kabila01
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 4,236
- 4,989
Makete ni zaidi, nimekatiza sana Mufindi ila mwaka huu mwezi wa 6 nimeenda makete aisee kule hapana

Na walidondisha sana DNA zao kuna mix race sana kuleMpaka leo bado connection ya watu wa kule na ujerumani bado ipo sana yaani vikundi vya kwaya kila kukicha trip za ujerumani hazikatiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee,Rombo pia kuna baridi si kipolepole.A,alleykum
Wadau katika maeneo yoote nilikwisha kutembelea katika nchi hii,nimejiridhisha kuwa wilaya ya MAKETE iliyoko mkoani Njombe ndio sehemu yenye baridi zaidi nchini Tanzania.
Hebu na ww tuambie ni sehemu gani unahisi ina baridi kushinda wilaya hii ya maker.
Hebu tazama hii ni hali ya kawaida katika wilaya hii kuanzia mwezi Juni-Agosti kukuta nyasi zote zimefunikwa na barafu na jua likishakolea na barafu kuyeyuka basi nyasi huonekana kama zimeungua.
Sincerely, Bachelor Sugu.View attachment 845768
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlifika lutindi,kana,tamota,kiete,bungu,
Nkaenda hadi masange....nikapanda juu kbisa milima ile huko ni balaaa Sema wabishi sisi popote kambi tuna survive
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tukiongelea makete maana yake na vitongoji vyake.Naijua nje ndani makete yaani kuanzia unapokata ile kona ukiiacha barabara ya kupanda pale njombe mjini Ruhuji mtoni basi naweza kukutajia kijiji kimoja baada ya kingine mpaka ukasinzia
Ntakuja tena huko nikifika msambiazi napanda zangu juuKaribu sana milimani kwetu mkuu
Mkuu yani unafika kwetu kabisa
Ok mbn nakujaga sana hko kwangu kama kwenda Disko tuMkuu yani unafika kwetu kabisa
Duh basi viijiji huko nimevivuruga aiseHuko ndio nyumbani mkuu
Ndio maana wakazi wa huko huwa wanaongoza kwa kujinyongaA,alleykum
Wadau katika maeneo yoote nilikwisha kutembelea katika nchi hii,nimejiridhisha kuwa wilaya ya MAKETE iliyoko mkoani Njombe ndio sehemu yenye baridi zaidi nchini Tanzania.
Hebu na ww tuambie ni sehemu gani unahisi ina baridi kushinda wilaya hii ya maker.
Hebu tazama hii ni hali ya kawaida katika wilaya hii kuanzia mwezi Juni-Agosti kukuta nyasi zote zimefunikwa na barafu na jua likishakolea na barafu kuyeyuka basi nyasi huonekana kama zimeungua.
Sincerely, Bachelor Sugu.View attachment 845768
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishapandia songe na msambiazi kwenda juuHuko ndio nyumbani mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usinikumbushe nikiwa na safari ya huko nakuwa na mawazoNishapandia songe na msambiazi kwenda juu
Ila huko ukiwa yelemama huwezi kwenda maana ni kigongo juu ya kigongo
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh basi viijiji huko nimevivuruga aise
Kwenu Hali ya hewa nzuri sana
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Una waza milima [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usinikumbushe nikiwa na safari ya huko nakuwa na mawazo
Baridi ya nyuzi ngapi kwa mfano?A,alleykum
Wadau katika maeneo yoote nilikwisha kutembelea katika nchi hii,nimejiridhisha kuwa wilaya ya MAKETE iliyoko mkoani Njombe ndio sehemu yenye baridi zaidi nchini Tanzania.
Hebu na ww tuambie ni sehemu gani unahisi ina baridi kushinda wilaya hii ya maker.
Hebu tazama hii ni hali ya kawaida katika wilaya hii kuanzia mwezi Juni-Agosti kukuta nyasi zote zimefunikwa na barafu na jua likishakolea na barafu kuyeyuka basi nyasi huonekana kama zimeungua.
Sincerely, Bachelor Sugu.View attachment 845768
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima uzoee maana hakuna jinsi [emoji3]Acha kabisa ile panda shuka kule hakuzoeleki kabisa