Ni vipi vigezo vya kuwa great thinker?

Ni vipi vigezo vya kuwa great thinker?

Kichwa kinajieleza" ni vipi vigezo vya kua great think? we ni great think? Umewezaje kua great thing?

Great thing au Great thinker? Au think tank

Kigezo cha kuwa GT ni kuwa MTU kama Melo au Mark Zuckerberg au Bill gate

Kuanzisha kitu , kufungua kitu au kuwa path maker ambaye Dunia inaenda kupitia creativity yako.
 
Kwahiyo kusema JamiiForums ni home of great thinkers,
Hao kina Great thinkers wa JF ni kina nani? wamegundua nini? au tunajiita kwanza Great thinker halafu baadae ndio tuje kugundua au kuanzisha jambo litakalo tufanya tuitwe great thinker?

Hivi inawezekana mtu akaitwa Kinyozi kabla hata ya kuijua kazi ya kunyoa?
 
Uwezo wa kutoa suluhisho kuanzia kwenye familia, jamii na hata taifa kwa ujumla. Vile vile uwezo wa kutoa mbinu na mapendekezo juu ya jambo fulani yakafanyiwa kazi na kutoa majibu chanya. Cha mwisho uwezo wa kuwa na maono juu ya jambo la mbeleni
 
Great thing au Great thinker? Au think tank

Kigezo cha kuwa GT ni kuwa MTU kama Melo au Mark Zuckerberg au Bill gate

Kuanzisha kitu , kufungua kitu au kuwa path maker ambaye Dunia inaenda kupitia creativity yako.
Kweli, Au uende NASA huko ukakae angani kwenye maspace station, Sio tumeshinda wote JF unajiita GT sababu umeanzisha mada jukwaa la mapenzi.
 
Back
Top Bottom