Make Tanzania Great Again (MATAGA)

Mataga ni wale vijana wenye njaa ya hela na chakula wanaolipwa kwa kumsifia Magufuli hata kwa mambo ya kibwege , ni vijana wenye maisha duni waliookotwa uvccm kwa ajili ya kutumika , sababu kubwa ya kutumika kwao ni dhiki ya elimu na uchumi , wako kama misukule inayotumwa kuloga watu ili kumridhisha anayewakirimu pesa ndogo na chakula , kiongozi wa kundi hili anaitwa Musiba
Mimi ni MATAGA ila Nina nyumba tatu, viwanja 3, mbuzi 50, ekari 20 za miti gari 1 na bando Nina GB 20 sijawahi kula hela CCM walakupokea hela kutoka kwa magufuli ili nimsifie usikaririshwe na hao wanaokutuma ukadhani wote wanaomsifia magufuli wananjaa kama ulizonazo acheni kuwaza ujinga fanyeni kazi. Na bado nasema hivi MATAGA
 
Make Tanzania Great Again. Yani Tanzania huko kabla ilikuwa ya hovyo ikiongozwa na watu wa hovyo, sasa ni wakati wa kuirudisha Tanzania yenye sifa.

Wamekopi kutoka kwa msemo wa Rais Trump MAGA ( Make America Grear Again). Sijui kwanini hawakutumia kiswahili kuenzi lugha ya Taifa kama inavyosisitizwa na awamu ya 5
Tatizo ni kutokujua lugha ya malkia, kama huko nyuma ilikuwa ya hovyo neno again lina maana gani? Ushamba ni mzigo kuanzia juu mpaka xhini
 
Mimi ni MATAGA ila Nina nyumba tatu, viwanja 3, mbuzi 50, ekari 20 za miti gari 1 na bando Nina GB 20 sijawahi kula hela CCM walakupokea hela kutoka kwa magufuli ili nimsifie usikaririshwe na hao wanaokutuma ukadhani wote wanaomsifia magufuli wananjaa kama ulizonazo acheni kuwaza ujinga fanyeni kazi. Na bado nasema hivi MATAGA
Ni vigumu sana kutenganisha MATAGA na njaa ya kisurisuri
 
Nadhan hawajui tu kama mtu hawezi kuanguka kama hajawahi kusimama
Sasa eti "make tanzania great again" as if ishawah kua great hapo awali nadhan tunaiga tu hata context zisizotuhusu sisi tungeishia tu kwenye MAKE TANZANIA GREAT ili tusimame na tukija kuanguka ndio tuitumie sasa hio again sometimes ni aibu sana kuish na mapimbi nchi moja
 
Mimi ni MATAGA ila Nina nyumba tatu, viwanja 3, mbuzi 50, ekari 20 za miti gari 1 na bando Nina GB 20 sijawahi kula hela CCM walakupokea hela kutoka kwa magufuli ili nimsifie usikaririshwe na hao wanaokutuma ukadhani wote wanaomsifia magufuli wananjaa kama ulizonazo acheni kuwaza ujinga fanyeni kazi. Na bado nasema hivi MATAGA
Wewe ndo mjinga ulivevunja rekodi jamiiforum 2019/20.unafikiri unaweza kufanya kazi ktk nchi yenye Sera za ovyo kama hii???
 
Wamevutiwa na nini kukopi kwa MABEBERU?
Make Tanzania Great Again. Yani Tanzania huko kabla ilikuwa ya hovyo ikiongozwa na watu wa hovyo, sasa ni wakati wa kuirudisha Tanzania yenye sifa.

Wamekopi kutoka kwa msemo wa Rais Trump MAGA ( Make America Grear Again). Sijui kwanini hawakutumia kiswahili kuenzi lugha ya Taifa kama inavyosisitizwa na awamu ya 5
 
Wewe ndo mjinga ulivevunja rekodi jamiiforum 2019/20.unafikiri unaweza kufanya kazi ktk nchi yenye Sera za ovyo kama hii???
Mtaishia kupiga kelele za njaa zenu na wenzio tunafanya kazi na pesa tunapata kwenye nchi hii hii sasa endelea kupiga kelele Sera za ovyo hata nikikuuliza ni Sera gani hiyo ya hovyo huna majibu. Pole sana kijana Fanya kazi acha kelele
 
Back
Top Bottom