Makete mbabe wa baridi Tanzania nzima

Makete mbabe wa baridi Tanzania nzima

Mziki wa Wilaya Makete Mkoa wa Njombe na Maeneo yote ya Wilaya ya Makete ,Ikonda,Lupalilo,Ndulamo,Ipelele,Bulongwa,Kitulo, hakufai!
Kwa Ujumla iwe Arusha,Iwe Mufindi Mgololo
Haijawahi fikia Baridi ya Makete!
nyuzi joto muda mwingine inafika mpaka minus!!
Na Barafu Juu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Guys nlikua napitita kwenye weather Tanzania hapa naona makete inaongoza.
IMG_1289.JPG
 
Sijafika Makete. Ila nilikuwa na jamaa yangu mmoja pale Iringa yeye hakuwahi kuvaa sweta wala koti la baridi .Na wakati huo ilikua msimu wa baridi siku nilipomuuliza kwa nini hasikii baridi aliniambia hapa hakuna baridi baridi ipo kwetu Makete. Sasa kwa uzi wako huu na ushahidi wa picha nakubali kuwa Makete ni mwisho wa matatizo.
 
Back
Top Bottom