bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
- Thread starter
- #61
Ukiitaka utaipata tu mkuu pale TMAMi nikajua ameweka chati ya jotoridi la mikoa na maeneo yote Tz kumbe kaweka picha amepiga selfie
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha anti baridi kule hata demu anaweza akawa hatoshi maana mkigusana unaruka maana baridi inafunua mpaka blanketiMdau naoana hapo nyuma umebeba Ant - Baridi
Kule mkuu nyumba ya mwenye uwezo lazima aweke Dohani lile jiko la kuotea moto sebuleni then moshi unatokea juu yaani tulikuwa tunakata vigogo vya miti inaitwa miwati(wattle trees)ndo tunakoka ndani mnakuwa na moto.Yaani kama ulaya vileNimekaa Mufindi,Johns Conner (Mafinga) Njombe, Lushoto, Iringa Makete inaongoza namba2 Njombe na Mufindi watu wakiamka asubui wanaamka na blanketi Lushoto barid inaanza kumi jioni. Mufindi ukiamka asubui ukungu huoni mbali.Ofisi za serikaki zilikuwa na majiko ya mkaa sijui siku hizi ile shule yavmsingi inaitwa kibaoni kila mwanafunzi alikuwa na kopo la kuota shuleni. Unaweza usioge siku 3. Nyumba za serikali sebuleni walijenga sehemu ya kuotea moto.
Makete kuna wakati takwimu zilionyesha inaongoza kwa HIV. Nadhani ktk mambo ya kutafuta joto
Ukibahatika kufika Huko usambaani Lushoto sehemu inaitwa Shume gololo na Rangwe huko nimewahi kwenda hakufai mzee baba kusoma nyuzi joto 5 kawaida sanaA,alleykum
Wadau katika maeneo yoote nilikwisha kutembelea katika nchi hii,nimejiridhisha kuwa wilaya ya MAKETE iliyoko mkoani Njombe ndio sehemu yenye baridi zaidi nchini Tanzania.
Hebu na ww tuambie ni sehemu gani unahisi ina baridi kushinda wilaya hii ya maker.
Hebu tazama hii ni hali ya kawaida katika wilaya hii kuanzia mwezi Juni-Agosti kukuta nyasi zote zimefunikwa na barafu na jua likishakolea na barafu kuyeyuka basi nyasi huonekana kama zimeungua.
Sincerely, Bachelor Sugu.View attachment 845768
Sent using Jamii Forums mobile app
siku ukifika makambako uje uedit uzi wakoA,alleykum

Nyuzi joto ni ngapi kwa sasa? Nipo Dasalama kuna kachumba tumejifungia ni baridi balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha unapajua mpaka kwetulabda Magamba
hahaa Magamba na lushoto mjn, hata nikizimia nikiamka hunipotezHahhaha unapajua mpaka kwetu
hahaa Magamba na lushoto mjn, hata nikizimia nikiamka hunipotez
Duh hao ndege komesha mkuu yaani wanakula sahani moja na dreamliner au huwa wanatua kwanza Amsterdam?kitulo yenyewe ipo makete huko ndiko kunabaridi kupita sehem yeyote tanzania nda ndiko ambako kuna ndege ambao husafiri kutoka Australia
Aah makambako mkuu???mbona hata kwenye list siiweki coz napajua nilishawahi kukaa km wiki 3 enzi hizo nipo darasa la sita nashiriki umitashumta nikitokea makete yaani tulikuwa tunaona joto pale.Halafu huwezi fika makete bila kupita makambako labda upande dreamlinersiku ukifika makambako uje uedit uzi wako
Mkuu fanya utalii siku moja walau siku hizi barabara kidogo ipo vizuri sio kama zamani kunasa kwenye tope na kukaa siku njiani mkisubiri walau jua liwake ilikuwa kitu cha kawaidaNatamani kutembelea siku moja huko.
Umenikumbusha watoto wangu huwa ikifika Desemba wakitoka shule wanapenda kila wkend waende Beach au Mlimani city balaa lake wakifika City hawataki kutoka nje ya mall watanizuga na michezo hadi usiku utafika tuko hapoNdiyo maana Wajerumani walikupenda sana. Baridi inapungua sasa na joto linaanza . December Dar ukipanda gari lenye kiyoyozi hutaki kushuka.
Ukanda wote wa Nyanda za juu unabaridi ila Njombe, Mafinga, Makambako, Makete na Tukuyu kunatisha ndo maana maeneo yaho birthrate na HIV AIDS iko juu sana, vijana wanashindwa kuvumilia kulala wenyeweA,alleykum