Basi wasingeweka tofali wangepiga nyundo tuone ukakamavu wao...Hata yawe laini je kile kishindo cha kuyavunja yakiwa kichwani unakionaje!? We chukulia nyundo ikuangukie tu kichwani mziki wake kwako ungekuwaje kwa nyundo yenye uzito na ukubwa ule?
Kwa ile sledge hammer lazima yapukutike, je na misumari ilikuwa feki??
Next time waruhusu wananchi waingie na matofali yao then wayavunje ndo tutajua ukweli wa ukomavu wao...siyo hayo wanayotangeneza wenyweweWangepewa zile tofali walizokuwa walitumia strabag wajenzi wa barabara za mwendokasi , tuwaone ukakamavu wao.
Wewe wa chekechea?Watoto wa sekondari mmejaa humu
Twende na mipini yetu ya majembe, sio zile cyprus 2 by 2 za kupaulia.Next time waruhusu wananchi waingie na matofali yao then wayavunje ndo tutajua ukweli wa ukomavu wao...siyo hayo wanayotangeneza wenywewe
Nguvu iliopo pale si ya mchezo aseeWalinifurahisha wale walio kua wanasukuma gari
commando sio cheo mkuu hiyo ni idara tu kama zilivyo idara zingine kama navy,mp etcKama ni private kwann waitwe makomandoo au unaweza kuwa private komandoo
[emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28] yuko vyema kwenye kunyakuwa
Hivi wale wetu ukiwalinganisha na sayeret matkal au shayetet inakuwaje
Zile watasema zinadawa ya mchwa hazifai.Wangenunua ata pale buguruni ndo tungeamini...
Lakini kwa nini matofali yalikua yanamwagika kama udongo tu au yalikua feki
Wewe unaubavu wa kustahimili kupigwa na ubao unao waka moto? utakimbia mpaka tusome namba za fiatu vyako.Swali langu ni mbona hivyo bonito wavichome Kwanza Ndio wavunje Je wakikutana na Adui itabidi wamsubiri awashe moto achome jiti ndipo waivunjie mwilini hayo matofali waje wachukue nilojengea kwangu wayavunje juu ya kifua cha mmoja wao tuone matokeo Najiuliza tu