Makomandoo wa Bongo

Makomandoo wa Bongo

Ila bado sana hawajawafkia Team 6 commandos.

tangu wamwotee binladen ushawaona makomando?hivi kabla ya hapo ulijua kuhusu seal team 6?kama iliwachukua dakika 40 kumuu laden ambae hakua na ulinzi wowote ukomando wao siuoni.
Kifupi kinachoonekana ktk video huwezi kulinganisha na reality.waweza mchukua rambo,shwazneger ukamweka gaza strip na wale watoto wa kipalestina wakamtoa uhai within seconds
 
Wakuu nimecheki clip kwa michuzi, kwenye ile segment ya kuvunja vitu, I rest my case.
Nimewakubali.
 
hiyo gari imetengenezwa enzi za nyerere.
Nyumbu kwisha kazi yake sasa hivi, wana mashines za metal fabrication nzuri sana, lakini hakuna wanachofanya sasa hivi.

Magari tumeshatengenezewa na wazungu, sisi hata mafuta ya break hatujaweza kutengeneza.

ina mana jamaa MC kaupotosha umma?
 
Vingi vilivyosemwa hapo juu ni sahihi lakini mumesahau kusema kwamba vikosi vya makomandoo mara nyingi wanaandaliwa kwa ajili ya shuguli maalumu na malengo maalumu lakini hayo zaidi yanatekelezwa na nchi za ulaya na marekani kwa sababu wanamipango ya muda mrefu dhidi ya mataifa mengine kama iran , north korea , uchina na urusi komandos wale ni tofauti na wale wanaolinda mipaka ya marekani haswa ndani ya marekani yenyewe , ni tofauti pia na hawa wa africom komandi ya marekani afrika .

Acha mapigano pembeni hayo watu hufunzwa na kufunzika lakini lililomuhimu ni kwenda na wakati na kutumia vifaa vinavyotakiwa kwa wakati unaofaa , sasa hivi marekani ina drones kule jiboti na viwanja vingine vya ndege vya siri kwa ajili ya mashambulizi sehemu yoyote ya afrika haswa afrika mashariki na magharibi how are we prepared kwa muda mrefu ujao ?

Yule aliyeshikilia tekonologia na uchumi ndio bingwa wa dunia - ni wakati wa kufikiria kama taifa tunaenda wapi na tuzidi kuboresha vyombo vyetu vya usalama na kuweke watu stahili kwenye vyombo hivyo na sio kupasua mawe , au kuruka sarakasi - kama nilivyosema wenzetu wameleta drones pembe ya afrika .
 
Mi naongelea hasa maujanja ya kwenye shughuli, kama vile kupita kwenye moto, kushusha kipondo cha kiteknikali kabisa, kucheza na vyombo vya kivita,,mfano kumpiga kabali piloti na yeye kuongoza ndege,,kubembea kwenye mkia wa ndege afu anasavive mpaka anaenda kumteka rubani.

Hawa makomandoo wetu wana uwezo kabisa kama hao uwajuao na wengine kwenye movie si makomandoo halisi. Kumbuka makomandoo uwaonao kwenye movie mambo mengine ni exaggeration ili kunogesha movie. Hujawahi kuangalia behind the scene? Au unawadharau kwa sababu ni wabongo wenzetu?
 
Nimewahi kuhudhuria mazoezi ya kijeshi yalifanyika Tanga ambapo kulikuwa na mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuruka kwa parachuti ambapo makomandoo 12 wa Tanzania walishiriki. Nilishuhudia namna walivyo fit makomandoo wetu ingawa watatu waliumia sanaa, but kiukweli makomandoo tunao na wapo fit sana tu
 
Hawa jamaa wanavaa visu maalum kiunoni kama nyongeza ya silaha nyingine wanazobeba. Tanzania wapo wa aina mbili kama sikosei. Walikuwepo banda la jeshi sabasaba 2010, na kipindi kile Brigadia GenM kabunda ndio alikuwa in charge. Inasemekana he also fought Kagera war, especial in the unit which cleared Amin elements wakati wanajenga daraja lililobomolewa. The guys are extremely good

Kwenye RED Brig Gen William Kabunda alikuwa ni mkufunzi wa makomandoo,amestaafu June mwaka huu.Namwaminia sana mkuu
 
Kwa waliopitia Kabuku Mgambo JKT Tanga watamkumbuka aliyekuwa CO Marehemu afande Mtono... x-commando israel, japokuwa kulikuwa na tetesi za kushindwa kumaliza course ya u-commando... Lakini mmmh...! alikuwa akiwaendesha sana vijana , haswa wale waliokuwa na tabia ya kujificha michungwani.
 
tatizo la majina kuwa universal ndio hili....
mrisho ngassa na lionel messi wote ni WASHAMBULIAJI
vodacom premier ligue na barclays premier ligue zote ni LIGI KUU ZA SOKA
umoja wa afrika na jumuia ya ulaya zote ni REGIONAL INTEGRATION BLOC
............kweli?
sasa jijibu mwenyewe kama wa kwetu na wa kwao wapaswa wote kuitwa MAKOMANDOO

ushamba unakusumbua hujui unajifanya unajua, unatia aibu kwanza, wewe unajua training huwa zinafanyika wapi?
 
Kwa haya waloonyesha tisa disemba jamaa wako fit kwa sana.....it is high time kukubali vya kwetu. It is a shame kuwafananisha na Rambo or other actors....kwa yeyote aliyewahi kupiga kata atakubali kwamba wale watu wanajua kutumia miili yao kama silaha.

Physique and flexibility ni ya kweli na stance wanayogonga imesimama
 
Kama huna teknologia sahihi kwa muda sahihi iweze kutumika na mafunzo na muda sahihi utapitwa na vitu vingi sana , sasa wengi wetu hapo wanaongelea zaidi vitu vilivyopitwa na wakati miaka 40 iliyopita kama kweli wale ndio komandoo wetu uwanja wa taifa basi walivyofanya ni vya miaka 40 iliyopita nitakupa mfano hapa chini .

1 - Mfano hawajaonyesha komando unit hata moja na shuguli zake za kupambana na ugaidi kwa mfano tuna ubungo gas plant pale na kule songo songo je hivyo vitu 2 vikitekwa na magaidi tuna UNIT iliyokuwa trained kwa ajili ya shuguli hiyo kupambana kwenye hali ile bila kuathiri ugawaji wa umeme na madhara mengine kwa binadamu eneo lile ?

2 - Mwaka huu tumeshuhudia meli ikizama na watu zaidi ya 1500 kupotea na inaonekana UNIT Zetu za ulinzi na usalama hazikuwa na taarifa sahihi kuhusu tukio hilo tukapoteza watu wengi namna ile hatujui kama ni tukio la ugaidi au la lakini matukio ya kigaidi yanaweza kutokea pande za bahari vile Comando unit zetu ziko tayari ? Zile tufali unaweza kuzikuta baharini ?

3 - Sasa hivi serikali ya marekani ina toa sana msaada wa kiuguzi kwa wanajeshi kadhaa wa jumuiya ya afrika mashariki , huku vile vile ikiwa na viwanja vya siri vya kurusha ndege ambazo hazina rubani hizi ndege hazijali wewe ni nani unadunguliwa tu pamoja na training zako zote ulizopata nadhani mliona gadafi alivyofanywa pamoja na kuwa na vyuo vya kikomando na wanajeshi hodari kwa miaka yote , we have to get ready for all of these .

Angalau uchina na iran angalau mara moja wamefanikiwa kuteka au kuangusha ndege ambazo hazina rubani ndani ya mipaka yao sijui sisi tumejiandaaje .
 
nasikia comandoo amejifunza zaidi ya njia elf 1 za kuua bila silaha na amejifunza zaidi ya njia 1000 za kujihami.kwa mantk hyo macomando wetu nao ni hvy hvy kwani vyuo ni vilevile walivyojifunza wa usa au izrl.big up tz comandozi
 
Kama kweli wale ndiyo makomandoo wa tz na ule upuuzi walio uonyesha pale uwanjani ndiyo walichagua mambo ya hatari ktk mafunzo yao bas ni upuuzi mtupu hakuna lolote ni uhalo na ushuzi 2.

Jaman 2achen kushabikia vi2 visivyo kuwa na msingi hv kwa dunia ya leo ule upupu uliyo onyeshwa na makomando unaweza ukalisaidia taifa kweli??
Labda wa2mike kwa kukamata vibaka na mateja wanao2sumbua mtaani.
Ikiwa majambaz 2 wanao 2mia siraha kal huwa wanasumbua vyombo vye2 vya usalama kwa ajiriya mafunzo ya kimagumashi.

Kwa wale wote wanaowasifu na kuwapamba kwa ule uharo walio ufanya pale uwanjan ni kipi kilicho wakuna.
Kama ni zile mbao lain za dali kuvunjiwa mwilin mwao bas wamasai wapo juu kwani huvunja zile fimbo zao kwa kuipiga pajan.

Na kama ni kupasua vile vigae koko njoen huku uswailin wa2 wanapasua nazi kwa kutumia two nakozi.

Kama kwa kuruka juu na kupiga tobi geri(tikitaka) wale walio kuwa kwenye kampen za kara pina watatoa ushahidi wa kutosha au kama kuna mtu alisha wahi kuja taifa uwanja wa basketi wakati wa mashindano ya shotokan karet hatashangaa.

Jaman narudia tena kama wale ndiyo makomandoo wa tz bas yabid tusikitike sana.Zile mbinu ni za miaka ya 30 au 40 na cyo dunia ya leo ya dot com.

Ni vita gan utakayopigana leo hii muanze kushikana shikana.

Dunia ya leo watu wanafanya vita kwa ndege zisizo kuwa na ruban je hawa vimbora wetu wataweza?!

Au ni zile mbwembwe za kukimbia wamebeba mabeg ndiyo mnawasifu nenden ubungo mkakutane na TEMBO anaekimbia amebeba begi lenye matofari ya block ndan.Na kukimbia kutoka ubungo mpaka mbez na kurudi.
 
Mie sikuona hayo mambo jana maana huku Sikonge hizo TV zenu hazifiki.

Ila kwa kusoma unachoandika hapo chini, basi nagundua kuwa umelishwa sana hadi kuvimbiwa chakula kiitwacho CNN.

Una tatizo kuwa hata JKT au Mgambo hukupitia. Umeonysha kufahamu mambo kadhaa ila yote ni kupitia CNN.

Kwanza lazima ujuwe kuwa vita ya sasa inapiganwa kwenye INTERNET na UCHUMI. Hizi nyingine ni za wala CNN.

Hizo silaha zote unazosema, kama zingelitumika LIBYA, basi leo hii Ghadaffi angelikuwa bado yupo hai. Vita haipiganwi angani ila ardhini. Kabla hujaenda vitani, lazima ufahamu adui yako kajipanga vipi. Hapo ndipo hizo DRONE, Satelite na ndege za kijasusi hutumika. Ila zote hizo, husaidia tu kuweka NJIA ya Komandoo ili waende kulisoma vizuri eneo husika.

Kila ikitokea vita, Komandoo ndiye huwa MSINGI wa kushinda vita. Hata USA walipotaka kumuuwa Osama, kwa nini hawakupeleka hizo DRONE zako zikamuuwe? Duniani, hivi vikosi vipo vingi sana na si kuwa vimeisha kwa sababu kuna Drone sasa. Vikosi vipo na wanakula mazoezi ya hali ya juu ili kukabiliana na mabadiliko ya dunia. James Bond huwa ni kielelezo kizuri ingawa ile ni FILM tu hasa kwenye Silaha na ujuzi wa kutumia New Technology.

Mwisho kumbuka, ni MJINGA au TAAHIRA aitwaye Komandoo atakuja na kukuonyesha UJUZI wake wote. Hilo hata JKT wanafundishwa kuwa, mkiwa kwenye KIKOSI na mpo vitani, ni marufuku kutumia silaha KUBWA KULIKO ZOTE mlizonazo. Silaha pekee huwa inakushtaki kuwa mpo wangapi. Hii ikiwa na maana, ukisikia Light Machine gun, unajua ni watu kiasi gani, ukisikia Heavy M.G. au RPG, pia unaelewa ni kikosi gani hicho na hiyo inaenda hadi kwenye kutumia Vifaru au Mizinga.

Wale jamaa kama kweli ni Makomandoo na siyo Wanafunzi, basi kama wanaVIFARU, jana umeona SubMachine Gun (SMG).
Kama kweli wale ndiyo makomandoo wa tz na ule upuuzi walio uonyesha pale uwanjani ndiyo walichagua mambo ya hatari ktk mafunzo yao bas ni upuuzi mtupu hakuna lolote ni uhalo na ushuzi 2.

Jaman 2achen kushabikia vi2 visivyo kuwa na msingi hv kwa dunia ya leo ule upupu uliyo onyeshwa na makomando unaweza ukalisaidia taifa kweli??
Labda wa2mike kwa kukamata vibaka na mateja wanao2sumbua mtaani.
Ikiwa majambaz 2 wanao 2mia siraha kal huwa wanasumbua vyombo vye2 vya usalama kwa ajiriya mafunzo ya kimagumashi.

Kwa wale wote wanaowasifu na kuwapamba kwa ule uharo walio ufanya pale uwanjan ni kipi kilicho wakuna.
Kama ni zile mbao lain za dali kuvunjiwa mwilin mwao bas wamasai wapo juu kwani huvunja zile fimbo zao kwa kuipiga pajan.

Na kama ni kupasua vile vigae koko njoen huku uswailin wa2 wanapasua nazi kwa kutumia two nakozi.

Kama kwa kuruka juu na kupiga tobi geri(tikitaka) wale walio kuwa kwenye kampen za kara pina watatoa ushahidi wa kutosha au kama kuna mtu alisha wahi kuja taifa uwanja wa basketi wakati wa mashindano ya shotokan karet hatashangaa.

Jaman narudia tena kama wale ndiyo makomandoo wa tz bas yabid tusikitike sana.Zile mbinu ni za miaka ya 30 au 40 na cyo dunia ya leo ya dot com.

Ni vita gan utakayopigana leo hii muanze kushikana shikana.

Dunia ya leo watu wanafanya vita kwa ndege zisizo kuwa na ruban je hawa vimbora wetu wataweza?!

Au ni zile mbwembwe za kukimbia wamebeba mabeg ndiyo mnawasifu nenden ubungo mkakutane na TEMBO anaekimbia amebeba begi lenye matofari ya block ndan.Na kukimbia kutoka ubungo mpaka mbez na kurudi.
 
Kama kweli wale ndiyo makomandoo wa tz na ule upuuzi walio uonyesha pale uwanjani ndiyo walichagua mambo ya hatari ktk mafunzo yao bas ni upuuzi mtupu hakuna lolote ni uhalo na ushuzi 2.

Jaman 2achen kushabikia vi2 visivyo kuwa na msingi hv kwa dunia ya leo ule upupu uliyo onyeshwa na makomando unaweza ukalisaidia taifa kweli??
Labda wa2mike kwa kukamata vibaka na mateja wanao2sumbua mtaani.
Ikiwa majambaz 2 wanao 2mia siraha kal huwa wanasumbua vyombo vye2 vya usalama kwa ajiriya mafunzo ya kimagumashi.

Kwa wale wote wanaowasifu na kuwapamba kwa ule uharo walio ufanya pale uwanjan ni kipi kilicho wakuna.
Kama ni zile mbao lain za dali kuvunjiwa mwilin mwao bas wamasai wapo juu kwani huvunja zile fimbo zao kwa kuipiga pajan.

Na kama ni kupasua vile vigae koko njoen huku uswailin wa2 wanapasua nazi kwa kutumia two nakozi.

Kama kwa kuruka juu na kupiga tobi geri(tikitaka) wale walio kuwa kwenye kampen za kara pina watatoa ushahidi wa kutosha au kama kuna mtu alisha wahi kuja taifa uwanja wa basketi wakati wa mashindano ya shotokan karet hatashangaa.

Jaman narudia tena kama wale ndiyo makomandoo wa tz bas yabid tusikitike sana.Zile mbinu ni za miaka ya 30 au 40 na cyo dunia ya leo ya dot com.

Ni vita gan utakayopigana leo hii muanze kushikana shikana.

Dunia ya leo watu wanafanya vita kwa ndege zisizo kuwa na ruban je hawa vimbora wetu wataweza?!

Au ni zile mbwembwe za kukimbia wamebeba mabeg ndiyo mnawasifu nenden ubungo mkakutane na TEMBO anaekimbia amebeba begi lenye matofari ya block ndan.Na kukimbia kutoka ubungo mpaka mbez na kurudi.

Legelege;
Kwani makomandoo walikkuwa wanaonyesha mbinu za kivita au walikuwa wanatoa trailer ya mazoezi yao? Naona hapa tunachanganya mambo. Usidanganywe, commandoor ni commandor na siku ikitokea ukashuhudia zali lao ndiyo utajua kuwa mziki wao mtamu hadi unakuwa mchuungu kwaq upande mwingine. Nina imani kabisa kuwa hwa wa kwetu wanaweza kuwa wako fit zaidi kuliko hata hao wa huko israeli, labda tunaweza kuwa na ukosefu wa vifaa vya kisasa kwa ajili ya matumizi yao.
Kumbuka kuwa wakati tunapigana na Idd Amin mwaka 1978, Idd Amin nasikia alikuwa anatamba kuwa lazima atatupiga sababu allikuwa anajua kuwa Tanzania tuna askari mmoja tu, Mayunga. Nasikia pia kuwa Idd Amin, Mayunga na Fidel Castro walisoma wote Israel darasa moja la ukomandoor
 
Huyu hata mie nilimsikia kuwa alichanganyikiwa kwenye mafunzo ya Kikomandoo huko Izrael. Ila wengi wanamkubali kuwa alikuwa na uwezo wa kumuona mtu kwa nusu sekunde na atakukumbuka.

Kuna vijana waliiba mahindi na kwenda kuchoma msituni. Wengine walikaa doria wakiangalia kama kuna mtu anakuja. Walipokuja kumuona huyo, wakapotea msituni na kumuacha peke yake. Aliitisha kambi nzima ya jeshi na kuwachoropoa mmoja mmoja. Ila mwisho akajisifu kuwa kama Wanajeshi basi kashatengeneza maana jinsi vijana waliyoondoka hapo na kwa mwendo wa chui na kupotelea vichakani, hadi alijisikia raha. Kwa sababu hiyo akawaachia huku akiwaambia kuwa wasirudie tena maana yeye siku zote yupo hatua moja mbele ya KURUTA/SERVICE MAN.
Kwa waliopitia Kabuku Mgambo JKT Tanga watamkumbuka aliyekuwa CO Marehemu afande Mtono... x-commando israel, japokuwa kulikuwa na tetesi za kushindwa kumaliza course ya u-commando... Lakini mmmh...! alikuwa akiwaendesha sana vijana , haswa wale waliokuwa na tabia ya kujificha michungwani.
 
Jesh ina siri kubwa ila kwetu sisi wa TZ bado sana tuko nyuma maana kama hata waokoaji wazamiaji majini hatuna sidhani kunaweza kukawa na makubwa sana na hao makomandoo, kama mishahara na maisha ndo hayo wanayishi basi hata kama ulirudi uko fiti utasuka kiwango.
 
Kama kweli wale ndiyo makomandoo wa tz na ule upuuzi walio uonyesha pale uwanjani ndiyo walichagua mambo ya hatari ktk mafunzo yao bas ni upuuzi mtupu hakuna lolote ni uhalo na ushuzi 2.

Jaman 2achen kushabikia vi2 visivyo kuwa na msingi hv kwa dunia ya leo ule upupu uliyo onyeshwa na makomando unaweza ukalisaidia taifa kweli??
Labda wa2mike kwa kukamata vibaka na mateja wanao2sumbua mtaani.
Ikiwa majambaz 2 wanao 2mia siraha kal huwa wanasumbua vyombo vye2 vya usalama kwa ajiriya mafunzo ya kimagumashi.

Kwa wale wote wanaowasifu na kuwapamba kwa ule uharo walio ufanya pale uwanjan ni kipi kilicho wakuna.
Kama ni zile mbao lain za dali kuvunjiwa mwilin mwao bas wamasai wapo juu kwani huvunja zile fimbo zao kwa kuipiga pajan.

Na kama ni kupasua vile vigae koko njoen huku uswailin wa2 wanapasua nazi kwa kutumia two nakozi.

Kama kwa kuruka juu na kupiga tobi geri(tikitaka) wale walio kuwa kwenye kampen za kara pina watatoa ushahidi wa kutosha au kama kuna mtu alisha wahi kuja taifa uwanja wa basketi wakati wa mashindano ya shotokan karet hatashangaa.

Jaman narudia tena kama wale ndiyo makomandoo wa tz bas yabid tusikitike sana.Zile mbinu ni za miaka ya 30 au 40 na cyo dunia ya leo ya dot com.

Ni vita gan utakayopigana leo hii muanze kushikana shikana.

Dunia ya leo watu wanafanya vita kwa ndege zisizo kuwa na ruban je hawa vimbora wetu wataweza?!

Au ni zile mbwembwe za kukimbia wamebeba mabeg ndiyo mnawasifu nenden ubungo mkakutane na TEMBO anaekimbia amebeba begi lenye matofari ya block ndan.Na kukimbia kutoka ubungo mpaka mbez na kurudi.
Acha dharau na kujifanya unajua kumbe hujui lolote...! Zile ni demo za kuonesha utimamu wa mwili..,
Hzo shotokan unazoongelea ni ushuzi tu kwa combinations za commando.., hawapigani aina moja ya martial art.., ila kwa ujinga wa baadhi ya watu wanafkiri kinachooneshwa pale ndo final.., style yako ya mapigano ndo ita-determine combination ya commando akupige vp...,
hakuna pigano la kiraia utaweza mpiga commando.., kama huamn jarb, na kama unajisifu una black belt ya karate utatandikwa ngumi moja iloshiba inayopiga push-up 500 daily, ikitua kwny koo utalia kama mtoto kanyimwa jojo, mamaee
 
Back
Top Bottom