Makomandoo wa Bongo

Makomandoo wa Bongo

Aa! Wapi wewe? Hamna kitu hapa jaribu wakati mwingine kuwa fair kwenye mambo ya msingi bila kuweka chuki wala udini.
Sina chuki, nimerespond post ya 'Son of Alaska' anayodai Muisrael anachupa kutoka kwenye ndege hewani bila 'parachute'
 
Sina chuki, nimerespond post ya 'Son of Alaska' anayodai Muisrael anachupa kutoka kwenye ndege hewani bila 'parachute'

Poa, hivi unaonaje tukaondoa tofauti zetu za kidini kwenye mambo ya msingi kati ya waislam na Wakristo ili tuweze kufikia malengo? Mimi nafikiri adui yetu wote ni wizi, ufisadi,rushwa na uzembe ktk mambo ya msingi, pia adui wa Wislam siyo Mkristo wala adui wa Ukristo siyo uislam tu bali kwa wanaofuatilia vizuri kuna adui aitwaye Freemason ndiye anayepambana kuangamiza dini zote mbili, pamoja na propaganda za watawala wetu ili waweze kututawala. Subiri utaona, JF nimechomeka hii kwa sababu maalum yangu na Ali Kombo. Turudi kwenye mada yetu
 
X-paster
nidhamu ipi?
Mbona wanajesh wetu wamekua wakiwapga raia?wanakamatwa na bhang,pembe za ndovu na wiz wa kutumia silaha!wanahusishwa na wiz wa UBUNGO MATAA

Hapo nisuala lakuilaumu serikali kwakushindwa kuwapa mishahara yakujikwimu
 
Mi naongelea hasa maujanja ya kwenye shughuli, kama vile kupita kwenye moto, kushusha kipondo cha kiteknikali kabisa, kucheza na vyombo vya kivita,,mfano kumpiga kabali piloti na yeye kuongoza ndege,,kubembea kwenye mkia wa ndege afu anasavive mpaka anaenda kumteka rubani.

Tunao makomandoo wa ukweli,mmemsahau yule komandoo aliyeruka toka kwenye garimoshi lililouwa watu wengi maeneo ya Kilosa ? hakujali mwendo kasi gari moshi alibeba mdada kwa nguvu kulingana na uzito aliohitaji kujiokoa na alifanikiwa kwa wote wawili kuokoka? sasa tunawabeza nini iwapo huyu nae ni komandoo wa JWTZ,kitendo kile si nisawa na tunavyoona katika sinema?
 
All in all ile show pale uwanjani hata TISS,POLISI, MAGEREZA, wanao uwezo wa kufanya kama walivyofanya hao makomandoo. Mara nyingi tumewaona wakifanya hivyo. Tunaweza kuwapima kwa kuwaona kwenye tukio la ukweli. Tanzania haijawahi kupigana vita kwa miaka mingi hata kazi za nje ya nchi wanaenda kusaidia na sio wengi wanaoenda. Kurudi kwao hatujui ni wangapi wanarudi. Siri ya serikali. Ije vita, Tanzania isimame kama Tanzania ndo tuwatume makomando wetu na wanajeshi ndo Tutajua wako fiti au la. Hapa tunawapa sifa za bure. Sio ile operation ya anjwan tunayojisifu nayo.
 
Siku ile ya uhuru paratroopers na marines walionyesha umahiri wao. The boys are good in their maroone and black hats.
 
Tunao makomandoo wa ukweli,mmemsahau yule komandoo aliyeruka toka kwenye garimoshi lililouwa watu wengi maeneo ya Kilosa ? hakujali mwendo kasi gari moshi alibeba mdada kwa nguvu kulingana na uzito aliohitaji kujiokoa na alifanikiwa kwa wote wawili kuokoka? sasa tunawabeza nini iwapo huyu nae ni komandoo wa JWTZ,kitendo kile si nisawa na tunavyoona katika sinema?
Humu mijitu mingi haijapita Mgambo wala JKT hivyo kuwaelimisha mpaka uwapige makwenzi! Mtu hajawahi kuona SMG inavyofunguliwa na kufungwa atakuelewaje huyo?
 
Poa, hivi unaonaje tukaondoa tofauti zetu za kidini kwenye mambo ya msingi kati ya waislam na Wakristo ili tuweze kufikia malengo? Mimi nafikiri adui yetu wote ni wizi, ufisadi,rushwa na uzembe ktk mambo ya msingi, pia adui wa Wislam siyo Mkristo wala adui wa Ukristo siyo uislam tu bali kwa wanaofuatilia vizuri kuna adui aitwaye Freemason ndiye anayepambana kuangamiza dini zote mbili, pamoja na propaganda za watawala wetu ili waweze kututawala. Subiri utaona, JF nimechomeka hii kwa sababu maalum yangu na Ali Kombo. Turudi kwenye mada yetu
aaah ! Sie Waislaam tunawaweka kwenye group moja wote ! Freemasons (kama wapo?) Wakristo, Baniani, Buddha, Wayahudi na wanaofanana na hao! Hakuna dhulma kubwa na dhambi isiyo na msamaha kama kuabudu kitu au nafsi (mtu!) wakati wa Musa Wayahudi walidai wamuone Mungu live kwa macho yao, kilichowapata hawakurudia mpaka leo ! Leo nyie Mungu mnamjua mpaka sura yake ! Natetea hoja tu, kama nimekukwaza utanisamehe !
 
Ally Kombo,
Hivi inakuwaje dini moja inakuwa na ugomvi, kutokuelewana na dini zingine zote dunia kama ulivyosema hapo juu?
Huoni kuwa labda maana ya dini ni tofauti na nyingine? Au uelewa wao ni tofauti na wengine? Au mafundisho yao ni unafiki?
Au imani yao imeegemea kwenye visasi? Au wameunganisha unganisha imani kupata yao hivyo wanaona wengine sio?
Kwa nini mmoja awe tofauti na kumi kama ulivyosema hapo juu? Basi labda wanamatatizo fulani, maana mmh!
Huyo ana tatizo!
 
.......,...jiangalie imani yako vizuri, ukigundua yakuwa unaomba, unategemea na unaabudu kitu, alama, ama nafsi (mtu/kiumbe) hakuna Muislaam wa kweli atakuunga mkono ! Halazimishwi mtu kuamini tunaemuamini sisi Waislaam, nanyie msitulazimishe sisi yakuwa tuamini nyie mko sahihi mnachofanya ! Kwetu sisi nyie, 'simply mmepotoka'
 
Komandoo wa bongo wapo trained kwa level ya bongo. Kamwe hauwezi kumfananisha na kumpambanisha na yule wa Israel mossad au KGB, USA. Kwa hawa wa USA tuchukue walioko us navy seal team hiking kikosi mwanamke haruhusiwi kujiunga toka kimeanzishwa 1962 . Hata CIA wanatoa vijana wao huko. Kuna mission waliifanya hapo Somalia kwenye utekaji wa meli kwa ufanisi mkubwa kwa nn Tanzania isipeleke makomando wake? Wangeharisha. Timu yenyewe iliyokuja ina watu 6 tu. Hawa wetu ni wahapahapa, full vitambi
 
makomandoo wa kimarekani walishughulikiwa somali na Gen Aideed mpaka waka withdraw mission yao ! Unatuambia nini wewe !
 
unaposkia komando haijalishi nchi anayotoka.., uwezo wake ni wa hali ya juu sana,, sasa kwny huo uwezo wa juu wanapishana huko kutokana na task na specialization..., kwa mfano navy seal team 6, ni wataalam wa counter-terrorism, lakn hapo hapo kwny navy seal commandos wapo specialised kwa tactics nyingine...,

Hapa tz, zamani commandos alikua for general purpose, lakn ikaonekana kuna haja ya specialization ndo maana saivi kuna marine commandos pale navy,, wanasomea china

Pia kuna airborne, hawa wanakua na bawa moja lakn wanafanya mafunzo mengi kama infantry commandos na haja ya kufanya hivyo ni kwa sbb wanakua deployed behind enemy lines, wanafundishwa kufanya kazi kwa vikundi vidogo lakn kwa ufanisi mkubwa

Kuna programme ilioneshwa tbc last year, ungeamini kua jamaa wako fiti..., watu wanavunja tofali kwa vichwa, watu wana uwezo wa kuruka gari.., in short wapo fiti....

Na unapolinganisha na wa nje, makomando wetu wengi wanapata mazoezi nje ya nchi...., katika kikosi maalumu kinachosafirisha sana wanakikosi basi ni 92kj(sangasanga)...,

Commandos wetu wanavaa maroon beret au kwa kiswahili rangi ya damu..., wako tayari kutoa damu yao kwa taifa,

Mm binafsi nimeshashuhudia wanalala wima wanaegemea ukuta!!!

Hawa watu wako fit kweli, they are pushed to the boundary na hapo 92 mazoezi ya vikwazo au ya kimapigano ni live fire, ukifanya masihara unarudi maiti
Well said mkuu, heshima kwako kwa ufafanuzi wa kitaalam kabisa.
Nami pia naamini kwamba kuwa Comandoo ni kipimo cha ujuzi kikazi katika kiwango hicho kinachokubalika kimataifa.

Kinachotusumbua sisi kama ndugu watanzania kwamba ni kasumba, pili ni maadili mabovu waliyonayo viongozi wengi tulionao sasa na hii imetuondolea uzalendo na imani ya kwamba kama taifa tunaweza kuwa na kitu kizuri kama cha wamarekani.
Na ikumbukwe kwamba Marekani ni nchi inayoongoza kwenye propaganda ya kila kitu, kuanzia vita hadi maisha ya kawaida.

Hivyo sisi kwa jinsi jua linavyotuchoma kutokana na uchumi mbaya yaani (maisha bora kwa kila mtanzania) tumefika mahali hatuamini kama tunaweza kumiliki kitu kizuri.
 
Back
Top Bottom