Makombora yatua nyumbani kwa Pinda - Askari Wafuta Picha

We kenge kweli: Yaani unaona matukio halafu huna reflection?. Hivi unadhani matukio haya ni ya bahati mbaya?. Hivi unadhani yanayosemwa hayana ukweli?. Au yanawauma kwa sababu sasa mambo hadharani?.
sio nyie mliokuwa mkiomba JK alipukiwe na bomu alipoenda kutembelea eneo la tukio pale gongo la mboto? Au mnadhani waTZ hawana akili?

Mbona mambo ya umbea mnashabakia lakini mambo yenye mustakabi na nchi mnayabeza?

Anyway katika msafara wa mamba na kenge na Lata , uzza na manata nao wamo!
Hivi hao wakina nyie ni kina nani hasa? nimeona mara nyingi ukisema nyie.......nyie ni kina nani na wewe ni nani?:A S 112::A S 112::A S 112::A S 112:
 
Huu ni ujinga kufikiria mabo ya kusadikika.

mabomu yameuwa watu wa kila aina sioni kiini cha udini hapo nadhani ww ndio una matatizo. :A S 13:
 
Wadau wa JF,
Kuna mtu kanijuvya ndani ya dakika kumi zilizopita: Anasema yeye alipigiwa simu na kaka yake ambaye ni Mjeshi pale G/Mboto saa 12:00 jioni siku ya tarehe 16/2/2011 kuwa aiondoshe familia yake haraka sana kwani kuna tukio litatokea usiku. Akabeba familia akaipeleka Kinondoni.
Huyu jamaa nahifadhi jina lake ila ni mkristo. Nilimuuliza ikiwa amesalimika na tukio la mabomu kwa kuwa najua anaishi Gongo la mboto mwisho.

Ndipo nilipokumbuka lile Tamko la waislam lililowahi kubandikwa hapa JF. Tujikumbushe!

"(9) Papa John Paul II alipoitembelea Tanzania mwaka 1990, Kanisa Katoliki lilimkabidhi Ripoti yenye anwani: Activities of the Church in Tanzania. Katika ripoti yake hiyo Kanisa Katoliki limetaja kuwapo kwa Tume ya Majeshi ya Kivita [Commission of Armed Forces] ndani ya Kanisa hilo. Tangu wakati huo hadi leo Waislamu wameitaka serikali iwaondoshe hofu kwa kuweka wazi kazi za Tume hiyo ya Majeshi ya Kivita ndani ya Kanisa. Serikali haijajibu na wala haijajishughulisha na taarifa nzito kama hizo. Hatujui kama Tume hiyo ya Majeshi ya kivita inafanya kazi ndani ya Jeshi la Wananchi au nje ya jeshi hilo. Lakini kwa muktadha wa hali ya uhasama wa serikali na hasa wa Maaskofu dhidi ya Waislamu wanaowahesabu kuwa ni maadui zao, si vigumu kukisia kwa nini Kanisa Katoliki limeunda Tume ya Majeshi ya Kivita. Lakini serikali ambayo haishughulishwi kabisa na Tume ya Majeshi ya Kivita ya Wakatoliki imekuwa na tabia ya kuwakamata na kuwatia ndani Waislamu kwa kesi za kuwabambikia zisizokuwa na kichwa wala miguu. Lakini propaganda zinasema Tanzania ni nchi moja yenye katiba inayolinda haki za watu wote. Mwenye mach haambiwi tazama.

"Lililo baya zaidi maaskofu walioshindwa kuwashawishi wananchi waipokee na kukubali Ilani yao, wamekuja na kampeni za kuchochea uasi kwa serikali iliyopo madarakani. Lakini pamoja na hali hiyo, viongozi wa CCM na serikali wamebaki wanagwaya. Hakuna aliyeweza kupata ujasiri wa kukemea hali hii. Kinyume chake Waziri Mkuu na Mzee John Samwel Malecela wanahangaika huku na kule wakiwapigia magoti maaskofu hao na kuwakemea wanaothubutu kuwakosoa.

Hali kama hii ni hatari kwa usalama na utulivu wa nchi. Ni hali ya kuchochea udini na kuweka ombwe la uongozi wa kisiasa ambao utazua balaa. Waislamu hatuwezi kukubali hali hii. Kwa hiyo, ama CCM na serikali vitekeleze wajibu wao wa kuongoza au kama wanaona hawawezi, basi waseme rasmi ili Maaskofu na wengine wenye Ilani zao za uchaguzi waingie tena ulingoni kuomba ridhaa ya Watanzania kuongoza nchi kuliko kuishi katika hiki kiini macho ambapo maaskofu na mawakala wao ndani ya serikali wameachwa waikokote nchi wanakotaka".

Maoni yangu: Bado tukumbuke kuwa kuna misemo pia imewahi kusemwa kuwa kuanzia sasa Tanzania haitatawaliki tena.

ANAGALIZO:
TUNATAKA SERIKALI ITOE TAMKO JUU YA KUWEPO KWA "TUME YA MAJESHI YA KIVITA" IKIAINISHA KAZI YAKE, NA UHALALI WAKE.
Makubwa!!!
 
Unajua sielewi,una maana hii ni hujuma ya kanisa katoliki dhidi ya serikali ya jk?mbona hapa pananichanganya.unataka kusema nini hasa
 
Kwani wanapikwa chungu kimoja sasa?
Asante kwa uelewa!

sister Birigita: Hongera kwa kuwa na busara! Ni hazina. Na usiachie Chuki ika - overcome busara yako!
 
@bulldozer:Wewe ni mnafki,mbinafsi,mamluki utakayekuwa kuni ya wadhambi wenzako mnaoleta hoja za kidini ndani ya tz isiyo na mipaka ya kidini.
Njaa zako zitakupeleka kubaya mnazi wewe. Khaa..tuuuh@*#

Hoja ni kwamba hamna askari aliyekufa,kwakuwa askari walifaham dalili za mabomu tokea saa 4 asubui,uzembe na zarau ndio zimefanya maafa yatokee. Kwaliosikiliza clouds fm leo wamesikia.
 
Modes,

Naomba hapo kwenye Title mrekebishe isomeke MBOTO badala ya MBOGO. Nasikitika kuona kuwa thread yangu ya jana yenye title hii mmeitoa. Natumaini hii hamtaitoa. Kwa kweli hakuna njia ni lazima Baraza la Mawaziri liwajibike. Hivi walikuwa wapi mpaka hali hii ikatokea.??
 
mada imehama kutoka kwenye msingi wa mleta hoja kwamba,mbona hakuna askari aliyekufa katika tukio la Gongo la mboto?
Tujadili hoja hiyo.
Kamchango kangu ni haka,kwamba siku hiyo ilikuwa ya mapumziko*maulid* askari wengi hawakuwepo kambini walio kuwepo ni walinzi ambao ndio waliotoa taarifa ya tukio hivyo kuchukua tahadhari kusalimisha maisha yao.
 
We kenge kweli: Yaani unaona matukio halafu huna reflection?. Hivi unadhani matukio haya ni ya bahati mbaya?. Hivi unadhani yanayosemwa hayana ukweli?. Au yanawauma kwa sababu sasa mambo hadharani?.
sio nyie mliokuwa mkiomba JK alipukiwe na bomu alipoenda kutembelea eneo la tukio pale gongo la mboto? Au mnadhani waTZ hawana akili?

Mbona mambo ya umbea mnashabakia lakini mambo yenye mustakabi na nchi mnayabeza?

Anyway katika msafara wa mamba na kenge na Lata , uzza na manata nao wamo!

Unajua bulldozzer ni kifaa yani robot, pengine tungemjua suka wako! Maana tukiongea na mbwa tutakuwa vichaa,tunataka tuongee na mwenye mbwa koko kama wewe. Naskia italia wanafunga mwenye mbwa na mbwa jela moja wakisumbua jamii, hii kitu bongo nayo inahitajika!

Hili dozzer bovu jamani, engineers do something; some of it nuts are loose. She need to be fixed
 
Wadau wa JF,
Kuna mtu kanijuvya ndani ya dakika kumi zilizopita: Anasema yeye alipigiwa simu na kaka yake ambaye ni Mjeshi pale G/Mboto saa 12:00 jioni siku ya tarehe 16/2/2011 kuwa aiondoshe familia yake haraka sana kwani kuna tukio litatokea usiku. Akabeba familia akaipeleka Kinondoni.
Huyu jamaa nahifadhi jina lake ila ni mkristo. Nilimuuliza ikiwa amesalimika na tukio la mabomu kwa kuwa najua anaishi Gongo la mboto mwisho.

Ndipo nilipokumbuka lile Tamko la waislam lililowahi kubandikwa hapa JF. Tujikumbushe!

"(9)Papa John Paul II alipoitembelea Tanzania mwaka 1990, Kanisa Katoliki lilimkabidhi Ripoti yenye anwani: Activities of the Church in Tanzania. Katika ripoti yake hiyo Kanisa Katoliki limetaja kuwapo kwa Tume ya Majeshi ya Kivita [Commission of Armed Forces] ndani ya Kanisa hilo. Tangu wakati huo hadi leo Waislamu wameitaka serikali iwaondoshe hofu kwa kuweka wazi kazi za Tume hiyo ya Majeshi ya Kivita ndani ya Kanisa. Serikali haijajibu na wala haijajishughulisha na taarifa nzito kama hizo. Hatujui kama Tume hiyo ya Majeshi ya kivita inafanya kazi ndani ya Jeshi la Wananchi au nje ya jeshi hilo. Lakini kwa muktadha wa hali ya uhasama wa serikali na hasa wa Maaskofu dhidi ya Waislamu wanaowahesabu kuwa ni maadui zao, si vigumu kukisia kwa nini Kanisa Katoliki limeunda Tume ya Majeshi ya Kivita. Lakini serikali ambayo haishughulishwi kabisa na Tume ya Majeshi ya Kivita ya Wakatoliki imekuwa na tabia ya kuwakamata na kuwatia ndani Waislamu kwa kesi za kuwabambikia zisizokuwa na kichwa wala miguu. Lakini propaganda zinasema Tanzania ni nchi moja yenye katiba inayolinda haki za watu wote. Mwenye mach haambiwi tazama.

"Lililo baya zaidi maaskofu walioshindwa kuwashawishi wananchi waipokee na kukubali Ilani yao, wamekuja na kampeni za kuchochea uasi kwa serikali iliyopo madarakani. Lakini pamoja na hali hiyo, viongozi wa CCM na serikali wamebaki wanagwaya. Hakuna aliyeweza kupata ujasiri wa kukemea hali hii. Kinyume chake Waziri Mkuu na Mzee John Samwel Malecela wanahangaika huku na kule wakiwapigia magoti maaskofu hao na kuwakemea wanaothubutu kuwakosoa.

Hali kama hii ni hatari kwa usalama na utulivu wa nchi. Ni hali ya kuchochea udini na kuweka ombwe la uongozi wa kisiasa ambao utazua balaa. Waislamu hatuwezi kukubali hali hii. Kwa hiyo, ama CCM na serikali vitekeleze wajibu wao wa kuongoza au kama wanaona hawawezi, basi waseme rasmi ili Maaskofu na wengine wenye Ilani zao za uchaguzi waingie tena ulingoni kuomba ridhaa ya Watanzania kuongoza nchi kuliko kuishi katika hiki kiini macho ambapo maaskofu na mawakala wao ndani ya serikali wameachwa waikokote nchi wanakotaka".

Maoni yangu: Bado tukumbuke kuwa kuna misemo pia imewahi kusemwa kuwa kuanzia sasa Tanzania haitatawaliki tena.

ANAGALIZO:
TUNATAKA SERIKALI ITOE TAMKO JUU YA KUWEPO KWA "TUME YA MAJESHI YA KIVITA" IKIAINISHA KAZI YAKE, NA UHALALI WAKE.

mbona makanisa ni mengi tu?

why wakatoliki?
 
Hasara kwa jenzi imetokana na moto sio makombora. Huyu makombora ni ya umbali mrefu kuanzia kilometa 5 mpaka 21. Na huwa yanaruka juu kama ndege vile. Hivyo yanaleta madhara zaidi kwa watu walio mbali na yalipo.
 
Wadau wa JF,
Kuna mtu kanijuvya ndani ya dakika kumi zilizopita: Anasema yeye alipigiwa simu na kaka yake ambaye ni Mjeshi pale G/Mboto saa 12:00 jioni siku ya tarehe 16/2/2011 kuwa aiondoshe familia yake haraka sana kwani kuna tukio litatokea usiku. Akabeba familia akaipeleka Kinondoni.
Huyu jamaa nahifadhi jina lake ila ni mkristo. Nilimuuliza ikiwa amesalimika na tukio la mabomu kwa kuwa najua anaishi Gongo la mboto mwisho.

Ndipo nilipokumbuka lile Tamko la waislam lililowahi kubandikwa hapa JF. Tujikumbushe!

"(9) Papa John Paul II alipoitembelea Tanzania mwaka 1990, Kanisa Katoliki lilimkabidhi Ripoti yenye anwani: Activities of the Church in Tanzania. Katika ripoti yake hiyo Kanisa Katoliki limetaja kuwapo kwa Tume ya Majeshi ya Kivita [Commission of Armed Forces] ndani ya Kanisa hilo. Tangu wakati huo hadi leo Waislamu wameitaka serikali iwaondoshe hofu kwa kuweka wazi kazi za Tume hiyo ya Majeshi ya Kivita ndani ya Kanisa. Serikali haijajibu na wala haijajishughulisha na taarifa nzito kama hizo. Hatujui kama Tume hiyo ya Majeshi ya kivita inafanya kazi ndani ya Jeshi la Wananchi au nje ya jeshi hilo. Lakini kwa muktadha wa hali ya uhasama wa serikali na hasa wa Maaskofu dhidi ya Waislamu wanaowahesabu kuwa ni maadui zao, si vigumu kukisia kwa nini Kanisa Katoliki limeunda Tume ya Majeshi ya Kivita. Lakini serikali ambayo haishughulishwi kabisa na Tume ya Majeshi ya Kivita ya Wakatoliki imekuwa na tabia ya kuwakamata na kuwatia ndani Waislamu kwa kesi za kuwabambikia zisizokuwa na kichwa wala miguu. Lakini propaganda zinasema Tanzania ni nchi moja yenye katiba inayolinda haki za watu wote. Mwenye mach haambiwi tazama.

"Lililo baya zaidi maaskofu walioshindwa kuwashawishi wananchi waipokee na kukubali Ilani yao, wamekuja na kampeni za kuchochea uasi kwa serikali iliyopo madarakani. Lakini pamoja na hali hiyo, viongozi wa CCM na serikali wamebaki wanagwaya. Hakuna aliyeweza kupata ujasiri wa kukemea hali hii. Kinyume chake Waziri Mkuu na Mzee John Samwel Malecela wanahangaika huku na kule wakiwapigia magoti maaskofu hao na kuwakemea wanaothubutu kuwakosoa.

Hali kama hii ni hatari kwa usalama na utulivu wa nchi. Ni hali ya kuchochea udini na kuweka ombwe la uongozi wa kisiasa ambao utazua balaa. Waislamu hatuwezi kukubali hali hii. Kwa hiyo, ama CCM na serikali vitekeleze wajibu wao wa kuongoza au kama wanaona hawawezi, basi waseme rasmi ili Maaskofu na wengine wenye Ilani zao za uchaguzi waingie tena ulingoni kuomba ridhaa ya Watanzania kuongoza nchi kuliko kuishi katika hiki kiini macho ambapo maaskofu na mawakala wao ndani ya serikali wameachwa waikokote nchi wanakotaka".

Maoni yangu: Bado tukumbuke kuwa kuna misemo pia imewahi kusemwa kuwa kuanzia sasa Tanzania haitatawaliki tena.

ANAGALIZO:
TUNATAKA SERIKALI ITOE TAMKO JUU YA KUWEPO KWA "TUME YA MAJESHI YA KIVITA" IKIAINISHA KAZI YAKE, NA UHALALI WAKE.

Mkuu,

Tuhuma nzito hizi!!! Ninapita njia tu
 
Ni rahisi kuficha vifo vya wanajeshi kwa mabomu la Gongo la Mboto kuliko yale ya Mbagala. Ya Mbagala yalilipuka mchana na ingekuwa ngumu kusema kuwa hakuna mwanajeshi aliyekufa wakati wangetakiwa wawe kazini. Yaani hata kichaa asingekuba kuwa hakuna mwanajeshi aliyepoteza maisha yake kwenye mabomu ya Mbagala.

Ya Gongo la mboto yalilipuka usiku na ni rahisi kusema kuwa kilikuwa hakuna mtu. Pamoja na hayo still it does not make sense kusema kuwa hakuna hata mwanajeshi mmoja aliyefariki. Kwanza, ina maana hayo magala ya silaha hayalindwi? Hao wanaoshi huko kambini walikimbiaje? Tumeambiwa mabweni yote ya wanajeshi makapera yaliungua pamoja na vitu vyao vyote lakini hakuna hata mmoja aliyefariki.

Pili hata tuseme hakuna wanajeshi wanaoishi huko kambini lazima wapo wanaoishi eneo la Gongo la Mboto. Ina maana mabomu yalikuwa selective kuua raia wa kawaida? Sina nia mbaya na wanajeshi lakini nashindwa kuelewa how come ripoti zinasema kuwa hakuna mwanajeshi hata mmoja aliyefariki. Very unusual.

Kama hakuna mwanajeshi aliyepoteza maisha yake then kama alivyosema Hofstede walikuwa wanajua kuwa hayo mabomu yatalipuka muda wowote ule.

Mimi naona kinachokusumbua hapa ni ujinga tu, na hasa ujinga wa masuala yahusuyo jeshi na za zana za kivita. Sitegemei ujinga huu utaufuta kwa kusoma tu post za hapa JF. Kwa mfano sitegemei mlipuko kama huu mahangaiko ya mwanajeshi yawe sawa na rai wa kawaida, yeye hawezi kumbia hovyo, yeye anajua katika hali hii ni retreat mpaka nipate mbinu na hatua za kuchukua, yeye anajua ni wakati gani atake cover na niwakati gania akimbie, lakini ni rahisi wao kupeana taarifa mapema kama wanajeshi kuliko kufikisha kwa rai huko uraini, sasa hii kutaka kupotasha mambo sijui ni kwa faida ya nani?
 
wanajeshi wote hawakuwepo, walijulishwa mapema tu na wakawa wameondoka.
hivyo hakuna hata mmoja aliyekufa.
mabomu yalijulikana kabisa kuwa yangelipuka, nwalikuwa hawana uwezo wa kuyazuia kwa saabuabu mengi yao yalikuwa ni ya 1971/1971
wasingewaeleza wananchi coz wangejulikana ni wazembe kwa kujua na kutoyaharibu.
Hivyo huo ulikuwa ni mpango sahihi uliojulikna.
Hawajataja kwa kuchambua..Lakini kwa akili ya kawaida tu utajua kuwa wanajeshi wengi sana wamekufa eneo la kambi.
After all nyumba 70% zinazozunguka kambi ni za wajeshi, so you can just measure the magnitude of destruction to their families.
 
BRIGEDIA JENERALI MELLA ALISEMA HAKUNA MWANAJESH ALIYEKUFA KWENYE TUKIO HILO LAKINI,WANAJESH WANNE WALIJERUHIWA NA WANAENDELEA NA MATIBABU

"ILIKUA NI SAA 2:20,WALINZI WA ZAMU WALISIKIA MILIO MIDOGOMIDOGO,WAKASHTUKA,WAKACHUKUA UAMUZ WA HARAKA WA KUTOKA KWENYE ENEO HLO".BRIGEDIA JENERALI PAULO MELLA.
mwananchi la jumamosi,tarehe 19 february 2010
 
Wana jF,
Kuna lolote la maana tunaloweza kutarajia kutoka kwenye uchunguzi utakaofanywa na JWTZ kuhusu milipuko ya mabomu Gongolamboto?
 
The answer is "YES" and "NO". Yes if resignation of high rank army leaders preceeds investigations and virse versa.
 
Hakuna kitu hapo na hint imeshatolewa kwamba siyo kila kilichopatikana kwenye uchunguzi kitatolewa kwenye vyombo vya habari. Eti masuala mengine ni siri za kijeshi. Sasa what do you expect?
 
Back
Top Bottom