Makete mbabe wa baridi Tanzania nzima

Makete mbabe wa baridi Tanzania nzima

Mlimani kule tunaamini hakuna watu wanaishi japo tunaweza assume kuwa sehemu za jirani na mlima naweza kuwa na baridi pia zaidi but kiukweli na makete mh,huko chini ya mlima Kilimanjaro inabidi mtupe uzoefu kuwa watu wanaishi distance kiasi gani tuka ulipo mlima

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kujua distance kamili,labda tuseme waliokaribu na mt kama niliokotaja Marangu ,baridi ya mwezi wa sita sio ya nchi hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Again Rombo compared to Makete
Screenshot_20180825-222505.jpg
Screenshot_20180825-222537.jpg
 
Mkuu kumbuka wajerumani waliondoka baada ya WWI hao mkuu mixed race waliachwa watakuwa umri wa mzee Ruksa na wamechanganyika na wabena na wahehe

Lushoto pia waliachwa wengi wamechanganyika na wasambaa
Kwa Iringa mjini ndio Kina Hans Pope
 
A,alleykum

Wadau katika maeneo yoote nilikwisha kutembelea katika nchi hii,nimejiridhisha kuwa wilaya ya MAKETE iliyoko mkoani Njombe ndio sehemu yenye baridi zaidi nchini Tanzania.

Hebu na ww tuambie ni sehemu gani unahisi ina baridi kushinda wilaya hii ya maker.

Hebu tazama hii ni hali ya kawaida katika wilaya hii kuanzia mwezi Juni-Agosti kukuta nyasi zote zimefunikwa na barafu na jua likishakolea na barafu kuyeyuka basi nyasi huonekana kama zimeungua.

Sincerely, Bachelor Sugu.View attachment 845768

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_2018-08-26-00-50-13-1.png
    Screenshot_2018-08-26-00-50-13-1.png
    16 KB · Views: 34
Back
Top Bottom