unaposkia komando haijalishi nchi anayotoka.., uwezo wake ni wa hali ya juu sana,, sasa kwny huo uwezo wa juu wanapishana huko kutokana na task na specialization..., kwa mfano navy seal team 6, ni wataalam wa counter-terrorism, lakn hapo hapo kwny navy seal commandos wapo specialised kwa tactics nyingine...,
Hapa tz, zamani commandos alikua for general purpose, lakn ikaonekana kuna haja ya specialization ndo maana saivi kuna marine commandos pale navy,, wanasomea china
Pia kuna airborne, hawa wanakua na bawa moja lakn wanafanya mafunzo mengi kama infantry commandos na haja ya kufanya hivyo ni kwa sbb wanakua deployed behind enemy lines, wanafundishwa kufanya kazi kwa vikundi vidogo lakn kwa ufanisi mkubwa
Kuna programme ilioneshwa tbc last year, ungeamini kua jamaa wako fiti..., watu wanavunja tofali kwa vichwa, watu wana uwezo wa kuruka gari.., in short wapo fiti....
Na unapolinganisha na wa nje, makomando wetu wengi wanapata mazoezi nje ya nchi...., katika kikosi maalumu kinachosafirisha sana wanakikosi basi ni 92kj(sangasanga)...,
Commandos wetu wanavaa maroon beret au kwa kiswahili rangi ya damu..., wako tayari kutoa damu yao kwa taifa,
Mm binafsi nimeshashuhudia wanalala wima wanaegemea ukuta!!!
Hawa watu wako fit kweli, they are pushed to the boundary na hapo 92 mazoezi ya vikwazo au ya kimapigano ni live fire, ukifanya masihara unarudi maiti