Makete mbabe wa baridi Tanzania nzima

Makete mbabe wa baridi Tanzania nzima

Tahathari mkuu usijetumia sana hiyo kitu ukaunguza main maana kwenye baridi stim hazipandi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nlikuwa natumia bia yao wanaita boha inatakana na miwa chupa wanauza 200/ tu
Iko fresh kichizi.....pombe kali siwezagi mimi
Kuna Madokta wako lutindi mental hsptl wanakata nyagi mwitu kama hawana akili nzuri vile aise

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha mkuu Soso J bila shaka unapajua vizuri kabisa makete na Kata yangu ya Lupalilo
Mago,Ilevelo,ugabwa,Kisinga,ndulamo,iwawa n.k
Ila sitapasahau USUNGILO kiboko ya magari kukwama

Sent using Jamii Forums mobile app

Aise chief kule kwenu noma!
Hapahitaji friji!!
Napajua vizuri saana!Nazunguka maeneo mengi nchi hii ikiwemo Kule!Kule Noma kwa Baridi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimekaa Mufindi,Johns Conner (Mafinga) Njombe, Lushoto, Iringa Makete inaongoza namba2 Njombe na Mufindi watu wakiamka asubui wanaamka na blanketi Lushoto barid inaanza kumi jioni. Mufindi ukiamka asubui ukungu huoni mbali.Ofisi za serikaki zilikuwa na majiko ya mkaa sijui siku hizi ile shule yavmsingi inaitwa kibaoni kila mwanafunzi alikuwa na kopo la kuota shuleni. Unaweza usioge siku 3. Nyumba za serikali sebuleni walijenga sehemu ya kuotea moto.

Makete kuna wakati takwimu zilionyesha inaongoza kwa HIV. Nadhani ktk mambo ya kutafuta joto
...Aiseee "" makete nimefika huko ni balaaa "" wananchi wahuko wote hakuna mweupe " ukiona mweupe huko basi ujue ni mgeni
 
Makete" hatari sana " hakuna mfanowe " nimekwenda kule ".. aise ni balaaa
 
Makambako vipi wadau..niliwah kusafiri na bus mwanza to mbeya tukafanikiwa kulala makambako tulifika saa sita usiku pale.hakika nilijuta[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A,alleykum

Wadau katika maeneo yoote nilikwisha kutembelea katika nchi hii,nimejiridhisha kuwa wilaya ya MAKETE iliyoko mkoani Njombe ndio sehemu yenye baridi zaidi nchini Tanzania.

Hebu na ww tuambie ni sehemu gani unahisi ina baridi kushinda wilaya hii ya maker.

Hebu tazama hii ni hali ya kawaida katika wilaya hii kuanzia mwezi Juni-Agosti kukuta nyasi zote zimefunikwa na barafu na jua likishakolea na barafu kuyeyuka basi nyasi huonekana kama zimeungua.

Sincerely, Bachelor Sugu.View attachment 845768

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hakika Makete kuna baridi sana. Hakuna sehemu, au kwa uhakika zaidi, makao makuu ya wilaya au mkoa Tanzania kwenye baridi zaidi ya Makete...
 
Umewahi kuona sehemu kondakta anapiga debe halafu hampokei abiria begi? yan mikono haitoki mfukoni, asubuhi bila maji ya moto bora domo linuke tu, maji ya moto ile unachota kwenye ndoo unayarusha yakifika mgongoni yameshapoa kama haukuyachemsha hivi, kama unataka biashara idode uza sabuni za kufulia na kuogea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa mmefika marangu lakini,kuna sehemu inaitwa kitowo karibu kabisa na hifadhi ya mlima Kilimanjaro watu wanalala na majiko ya mkaa uvunguni,halafu mkisema Tanzania nzima na Mlima Kilimanjaro tunapatoa au na penyewe pamo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom