibu mapema na kuzuia watu wasisogelee maeneo hayo. Tungeweza kuepusha maafa na usumbufu uliotokea kwa wengi. Kwa kweli waziri wa ulinzi na uongozi wa jeshi wanatakiwa kuwajibika kwa hilo na hata kushtakiwa kwa kusababisha maafa kwa makusudi.

Ni kweli wanajeshi waliondoka mapema maeneo hayo na familia zao. Na huo ni ubinafsi uliopita kiwango kukimbia ukijua punde watanzania wengine watateketea???
 
<p>
Hakuna kitu hapo na hint imeshatolewa kwamba siyo kila kilichopatikana kwenye uchunguzi kitatolewa kwenye vyombo vya habari. Eti masuala mengine ni siri za kijeshi. Sasa what do you expect?
</p>
<p>&nbsp;</p>hapa hakunakitu bwana ni mafisadi wamelipua ili tusahau dowans si ajabu tukiwa busy na mabomu tukasikia tayari wameshalamba hawana huruma hawa watu
 
Back
Top Bottom