Make Tanzania Great Again (MATAGA)

Make Tanzania Great Again (MATAGA)

Nchi ilikuwa na viwanda!
Nchi ilikuwa inasaidia ukombozi wa nchi nyingine
Nchi iliwahi kuingia mashindano ya afrika
Nchi ilikuwa na ndege zake

Kwa ufupi nchi ilifikia mahala pazuri sana katika kujitegemea lakini ikarudi nyuma.
Na sasa inarudi kwenye nafasi yake and beyond ! WE CAN, WE MUST, WE WILL !!!
 
Nchi ilikuwa na viwanda!
Nchi ilikuwa inasaidia ukombozi wa nchi nyingine
Nchi iliwahi kuingia mashindano ya afrika
Nchi ilikuwa na ndege zake

Kwa ufupi nchi ilifikia mahala pazuri sana katika kujitegemea lakini ikarudi nyuma.
Ni katika kipindi kipi ilirudi Nyuma.?

Nani (mtu/chama) alikuwa kiongozi katika kipindi hicho?

Nini kimebadilika sasa, wameondoka hao walioturudisha nyuma?

Acheni kujilisha Upepo.
 
Tusisahau chadema waliwahi kuwa na UKUTA as if chama chenu kimewahi kuwa na demokrasia
 
Huju kwamba nchi hii ilikuwa na viwanda 400 lakin sasa vipi chini ya 100?
Hujui nchi hii ilisaidia nchi nyingine zilizokuwa na shida alafu leo zenyewe ndo zinatusaidia?
Hujui neno la Tanzania chini ya Nyerere lilisikika kama mwangwi kwa magharibi na mashariki?? Leo unaleta kukopi aliyosema mbowe??

Hujui Tanzania ilikuwa na ndege zinaruka moja kwa moja mpaka uingereza?? Na shirika la ndege kwa ujumla lilikuwa na ndege 9 lakin sasa zipo 3,

Hujui kwamba Tanzania ilizalisha umeme wa kutosha wakati huo kulingana na idadi ya watu, vitalu vyote vya kuzalisha umeme viliwekwa na mwalimu, kuanzia mtela kihansi na vingine, sasa hatuanzishi kitu,

Hujui kipindi cha mwalimu kabla hajavurugwa mwaka 1978+ kulikuwa na shilingi ambayo ni strong against USD??

Hujui Tanzanian tulikuwa na kiwanda chetu cha Radio inaitwa National na betty zake?

Au we mdogo hata kiwanda cha baiskel swala hukikumbuki??

Hujui Tanzania ilikuwa na kiwanda cha kuunganisha scania, sasa kiko wapi

That Tanzania was great then

Tuache kusikiliza story za kina mbowe ukaleta hapa
pia CCM wanawajibika kwa ili walitupatia viongozi wasio waadilifu wamekula nchi kila kona wezi watupu
 
Umesahau kelele za viwanda vilivyokwisha binafsishwa???

Umesahau enzi za kuhifadhi na kuwasaidia wakombozi wa nchi mbalimbali kipindi cha kutafuta uhuru??

Umesahau enzi za tanzania kisiwa cha amani??

Umesahau enzi za tz inchi yenye mlima mrefu sana,na maziwa yenye kila sifa!!!vyote watoto wetu wanavisahau wamenza kukariri kuna udikteta.
 
Nchi ilikuwa na viwanda!
Nchi ilikuwa inasaidia ukombozi wa nchi nyingine
Nchi iliwahi kuingia mashindano ya afrika
Nchi ilikuwa na ndege zake

Kwa ufupi nchi ilifikia mahala pazuri sana katika kujitegemea lakini ikarudi nyuma.
Nani aliyeirudisha nyuma?
 
Nchi ilikuwa na viwanda!
Nchi ilikuwa inasaidia ukombozi wa nchi nyingine
Nchi iliwahi kuingia mashindano ya afrika
Nchi ilikuwa na ndege zake

Kwa ufupi nchi ilifikia mahala pazuri sana katika kujitegemea lakini ikarudi nyuma.
Ilirudi nyuma kwa hisani ya wana Lumumba, ambao leo hii wanajiita wazalendo, SHAME
 
Nchi ilikuwa na viwanda!
Nchi ilikuwa inasaidia ukombozi wa nchi nyingine
Nchi iliwahi kuingia mashindano ya afrika
Nchi ilikuwa na ndege zake

Kwa ufupi nchi ilifikia mahala pazuri sana katika kujitegemea lakini ikarudi nyuma.
Wakati ikirudi nyuma no chama gani kilisababisha kurudi nyuma
 
Nchi ilikuwa na viwanda!
Nchi ilikuwa inasaidia ukombozi wa nchi nyingine
Nchi iliwahi kuingia mashindano ya afrika
Nchi ilikuwa na ndege zake

Kwa ufupi nchi ilifikia mahala pazuri sana katika kujitegemea lakini ikarudi nyuma.

Bila Shaka Watawala wa Hicho kipindi walikuwa CHADEMA , haya Machadema yanahitaji kupingwa na kila mtu aliye Mzalendo maana ndio waliotufikisha hapa tulipo.
 
True
Bado halija aribika jambo na kikubwa zaidi ya yote tuna AMANI YETU!
Kubirudisha hivyo viwanda ni lazima vitaridi tu tena ka kasi kubwa walahi
Nchi yetu hatuna haja ya kushindana na nchi yeyote duniani, bali kila kitu kita unfold itself walahi!
SERENDIPITY!
 
Bila Shaka Watawala wa Hicho kipindi walikuwa CHADEMA , haya Machadema yanahitaji kupingwa na kila mtu aliye Mzalendo maana ndio waliotufikisha hapa tulipo.
Jiongeze kijana mdogo walahi
 
Tusisahau chadema waliwahi kuwa na UKUTA as if chama chenu kimewahi kuwa na demokrasia
Labda nikuambie ukweli unaouma kidogo. Elimu ndio msingi wa kila kitu, bahati mbaya wewe MSAGA SUMU huna zaidi ya ujanja ujanja wa mjini, hivyo mijadala ya kuhitaji kufikirisha akili wewe unaingia off point kabisa na kujifedhehesha.
Hujachelewa waweza kujiendeleza. Ni maoni tuu waweza kuyafata au kuacha.
 
Sijaelewa hii kauli nani kaizisha hapa Tanzania? Naomba majibu tafadhari
 
Back
Top Bottom