mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,010
- 137,129
www.Accuweather.comNyuzi joto ni ngapi kwa sasa? Nipo Dasalama kuna kachumba tumejifungia ni baridi balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
7*CNyuzi joto ni ngapi kwa sasa? Nipo Dasalama kuna kachumba tumejifungia ni baridi balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka jana jioni ilikuwa 7 degrees of centigrade mwanawaneTaja vipimo degrees cent grade ngapi
Mkuu maisha ya baridi raha sana aiseeNilisoma mahali, kutokana na uhaba wa ardhi Ulaya nyumba nimejengwa kwenye mstari. Miaka ya 1950 mpaka 60 walitumia kuni kuleta joto kwenye nyumba. Mitano moshi ukitanda na misitu ilitokomea.
Ndipo walipojuja na wazo la kusambaza mabomba ya gas kwenye nyumba na kuwekeza central heating system majumbani.
Mkuu ukimwi ushakuwa wimbo tuliousikia kwa miaka dahali hapa tunapeana experience za hali ya hewa ili hata mtu akipata safari one day ya maeneo kama hayo unaenda akiwa amejiandaaUnazungumzia Baridi au UKIMWI?
Pia mzururaji tu mkuu sio kwetu kuleAise chief kule kwenu noma!
Hapahitaji friji!!
Napajua vizuri saana!Nazunguka maeneo mengi nchi hii ikiwemo Kule!Kule Noma kwa Baridi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mlimani kule tunaamini hakuna watu wanaishi japo tunaweza assume kuwa sehemu za jirani na mlima naweza kuwa na baridi pia zaidi but kiukweli na makete mh,huko chini ya mlima Kilimanjaro inabidi mtupe uzoefu kuwa watu wanaishi distance kiasi gani tuka ulipo mlimaJamaa mmefika marangu lakini,kuna sehemu inaitwa kitowo karibu kabisa na hifadhi ya mlima Kilimanjaro watu wanalala na majiko ya mkaa uvunguni,halafu mkisema Tanzania nzima na Mlima Kilimanjaro tunapatoa au na penyewe pamo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Darmian licha ya kuwa sijafika Lushoto but kupafananisha na makete bado sana
Makete huwa inasoma negativeMkitaja maeneo semeni Na degree zake za baridi sio baridi la kufikilika.anyway njombe apo au mufindi Ngoma inafik Adi centigrade 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunduma ipi ndugu. Ya Chattle ndo balaa zaidiTunduma ni balaa lingine, kuna wanaosifia makambako ila baridi ile ya kawaida sana, Tunduma nimenyoosha mikono
Mkuu tunduma nayo tena unasema ina baridi?!!!! Dah kuna sehemu ukifika hasa huko makete aisee utakuwa hutoki kwenye moto wwTunduma ni balaa lingine, kuna wanaosifia makambako ila baridi ile ya kawaida sana, Tunduma nimenyoosha mikono
Kweli hii itakuwa Tunduma ya chatoTunduma ipi ndugu. Ya Chattle ndo balaa zaidi
Bila shaka hili halina ubishiIringa nadhani ndiyo inaongoza kuwa na baridi.Huwezi amini Hata Ipamba/Tosa maganga/Ifunda napenye kabaridi kapo LAKINI wakitaja MUFINDI NA MAKETE ndiyo utachoka.
Sent using Jamii Forums mobile app