Unejifutafuta sura kwa kuhofia nini sasa?A,alleykum
Wadau katika maeneo yoote nilikwisha kutembelea katika nchi hii,nimejiridhisha kuwa wilaya ya MAKETE iliyoko mkoani Njombe ndio sehemu yenye baridi zaidi nchini Tanzania.
Hebu na ww tuambie ni sehemu gani unahisi ina baridi kushinda wilaya hii ya maker.
Hebu tazama hii ni hali ya kawaida katika wilaya hii kuanzia mwezi Juni-Agosti kukuta nyasi zote zimefunikwa na barafu na jua likishakolea na barafu kuyeyuka basi nyasi huonekana kama zimeungua.
Sincerely, Bachelor Sugu.View attachment 845768
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapajua punga kwenye mashamba ya Chai ya mo dewji....utawaona wamama wanavyo piga mwendo pale wa kazi wanatoka umbali wa km 5 kwenda kazini hapo shambani na kurudi.......wale ndy wanawake wa Shoka malkia wa nguvu syo malkia wa nguvu wa cloudsAcha kabisa ile panda shuka kule hakuzoeleki kabisa
Mdau naoana hapo nyuma umebeba Ant - BaridiA,alleykum
Wadau katika maeneo yoote nilikwisha kutembelea katika nchi hii,nimejiridhisha kuwa wilaya ya MAKETE iliyoko mkoani Njombe ndio sehemu yenye baridi zaidi nchini Tanzania.
Hebu na ww tuambie ni sehemu gani unahisi ina baridi kushinda wilaya hii ya maker.
Hebu tazama hii ni hali ya kawaida katika wilaya hii kuanzia mwezi Juni-Agosti kukuta nyasi zote zimefunikwa na barafu na jua likishakolea na barafu kuyeyuka basi nyasi huonekana kama zimeungua.
Sincerely, Bachelor Sugu.View attachment 845768
Sent using Jamii Forums mobile app
kitulo yenyewe ipo makete huko ndiko kunabaridi kupita sehem yeyote tanzania nda ndiko ambako kuna ndege ambao husafiri kutoka Australia
labda MagambaUlifika tewe nini mkuu
Mkuu wajerumani kule walitulia sana hawakuwa vibolo dinda maana kwa miaka yangu 10 ya kuishi kule nisikufiche sijawahi ona chotara wa kijerumani isipokuwa chotara mmoja tu wa kijapani ambaye siku hizi kazifumania hela anatamba kwenye sekta ya usafiri kule ana gari zake zimeandikwa JAPANESENa walidondisha sana DNA zao kuna mix race sana kule
Hahahaha kama ipo basi inabidi isubiri sana kwa makete mkuu kule ni greenlandMzee,Rombo pia kuna baridi si kipolepole.
Mh kujinyonga tena mkuu?wahehe ndio wanaojinyonga sio wakinga wa maketeNdio maana wakazi wa huko huwa wanaongoza kwa kujinyonga
Sent by Diaspora
Mkuu kumbuka wajerumani waliondoka baada ya WWI hao mkuu mixed race waliachwa watakuwa umri wa mzee Ruksa na wamechanganyika na wabena na waheheMkuu wajerumani kule walitulia sana hawakuwa vibolo dinda maana kwa miaka yangu 10 ya kuishi kule nisikufiche sijawahi ona chotara wa kijerumani isipokuwa chotara mmoja tu wa kijapani ambaye siku hizi kazifumania hela anatamba kwenye sekta ya usafiri kule ana gari zake zimeandikwa JAPANESE
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi inawezekana kweli?kama una sehemu unayoijua weka mezani tuichambueumezunguka nchi nZima? au