Makombora yatua nyumbani kwa Pinda - Askari Wafuta Picha

Kamanda Shimbo; hiji jeshi ni letu na tunalipenda sana sana ila matamshi yako wewe mwenyewe hapo mmhhh!!!
 
Sikuona source kamili ya habari hii, hata hivyo kama ni sahihi ninabaki na maoni haya.
Tume ya kijeshi:
Hii imeundwa baada ya kuona wananchi wamechoshwa na tume za kipuuzi zisizotoa majibu. Hivi kwa wale mliopitia jeshini ni askari wa cheo gani anaweza kumhoji General Mwamuyange??????
Ni askari wa cheo gani anaweza kumhoji Waziri wa ulinzi?
Na hivi uchunguzi gani utafanyika wakati wahusika wakiwa katika nyadhifa zao. Kama uchunguzi ni wa kijeshi hiyo tume haiutuhusu, uchunguzi tunaoutaka ni ule uliosababisha vifo na vilema kwa ndugu zetu.
Tusikubali ubabaishaji, Mwinyi/Mwamuyange wapishe kwanza, halafu ndio tufikirie mambo mengine.
Watanzania, sisi sio waajiriwa ni waajiri, lazima tuwaambie waajiriwa nini cha kufanya si wao watumbie wanafanya nini.
Enough is enough!
 
Kama Mabomu yameweza haribu mali na kuuwa watu zaidi ya KM 5,yanashindwaje kuua watu waliopo karibu nayo wakati yanaripuka?Je Kambi hii ambayo ndo kubwa kabisa kwa wingi wa silaha AILINDWI ata Kidogo?
Au ina Computerized security system?
Apa ipo namna sio Bure.
1.Kama awakufa then walijua kabla wakakimbia
2.Huenda zaidi ya makumi wamepoteza maisha.
Haya mawili lazima moja lina ukweli.
Vinginevyo mimi ni Tomaso siamini na sinto amini mpaka nione kwa macho yangu.
 
Wanatu-undermine sana, angalau basi wangetuongopea wamekufa wanajeshi 5 hivi. lakini tupu kabisa? hiyo si kweli kabisa. tena kuna na mabweni karibu na ghala la silaha nzito kama hizo, halafu unanambia hakuna hata mmoja? walinzi wa ghala je? mtunza stoo?
 
Ndugu wanaJF kua kitu kinanishangaza, hivi katika milipuko ya mabomu Gongo la Mboto hakuna wanajeshi aliojeruhiwa na kufa? Mbona hatuambiwi?
Takribani wanajeshi 443/343 inasemekana wamefyekelewa mbali na hayo mabomu,na huu mchongo haukutegegemewa kama ungeleta madhara makubwa kama haya kama staff sergent aliyekuwa atekeleze zoezi hilo angeenda mwenyewe,lakini yeye akamtuma kilaza asiyejua chochote.
 
TUMEYALIPUA SISI WENYEWE NA YAMETUUA SISI WENYEWE NINYI TAARIFA YA NINI ...MBONA HAMKUULIZA DARFUR TUMEKUFA WANGAPI NINYI MSITUFUATE FUATE.

Yamewashinda ninyi sisi tutayaweza kwa kuitia serilkali hasara ghala hadi ghala kwa ujiti wa kiberiti cha 50/=tu. kutoka katika kodi zenu...kudadadeki.
 
Wanajeshi = watanzania = watu
Upo hapo?

Hacha hizo weeewe MARINES na RAIA ni vitu viwili tofauti katika masuala ya kijeshi.... shurti wangesema "wamekufa watu 40 WAKIWEMO WANAJESHI 20 nk." kwa maana halisikama hawajataja wanajeshi ni kwamba AKUNA MWANAJESHI ALIYEKUFA.

My take;- walijua yatalipuka SO WALIWAHI KUONDOKA
 
Ndugu wanaJF kua kitu kinanishangaza, hivi katika milipuko ya mabomu Gongo la Mboto hakuna wanajeshi aliojeruhiwa na kufa? Mbona hatuambiwi?

Kumbe basi kama kweli hakufa askari, wao walijua na kupanga hili dili.
hivyo basi walihama hilo eneo mapema.
Kinyume cha hapo wao ni nyama ya risasi na wamekufa wengi tu.
Hapa ndipo tulipo fikishwa!
 
Mkuu,

Kuna wanajeshi zaidi ya 4 wamepoteza maisha. Ngoja niendelee na i ntelijensia yangunitakuja na majina kabisa. Kuna malalamiko ya ufanyaji kazi katika mazingira magumu hasa kwa sakari wa vyeo vya chini. Kifupi ni uzembe tu ndicho kilichopelekea maafa hayo.

Ondoa pumba zilizooza hapa.
Intelijensia yako ni upuuzi mtupu.
 
TUMEYALIPUA SISI WENYEWE NA YAMETUUA SISI WENYEWE NINYI TAARIFA YA NINI ...MBONA HAMKUULIZA DARFUR TUMEKUFA WANGAPI NINYI MSITUFUATE FUATE.

Yamewashinda ninyi sisi tutayaweza kwa kuitia serilkali hasara ghala hadi ghala kwa ujiti wa kiberiti cha 50/=tu. kutoka katika kodi zenu...kudadadeki.

Uwiiiiii kama habari ndiyo hiyo kwa nini mnatuonea walalahoi msilenge wahusika?
 
Wanajua kabisa, na hizi ni salamu zao kwa mkwere! Mwanajeshi mmj wa kambi ya monduli akiwa kituo cha basi eneo la majengo Arusha,alisikika akisema kabla hajapanda basi la jeshi kuelekea kambini,alisema hivi namnukuu "Sisi hatuandamani! wasipotusikiliza tutaendelea na kaz
i? haya jamani nini kinachoendelea?
 
Ndugu wana jf,najiuliza imekuwaje wafe watu wengi hvyo asiwepo hata mwanajeshi mmoja? Ama walijua itatokea wakauchuna? just a thouit.
 
Nilivyosikia maelezo kutoka jeshini, ni kwamba baada ya askari kuona gala namba 5 linaungua wakataarifiana wakatako nje ya kambi. Baada ya kumalizika tukio kuingia ndani ndo wakagungua magala mengine yote 23 yaliungua nayo.
My Take: Hawa sio watu wa kulinda nchi yetu hata siku moja. Instead ya kutake measures kucontain uunguaji wa gala no.5 wenyewe wakajisalimisha nje ili hali wanajua yale makombora yalikuwa yanaruka na kutua kwenye makazi ya watu. Sasa hawa kweli ndo watasacrifice maisha yao kupigania nchi yetu? Bure Kabisa nchi hii.
 
Wadau wa JF,
Kuna mtu kanijuvya ndani ya dakika kumi zilizopita: Anasema yeye alipigiwa simu na kaka yake ambaye ni Mjeshi pale G/Mboto saa 12:00 jioni siku ya tarehe 16/2/2011 kuwa aiondoshe familia yake haraka sana kwani kuna tukio litatokea usiku. Akabeba familia akaipeleka Kinondoni.
Huyu jamaa nahifadhi jina lake ila ni mkristo. Nilimuuliza ikiwa amesalimika na tukio la mabomu kwa kuwa najua anaishi Gongo la mboto mwisho.

Ndipo nilipokumbuka lile Tamko la waislam lililowahi kubandikwa hapa JF. Tujikumbushe!

"(9) Papa John Paul II alipoitembelea Tanzania mwaka 1990, Kanisa Katoliki lilimkabidhi Ripoti yenye anwani: Activities of the Church in Tanzania. Katika ripoti yake hiyo Kanisa Katoliki limetaja kuwapo kwa Tume ya Majeshi ya Kivita [Commission of Armed Forces] ndani ya Kanisa hilo. Tangu wakati huo hadi leo Waislamu wameitaka serikali iwaondoshe hofu kwa kuweka wazi kazi za Tume hiyo ya Majeshi ya Kivita ndani ya Kanisa. Serikali haijajibu na wala haijajishughulisha na taarifa nzito kama hizo. Hatujui kama Tume hiyo ya Majeshi ya kivita inafanya kazi ndani ya Jeshi la Wananchi au nje ya jeshi hilo. Lakini kwa muktadha wa hali ya uhasama wa serikali na hasa wa Maaskofu dhidi ya Waislamu wanaowahesabu kuwa ni maadui zao, si vigumu kukisia kwa nini Kanisa Katoliki limeunda Tume ya Majeshi ya Kivita. Lakini serikali ambayo haishughulishwi kabisa na Tume ya Majeshi ya Kivita ya Wakatoliki imekuwa na tabia ya kuwakamata na kuwatia ndani Waislamu kwa kesi za kuwabambikia zisizokuwa na kichwa wala miguu. Lakini propaganda zinasema Tanzania ni nchi moja yenye katiba inayolinda haki za watu wote. Mwenye mach haambiwi tazama.

"Lililo baya zaidi maaskofu walioshindwa kuwashawishi wananchi waipokee na kukubali Ilani yao, wamekuja na kampeni za kuchochea uasi kwa serikali iliyopo madarakani. Lakini pamoja na hali hiyo, viongozi wa CCM na serikali wamebaki wanagwaya. Hakuna aliyeweza kupata ujasiri wa kukemea hali hii. Kinyume chake Waziri Mkuu na Mzee John Samwel Malecela wanahangaika huku na kule wakiwapigia magoti maaskofu hao na kuwakemea wanaothubutu kuwakosoa.

Hali kama hii ni hatari kwa usalama na utulivu wa nchi. Ni hali ya kuchochea udini na kuweka ombwe la uongozi wa kisiasa ambao utazua balaa. Waislamu hatuwezi kukubali hali hii. Kwa hiyo, ama CCM na serikali vitekeleze wajibu wao wa kuongoza au kama wanaona hawawezi, basi waseme rasmi ili Maaskofu na wengine wenye Ilani zao za uchaguzi waingie tena ulingoni kuomba ridhaa ya Watanzania kuongoza nchi kuliko kuishi katika hiki kiini macho ambapo maaskofu na mawakala wao ndani ya serikali wameachwa waikokote nchi wanakotaka".

Maoni yangu: Bado tukumbuke kuwa kuna misemo pia imewahi kusemwa kuwa kuanzia sasa Tanzania haitatawaliki tena.

ANAGALIZO:
TUNATAKA SERIKALI ITOE TAMKO JUU YA KUWEPO KWA "TUME YA MAJESHI YA KIVITA" IKIAINISHA KAZI YAKE, NA UHALALI WAKE.
 
Hivi huu ni ugonjwa gani? Inabidi upelekwe kusafisha kizazi. Thread hii na ukristu wapi na wapi.

We kenge kweli: Yaani unaona matukio halafu huna reflection?. Hivi unadhani matukio haya ni ya bahati mbaya?. Hivi unadhani yanayosemwa hayana ukweli?. Au yanawauma kwa sababu sasa mambo hadharani?.
sio nyie mliokuwa mkiomba JK alipukiwe na bomu alipoenda kutembelea eneo la tukio pale gongo la mboto? Au mnadhani waTZ hawana akili?

Mbona mambo ya umbea mnashabakia lakini mambo yenye mustakabi na nchi mnayabeza?

Anyway katika msafara wa mamba na kenge na Lata , uzza na manata nao wamo!
 
kama hujui kazi ya Bulldozzer kawaulize wamachinga na wale waliojenga kandokando ya barabara.
 
Nilivyosikia maelezo kutoka jeshini, ni kwamba baada ya askari kuona gala namba 5 linaungua wakataarifiana wakatako nje ya kambi. Baada ya kumalizika tukio kuingia ndani ndo wakagungua magala mengine yote 23 yaliungua nayo.
My Take: Hawa sio watu wa kulinda nchi yetu hata siku moja. Instead ya kutake measures kucontain uunguaji wa gala no.5 wenyewe wakajisalimisha nje ili hali wanajua yale makombora yalikuwa yanaruka na kutua kwenye makazi ya watu. Sasa hawa kweli ndo watasacrifice maisha yao kupigania nchi yetu? Bure Kabisa nchi hii.

Duu,this is really shame to the MPs..
I thought they were ready to sacrifice for the rest...
How can the same thing happen twice and i dont here even the rumors for some one to take responsibility?
The media also is so quiet,what is up?
A pressure should heap up for some one to take responsibility...
otherwise it is so unfair to the victims.
I wish to see Dr.Slaa a.k.a " The voice of Hope" visiting the victims and summon them, this will be a real comfort to them.
People need hopes and who is there to bring hope to them?
 
Back
Top Bottom