Makete mbabe wa baridi Tanzania nzima

Makete mbabe wa baridi Tanzania nzima

bachelor sugu

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
2,689
Reaction score
3,651
A,alleykum

Wadau katika maeneo yoote nilikwisha kutembelea katika nchi hii,nimejiridhisha kuwa wilaya ya MAKETE iliyoko mkoani Njombe ndio sehemu yenye baridi zaidi nchini Tanzania.

Hebu na ww tuambie ni sehemu gani unahisi ina baridi kushinda wilaya hii ya maker.

Hebu tazama hii ni hali ya kawaida katika wilaya hii kuanzia mwezi Juni-Agosti kukuta nyasi zote zimefunikwa na barafu na jua likishakolea na barafu kuyeyuka basi nyasi huonekana kama zimeungua.

Sincerely, Bachelor Sugu.View attachment 845768

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka mkuu... Kuna mikoa kadhaa inatishia kwa baridi ila Iringa balaa lake si la nchi hii!
 
Ndiyo maana Wajerumani walikupenda sana. Baridi inapungua sasa na joto linaanza . December Dar ukipanda gari lenye kiyoyozi hutaki kushuka.
Mpaka leo bado connection ya watu wa kule na ujerumani bado ipo sana yaani vikundi vya kwaya kila kukicha trip za ujerumani hazikatiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom