bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
- Thread starter
- #81
Mkuu ww nu wiwachu?urimo mutama?Ukanda wote wa Nyanda za juu unabaridi ila Njombe, Mafinga, Makambako, Makete na Tukuyu kunatisha ndo maana maeneo yaho birthrate na HIV AIDS iko juu sana, vijana wanashindwa kuvumilia kulala wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo tukuyu mkuu kukaa wiki mbili hamjawahi ona jua kitu cha kawaida sana.
Sent using Jamii Forums mobile app